MWALIMU MWEMA - CMF - BUZA MISSIONS CENTRE (BMC)
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2025
- Yohana 10:11-15
Mimi ni mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake. Mtu wa kuajiriwa ambaye si mchungaji, na wala kondoo si mali yake, anapoona mbwamwitu anakuja, huwaacha kondoo na kukimbia, kisha mbwamwitu huwakamata na kuwatawanya. Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara tu. Mimi ni mchungaji mwema. Nawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi, kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Mimi nayatoa maisha yangu kwa ajili yao. Tena ninao kondoo wengine ambao hawamo zizini humu. Inanibidi kuwaleta hao pia, nao wataisikia sauti yangu, na kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Amen Mungu awabariki sana wimbo mzur sana
Asante kwa kunifundisha, wewe ni mwalimu mwema....❤
Wow wimbo mzuri sana , MUNGU awabariki 👌
Hongereni sana Wana CMF -Buza TAG
Fantastic and Powerfull song Good job
Nice message
Iko good
Mwalimu mwema ndo uyo mlevi? Au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mlevi kabadilishwa na mwalimu Mwema,Bwana Yesu