Ahsante sana kaka. Kwa somo zur. Kuna kipengele ameongelea hapo kinamuhusu jini maimuna Asema anapenda sana udi na......,,,. Kimenigusa sana nanimeamini kuwa nikweli kwasababu nlishawahi kuwa nampenzi ambaye alikuwaga mganga. basi mganga huyo alikuwa Anapenda sana kuchoma udi usiku wakat mwingine alikuwa anaushika ule udi anaongea nao. Nkimuliza waongea nanani anasema Namaimuna. Basi jini huyo alikuwaga mkorofi sana. Wakati mwingine alikuwa anamkataza kufanya mapenz. Akifanya Anampiga viboko vamatakoni mpka mboo inalala. hivo alikuwa anapenda sana kuchoma udi kwa ajili ya huyo jini maimuna. Yan kiyfupi2 alikuwa Alikuwa anamtaja sana jini huyo ktk mambo mengi.
Wacha UNAFIK WEWEEEEE NA UNAJIITA MTUMISHI WA MUNGU MRONGO MKUBWA😡😡 MBONA MM NAFUKIZA UDI NA SINA JINI? MNAYAONA NYINYI TU MNAO TUMIA NGUVU ZA GIZA HASBUNALLAH WA NEEMAL WAKIIL SALAAAALAH' AUDHUBILLAHI SAMIUN ALIIM MINA SHEITWANI RWAJIIM, NAMUAMINI TU ALLAH TU NA MTUME WANGU MUHAMMAD SWALALLAHU ALEYHI WASALLAM.
Qur'an ni kitabu chako si cha kwetu Paulo alitwambia ikiwa mtu asiwadanganye kwa maneno yake ya kushawishi na elimu yake ya bure ikiwa hakishiki kichwa ambaye ni Kristo. Kwetu wewe no mpinga kristo tubu uokoke la sivyo jehanamu inakuhusu.
hao waganga ambao wanajinasibisha na uislam kwa kutumia majini kwetu sisi waislam hao wameshakufuru wamekuwa makafiri hawana tofauti na wakiristo,wahindu,mabudha na wamajusi wote hawa makafiri kuni za motoni Mara baada ya kufa
Hahaha when power jumps power lesser power must bow, mkristo mchawi ni anayejiita mkristo lakini hajampokea Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake, tafuta UA-cam ushuhuda wa Sheikh Omary Mnyeshani utaelewa kuna kipengele aliambiwa na mwalimu wake wa Elimu ya falaki ambaye ndio maalimu wake akienda kuswali ijumaa muda wa kutoka aite jina fulani kwa nguvu atayegeuka ndio atamsaidia na alivyofanya hivyo kweli jini alikuwa nayeye ametoka kuswali, Hutu sheikh kanifungua macho sana. Angalia hizi video ua-cam.com/video/LuWk7sxhXtU/v-deo.html
Ahsante sana kaka. Kwa somo zur. Kuna kipengele ameongelea hapo kinamuhusu jini maimuna Asema anapenda sana udi na......,,,. Kimenigusa sana nanimeamini kuwa nikweli kwasababu nlishawahi kuwa nampenzi ambaye alikuwaga mganga. basi mganga huyo alikuwa Anapenda sana kuchoma udi usiku wakat mwingine alikuwa anaushika ule udi anaongea nao. Nkimuliza waongea nanani anasema Namaimuna. Basi jini huyo alikuwaga mkorofi sana. Wakati mwingine alikuwa anamkataza kufanya mapenz. Akifanya Anampiga viboko vamatakoni mpka mboo inalala. hivo alikuwa anapenda sana kuchoma udi kwa ajili ya huyo jini maimuna. Yan kiyfupi2 alikuwa Alikuwa anamtaja sana jini huyo ktk mambo mengi.
Heee sasa na wewe ulikuwa huoni maajabu ukakimbia?
@@mocranaburugi3486 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eee mungu
tusaidiee
watoto wako
tushikilie
iman
zetu
mungu hana watoto ikiwa unasema kweli lete ushahidi WA hilo
Mhh hatari,hivi kumbe ni kweli kabisa uchawi upo.29.09.19.
Sasa,sehemu ya kwanza kaendeleya ndani ya sehemu ya 2? Duh
Tumtumainie yesu ndio kila kitu
heri wamtumainio bwana watauona ufalme wa mungu
Njoo kwa yesu mana wakati ndio sasa
Hata sikumoja siwezi badili Dini yangu, Na Ajabu mapepo yako na nyinyi tu mbona mola anatukinga cc Audhubillahi Samiun Aliim mina sheitwani RWAJIM
Uchawi upo jmn
We fadhili unabisha nini wakati kuna majini yalio slimu.!
Mh dunia inamauzauza hii. Kah
Waupande mwingine wakina nan??
Fadhili soma Yohana 9:35 -39.
Wacha UNAFIK WEWEEEEE NA UNAJIITA MTUMISHI WA MUNGU MRONGO MKUBWA😡😡
MBONA MM NAFUKIZA UDI NA SINA JINI? MNAYAONA NYINYI TU MNAO TUMIA NGUVU ZA GIZA HASBUNALLAH WA NEEMAL WAKIIL SALAAAALAH' AUDHUBILLAHI SAMIUN ALIIM MINA SHEITWANI RWAJIIM, NAMUAMINI TU ALLAH TU NA MTUME WANGU MUHAMMAD SWALALLAHU ALEYHI WASALLAM.
mafuta ya msukule
Wenzetu hawa WAISLAMU
Mambo engine ni yauongo una wadaganya watu eti upande mungine eti Wanawek a ud wanamtukuza Jin ni uongo ww unatangaz Iman yako kwel kafir ni kafir tu
Qur'an ni kitabu chako si cha kwetu Paulo alitwambia ikiwa mtu asiwadanganye kwa maneno yake ya kushawishi na elimu yake ya bure ikiwa hakishiki kichwa ambaye ni Kristo. Kwetu wewe no mpinga kristo tubu uokoke la sivyo jehanamu inakuhusu.
E GOSPELTZ nakuelewa
Well said dear. Quran Si kitabu chetu. Waende Wapambane na ma jin wanaozifunga wa wakubwa wa muskiti
Waislam ndugu zao majini ndio maana wanawawashia udi ilo halina kificho
Unakijua unachokiandika au ndio kati ya wale wasiojielewa....
@@meddydulla934 kwa ubishi ntawaweza
lete ushahidi ndani ya Quran linaloeleza hilo kusadikisha hilo nakupa miaka 10000000 kawaambie na mapadri zako wakusaidie dunian
hao waganga ambao wanajinasibisha na uislam kwa kutumia majini kwetu sisi waislam hao wameshakufuru wamekuwa makafiri hawana tofauti na wakiristo,wahindu,mabudha na wamajusi wote hawa makafiri kuni za motoni Mara baada ya kufa
Kweli kabisaa ubarikiwe.
Wakristo ni wachawi zaidi, hata kama kwa muda mrefu wamebebeshwa imani potofu ya kuwaona Waislamu ndio wachawi.
Hahaha when power jumps power lesser power must bow, mkristo mchawi ni anayejiita mkristo lakini hajampokea Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake, tafuta UA-cam ushuhuda wa Sheikh Omary Mnyeshani utaelewa kuna kipengele aliambiwa na mwalimu wake wa Elimu ya falaki ambaye ndio maalimu wake akienda kuswali ijumaa muda wa kutoka aite jina fulani kwa nguvu atayegeuka ndio atamsaidia na alivyofanya hivyo kweli jini alikuwa nayeye ametoka kuswali, Hutu sheikh kanifungua macho sana. Angalia hizi video ua-cam.com/video/LuWk7sxhXtU/v-deo.html
Tairaa wewe
Mchawi anaga dini 🤣🤣🤣
@@mocranaburugi3486 mwambie, sikuhizi mambo hadharani, waridi kwa Yesu tu wamachane na uchawi ...
@@mocranaburugi3486 True. I listened to him