PANYA WA JIJI S1 E6 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Wakati kila mfuasi wa kundi la The X2 anatafakari juu ya hali ya kiongozi wao, Para na Kazogi wana mpango wao ambo ni wa siri na wa hatari.
    Kadri muda unavyokwenda mbele, maisha ya Doctor Njeri yanazidi kua hatarini.
    Na mateka waliomo ndani ya himaya ya The X2 wanazidi kua na hali mbaya.
    Je, nini kitatokea?

КОМЕНТАРІ • 45