Tumefurahi kuyaona maoni yako...Tuambie wapi ambapo hujaelewa? Je umeshindwa kujua ni application gani ambayo itakusaidia kutengeneza katuni kwenye simu? Tupo online kukusikiliza tena na tutakupa majibu ya maswali yako. Ahsnt.
Kwnagu haifunguk jamani😭😭😭naomb contact please nina kipaji ninaweza tumia cartoon kuelimisha watu ila sas siwez kutengeneza na umefundish vizul lakin app inafik adi 100 lakin haifunguki ety sijui shid nin natumia infnix hot 12 i nahitaji unielekeze au nipe namb yako nikuchek
Asante sana
Ahsante. Nimeipenda hii
Ansante
Karibu
Mmh noma😏😏😏
Asante
Karibu
Safi kaka
Ahsante mkuu
Unakuwa na idea nzuri Ila kujielezea ndo kipengele jaribu kulifanyia kazi hili🙏
Sawa mkuu nitalifanyia kazi
Idea zipo
Sawa kabisa
tufunndndindisndishe na jinsi ya ktengeneza stor na kupost mtandaon napenda sana na ninakipaji
Kutengeneza story kupitia hizi katuni.?
Kaz nzurii♥️♥️♥️
Ahsnt Sana Mkuu.
Shukran
Jisi ya kuongeza cartoon 3 na kuendele na vovment
Nice
Thank you
Makini sana
Ahsnt San.
sante sana
👍
Tumefurahi kuona umepata elimu. Endelea kufatilia channel yetu ujifunze zaidi.
Hujui kufundisha
Tumefurahi kuyaona maoni yako. Tuambie wapi hujaelewa ndugu Fatuma magowela
Daaa yanii sijaelewa hata kidogoo japo nimejaribu kusikiliza kwakurudia rudia
@@ThobiasManase Download application inayoitwa plotagon story Kisha fuata maelekezo ya application hiyo.
Apo ni bomba kabisa
Shukran Sana.
I like it❤
You're welcome.
Hujafundisha kwa ufanisi, sidhani kama kuna mtu kaelewa hapa
Tumefurahi kuyaona maoni yako...Tuambie wapi ambapo hujaelewa? Je umeshindwa kujua ni application gani ambayo itakusaidia kutengeneza katuni kwenye simu? Tupo online kukusikiliza tena na tutakupa majibu ya maswali yako.
Ahsnt.
KWAni uwa inaghalama
Ndiyo ipo ya kulipia ila unaweza ukatumia ya Bure.
App aifunguki why
Hakikisha una storage ya kutosha kwenye simu yako.
Duuh umeelekeza au me ndo sijaelewa
Ingia play store Download application ya plotagon story Kisha fuata maelekezo
Asa mbona kwangu aifanyi kazi
Tumefurahi kuyaona maoni yako! Tuambie tatizo Ni application haifanyi Kazi au Ni nini?
Application ndy haifanyi kazii
Haifanyi Kazi haitaki Ku downloadika au uki Dowload kwenye kutengeneza katuni ndo haitaki?
@@Msulenomatech Nikidowload ndy inakataa
@@kiboohkim1941 inaandikaje? Inawezekan simu yako imejaa.
Sijafanikiwa kuipata hii application kwahyo naomba kutumiwa Kama mtu yeyote anayo
www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=play.google.com/store/apps/details%3Fid%3Dcom.plotagon.plotagon%26hl%3Den%26gl%3DUS%26referrer%3DDgoogle%2526Dorganic%2526Dplotagon%26pcampaignid%3DAPPU_1_QsrXY9nzCcekkdUP-LqIyAY&ved=2ahUKEwjZnOCPt-_8AhVHUqQEHXgdAmkQ44QBegQIBxAI&usg=AOvVaw1TBTRMWyupsXznKCWZbZgt
Kwnagu haifunguk jamani😭😭😭naomb contact please nina kipaji ninaweza tumia cartoon kuelimisha watu ila sas siwez kutengeneza na umefundish vizul lakin app inafik adi 100 lakin haifunguki ety sijui shid nin natumia infnix hot 12 i nahitaji unielekeze au nipe namb yako nikuchek
Ahsante Kwa maoni yako. Tuutafute Kwa namba hizi 0778024199
@@Msulenomatech saws
Jina la app hujataja kujieleza umefeli kidogo
Nimetaja mkuu, ukipata muda Naomba urudie tena kuangalia video.