PENZI LA SUGAR MUMY - MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @zabibuhassanchitumbo334
    @zabibuhassanchitumbo334 11 місяців тому +3

    Woyooo wa kwanza mie ss ndo wale hatulali kitanda Cha moto😊😊

  • @محمدمحمد-ي1ض1ج
    @محمدمحمد-ي1ض1ج 9 місяців тому +1

    Thanks kaka tumejifunza mengi kupitia hii simulizi,Ubarikiwe sana kakangu❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 11 місяців тому +2

    Woyooi kuimba unajua

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 10 місяців тому +1

    Hongera kwa simulizi tamu yenye mafunzo mazuri sana,barikiwa 🍎🍎🍎🍎💐💐💐💐💐🥀🥀🥀🥀🥀🥀

  • @MahenzoNzai
    @MahenzoNzai 10 місяців тому +1

    Wow Asante kwa simulizi tamu ❤❤ nimeipenda🎉🎉

  • @متجرجهاد-ذ3ث
    @متجرجهاد-ذ3ث 11 місяців тому +6

    Nipeni likes mm wakwanza jaman leo wow Lucas nipe maua

  • @HalimaAli-e8z
    @HalimaAli-e8z 10 місяців тому +1

    Kweli age is just a number penda pale moyo unapata faraj baas😊

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 11 місяців тому +4

    Napenda hio sauti yako Mr.lucus❤❤❤❤

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 11 місяців тому +1

    Hogera sana Lucas lumbasi simulizi tamu Sana rafiki yako ni adui jamani. Roho mbaya kwa mume wako sababu huna pesa pesa nini na maisha yako

  • @AlineNizigiyimana-wq2qc
    @AlineNizigiyimana-wq2qc 11 місяців тому +1

    Hongera yako Lucas kwasimulizi nzuri

  • @pierrekalala4888
    @pierrekalala4888 9 місяців тому +1

    Ulifanya vizuri sana kuachana n'a Rose unheliendelea kuvumilia angelaliza.maisha Yako. Mimi najifunza kitu. Kama mke anachepuka anaweza hâta kuwa adui yako n'a japo munaishi pomoja. Moja atapiteza heshima kwako. Pili haitakuwa n'a hinsia n'a wewe tatu ataendelea kukusengenya kuusu wewe haujue kufanya mapenzi. Bora kuachana

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 11 місяців тому +1

    Very true Ankojay huwezi kumbadilisha Kenge kuwa mjusi. Atabaki kenge tu. Asante kwa Mawaidha matamu🙏🏾

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 11 місяців тому +1

    Thanx lukas lumbas kwa simulizi tamu😮😮😮😮❤❤❤

  • @Fatum112
    @Fatum112 11 місяців тому +1

    Asante kwa simulizi nzuri

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 місяців тому +1

    Asante sanaa Lucas kwa simulizi hii bomba kweli kweli ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤nice

  • @azzahawadh3183
    @azzahawadh3183 11 місяців тому +1

    Hongera kaka Lucas maisha no kitendawili m.mungu akubariq na kazi zako akupe afya na kutuelimisha kazi nzuri

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 6 місяців тому

    Nimeupenda uhuru ni kitu cha muhimu maishani uyo mkewe ni mshamba na ujinga ni kikoloni😊😊😊

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 10 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani 11 місяців тому +1

    Mashallah kaka rukasi tabarak Allah tupo pamoja kipenzi chetu

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 місяців тому +1

    God 🙏🙌 blessed you 💕😘

  • @ytyg7261
    @ytyg7261 11 місяців тому +1

    Lucas lumbasi kama hautojali tupe muendelezo wa doctor wa Saratani ya matiti plz

    • @ytyg7261
      @ytyg7261 11 місяців тому

      Part two ya doctor

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 11 місяців тому +1

    Shukran ndugu Lucas na ancojay kwa sehemu ya
    mwisho tukiisubiriri kwa ham ❤❤❤❤

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 11 місяців тому +1

    Thank you kaka Lucas😍😍😍 keep up

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 5 місяців тому

    Ahahahahahhahahahah lucasi lumbasi jamn unamzabua nani tena wewe jamn 😂😂😂😂 nimecheka jamn

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 5 місяців тому

    Ahahahahah bonge la simuliz,, basi aiseeee

  • @RubySamuel-rt8ln
    @RubySamuel-rt8ln 11 місяців тому +1

    Thanks lucas

  • @janewanjiru6308
    @janewanjiru6308 11 місяців тому +1

    Thanks for the story

  • @متجرجهاد-ذ3ث
    @متجرجهاد-ذ3ث 11 місяців тому +1

    🤣🤣🤣usijal kipenzi dawa ya moyo nkuwa Na Amani Na furaha kwa Yule umpendae

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 8 місяців тому

    🤣🤣rose wew ni kichwa unamsalimia mama mkwe wako kingereza♥️♥️

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 11 місяців тому +1

    Shukrani kaka Lukas, tumepata burudani tamuu, mungu akubariki kaka 🥰🥰

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 11 місяців тому +1

    Haya sasa mtu amwambie James wangu aka puu njia panda maana mwenzie katoa talaka na sio talaka tu hadi kumapata sugar mummy full kudoz😊😊😊

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 8 місяців тому

    Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤❤

  • @متجرجهاد-ذ3ث
    @متجرجهاد-ذ3ث 11 місяців тому +1

    Huyo mwana mke Ni mjinga Sana wawezaje kuwa Na mumeo ndani Na undapata mimba ya mtu mwingine

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

    Wanawake walioolewa na wajitambue na kukaa ktk nafas zao ipasavyo kutunza ndoa ,maana rose angekuwa na maadili na kumheshimu mumew ndoa yao ingekaa poa sana na mumewe alimpenda sana

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 11 місяців тому +1

    Hilo nakubaliana nalo kwakweli kwa upande wangu kuna kidudu mtu nilijaribu kumbadilisha kwa tabia chafu alizo kuwa nazo ila yalio nikuta sio ya kuhadidhia n that's why nachukia mapenzi 😢😢

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 11 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @elvaletop6109
    @elvaletop6109 11 місяців тому +1

    ❤❤❤ santé

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 11 місяців тому +1

    Nimependa mwanaume kachukua maaamuzi sahihi na kuachana na gumegume

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

    Na tukumbuke wanaume hawana uvumilivu wa kudumu,huyu kaka alivumilia tena mambo nyeti ya ndoa yasiyovumilika,ni simulizi lkn tuchuje mafunzo na kuyatendea kaz ktk maisha yetu halisi

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 місяців тому

    Makubwa

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 11 місяців тому +1

    Ni peni like pamoja na maua kwa kua wa mwisho🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

    Ila mwanaume hata akiumizwa namna gani,asionyeshe huzuni na machoz yake kwa mwanamke anayemuona dhaifu itamtesa zaid

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

  • @josianekwizera3809
    @josianekwizera3809 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤