HABIB MAZINGE | SAID MWAIPOPO | QURAN NA BIBILIA NI KIPI KITABU CHA MUNGU MAKADARA DAY 7 28 10 2010

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @machozikaneza7946
    @machozikaneza7946 2 роки тому +1

    Allah awape mwisho mwema wanao fanya kazi ya Allah popote mliko

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 роки тому

    jazaka llahu lkheit

  • @zainabomar5512
    @zainabomar5512 5 років тому +1

    Uislam ndo dini ya kweli

  • @mufid707
    @mufid707 11 років тому +4

    Allah ho Akbar Daima haki haizami

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 років тому

    Mazinge n simba wa makafir dunyan koye
    Yaan anajibu hana hata waswas
    Allah kulinde shekh wet tunakuombea dua eatu wote dunian

  • @saidathisauda4804
    @saidathisauda4804 3 роки тому

    Mungu aniseidiye nikufe naniko tu Muslim

  • @neemamohamed9049
    @neemamohamed9049 3 роки тому

    Sikilizeni vizur mjue Dini ya haki

  • @longxtarlong2079
    @longxtarlong2079 10 років тому +1

    naomba ALLAH awarahisishie wenzetu wakritu waone mwangaza ya waislamu....inshaallah

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  10 років тому

      AMIN

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 9 років тому +1

      mwangaza? au giza, kama nguvu za giza zinawatetemesha (majini) kwa maana mwangaza ukija hauwezi kuiona giza. Wamwaminio Yesu ni nuru ya ulimwengu na Yesu ni nuru ya ulimwengu wote. Akamuka usinziaye ufufuke takika wafu na Kristo atakuongoza.

    • @ibrahimabdul5490
      @ibrahimabdul5490 8 років тому

      +Katungu Kitambala.
      Pore sana kijana.
      Mana hapo ulipo hata hujui upo karne ya Nabii gani.?
      Kwanza tambua hata huyo Yesu hakujui.
      Mana yeye anawajua watu wa umma wake pindi anautumikia Utukufu wake wa Unabii..!

  • @irihoseobedi2433
    @irihoseobedi2433 11 років тому +2

    Neno la Mungu laongozwa na roho mtakatifu

    • @fadhilihamisi2442
      @fadhilihamisi2442 6 років тому

      Wakristo tafuteni mashekh wawafundishe

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 років тому

      Yes

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 років тому +1

      @@fadhilihamisi2442 we know ourself sasa hata shehe ajui sabato ni juma mosi na Mungu ni muumbaji n Jesus creat so muslims come to Jesus

    • @saidachekaaali1307
      @saidachekaaali1307 5 років тому

      @@جانيتكينيا
      Sabato ni siku ya Jumamosi (kwa lugha ya Kihibrenia au kiyahudi) na hilo Mashekhe wanajua pamoja na waumini wote wa dini ya Kiislam.Sababu siku ya Jumamosi kwa lugha ya Kiarabu ni Sabti(je hilo neno sio karibu na Sabato?)

  • @Julia-gm1wh
    @Julia-gm1wh 5 років тому

    Waislamu kazi yao nikukufuru ila Mungu atawaokowa kutokana na kifungo Cha shetani

  • @magrethfelician3340
    @magrethfelician3340 9 років тому +6

    Vitabu vyote vitapita, mambo yote yatapita Ila BIBLIA TAKATIFU itasimama daima, mkubali YESU leo ukombolewe toka kwenye dini ya mpinga Kristo.

    • @ibrahimabdul5490
      @ibrahimabdul5490 8 років тому

      Pore sana kijana kijana eeh.
      Mana hapo ulipo hata hujifahamu kuwa kama upo ktk karne za Nabii gani..
      Mana hapo ulipo hata yesu hakujui.
      Anawajuwa watu wa umma wake pindi anautumikia Unabii wake.
      Na ndio atakaosimama nao siku ya kiama mbele ya M/mungu.
      Sasa nyinyi hamumtaki Mtume Mohammad ikiwa mpo ktk Zama za Nabii Mohammad.
      Sijui mtakujakuwa na kiongozi wenu gani ikiwa mtume Mohammad hamumtaki.
      Siku ya kiama mwishoni mtakuwa kama wakimbizi.
      Kijana wee bado mtoto mdoga Tafakari chukuwa hatuwa.
      Usiwaendekeze hao Mapastor watakupereka motoni.
      Kwani ukristo sio dini bani bali ni maneno yaliopo ktk midomo ya watu.
      Kwahiyo nakushauri fanya haraka kuchukua uwamuzi wa kuslimu kabra hujafika mbele ya M/mungu wako..!
      Huo ni ushauri nimekupa..!
      Ahsante..!

    • @newgreeneaglestudio3089
      @newgreeneaglestudio3089 6 років тому

      Magreth Felician pole sana we mtoto maana hauwezi kudhibiticha bibilia maneno ya mungu

  • @mohammedissa3207
    @mohammedissa3207 5 років тому +3

    Hakika Quraan ni kitabu kisichokua na Shaka ndani yake

  • @samuellubigisa3715
    @samuellubigisa3715 5 років тому

    Mazinge hana kitu Bali ni shalobaro mzur tu, sikia maneno yake ya kisela, haleruyaaa

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 7 років тому +2

    we Chaka hata ukipanda magugu ndani ya Quran,,,ss hatutaacha kuiamini na yote yaliyoko kwenye Quran ni ya kweli

  • @0706-y1u
    @0706-y1u 6 років тому

    Uislamu ni nuru

  • @mwatimemaharamwatimemahara4575
    @mwatimemaharamwatimemahara4575 6 років тому

    kweli dini yakisilimu

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому +1

    mi nshajua kwanini wakristo wanashindwa kujibu maswali,kwa sababu bibilia nzima imelenga wana wa Israeli ilo ndo tatizo,bibilia haiwahusu hawa kabsaa...!

  • @mwajumaramadhani9357
    @mwajumaramadhani9357 3 роки тому

    Quruani ni kitabu kisicho shaka ndani yake

  • @djvampire2252
    @djvampire2252 9 років тому

    Kazi Kweli Kweli

  • @masbizzo2748
    @masbizzo2748 6 років тому

    kwahy kama bibilia ni mkusanyiko wa vitabu basi hata liwaya Nazo ni bibilia

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 10 років тому +2

    Karne hii ni karne ya wokovu kwa Waislamu ulimwenguni . Funguheni mioyo yenu na mumkaribishe YESU KRISTO ahingiye na mtakubaliwa kuingiya mbinguni . Bila hivyo , ni jehanamu .

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  10 років тому

      Emo Alembe NA KARNE ILIYOPITA ILIKUWA NI YA NINI?

    • @ibrahimabdul5490
      @ibrahimabdul5490 8 років тому +2

      Pore sana kijana unaonekana dhahili hata hujifahamu kuwa upo katika karne ya Nabii gani.
      Unapelekwa tu kama robot..!
      Chukua hatua kijana ya kuslimu M/mungu ni mmoja tu.
      Na Yesu alikuwa mtume wake wa zama hizo.
      Na alikuwa na umma wake ambao aliokuwa akiuongoza pindi anautumikia Unabii au Utume wake.Sasa wewe jiulize ylizaliwa karne hiyo ambayo Nabii ISSA au YESU alivokuwa mtume wa mungu au umezaliwa zama hizi.
      Na kama umezaliwa zama hizi basi tambua upo katika miongoni mwa Umma wa Mtume Mohammad s.a.w.
      Mana mtume Mohammad ndio nabii wa mwisho wa M/mungu..!
      Na hao Manabii wa karne hizo zilizopita wote kira Nabii alikuwa na umma wake na ndio atakaosimama nao kesho kiama.
      Sasa nyinyi kesho kiama sijui kiongozi wenu atakuwa nani ikiwa nyinyi Nabii Issa au Yesu hakujuini na Nabii Mohammad hamumtaki.
      Yaan siku ya hapo nyinyi mtakuwa kama wakimbizi ambao msiokuwa na M/mungu wala mtume..!

  • @Julia-gm1wh
    @Julia-gm1wh 5 років тому

    Yaani muislamu amesimama kuxhekesha watu tu ovyo kabisa

  • @abuudharishahidy3074
    @abuudharishahidy3074 5 років тому +1

    huyu chaka km ndo mwalimu basi mie ukristo basi,hata kuutetea hawezi danadana nyingi km mwendawazimu,huyu lazima wamdai pesa alizolipwa kuja kenya kutetea ukafiri wake

  • @jazeelaabdi396
    @jazeelaabdi396 5 років тому

    Chaka hutumii akili ndio tumeumbwa kwa udogo mchafu ndoo maana ukitokwa tuu majasho tuu vipi harafu yake wakristo kweli hamna jipya

  • @salomengas9680
    @salomengas9680 10 років тому +3

    Muslims read your Qurans well and it will direct you to Christianity, if Quran says Jesus is the Word of God, Spirit of God, it means He is Divine for He cannot be Spirit of God and be not God, your spirit is you,Bible is not to be debated,watch what you say, God is a consuming fire,the Precious blood of Jesus fight for itself n thats is why in the Bible Christians are told to avoid such debates.

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 9 років тому

      yeah , even I don't usually watch this kind of video .I do it by reading comments and spread
      out the gospel of the Holy Spirit show me. The word of God is our spiritual food and watching words that are against God is like to take poison in my spirit. As the enemy fight against God and same enemy is using them so they fight against God without knowing . because they are spiritual blind may God open the eyes of heart in Jesus name . Amen

    • @AmiirAlwajidiAsomaal
      @AmiirAlwajidiAsomaal 7 років тому

      Salome Ngas Hhhhhh are you sure.

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 2 роки тому

    Watu wa kitabu,torati,injiri zaburi mtwambie kutotajwa biblia sio hoja hoja kimetajwa kitabu mtwambie hicho kitabu ambacho ni kina torati injiri na zaburi ni kip sababu torati injiri na zaburi ni bitabu

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 7 років тому +2

    Sasa ukisemà tu "hatutaacha uislamu" bila hoja ni sawa na roboti lililowashwa linaenda likiamini umeme ndo kila kitu. Mi nadhani hoja za chaka ni dhahiri ni kwa kuwa tu yule wa mwisho kutia miguu jehannam anawavuta wengi aende nao na amewapa kitabu chakuwaelekeza njia yake na nabii wake wa uongo. Napenda biblia inaeleza vizuri mambo haya.

  • @abedmusau9305
    @abedmusau9305 10 років тому +1

    Muslims MUST understand that BIBLE is not a Novel where someone is free to explain as he understands!

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 років тому

      They can't wanapenda ubishi

    • @mbaroukmohammed913
      @mbaroukmohammed913 2 роки тому

      @@جانيتكينيا m
      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmzmzzmzm6

    • @mbaroukmohammed913
      @mbaroukmohammed913 2 роки тому

      M
      6mm
      6
      .m
      M
      6
      M
      M
      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm.mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm66
      Mm
      M
      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
      66

  • @najmaalzaabi8385
    @najmaalzaabi8385 5 років тому +1

    hakika uislam ni dini ya haki haina shaka ndani yake waklisto nyinyi msubili moto wenu tu mmepotea mno amkeni katika ndoto nyie kwa nn msitue magunia yenye misumali ktk kichwa chenye kipala hahahaha mtoto hawezi kuhadisia stoli ya wazazi wake lakini wazazi wanaweza hadisia stoli ya mtt nyie halafu mnatia huruma acheni ukafili