Wivu, unawasumbua mama dangote Mungu amembariki mno, simu zote wanaokuchukia hawawezi kukusema vizuri, kwa hiyo sishangai, mama dangote achana nao hawana lolote wivu tu!
Kimuonekano mm wala sioni kama mama diamond na shamte wamepishana sana..labda wakitaja miaka yao lkn haoneshi kama shamte ni kibenteni..itakua na yeye shamte kafoji miaka yake
Wabongo huo ni zaidi ya umbea ukicha kusemwa hutendi jambo na ukikosa mahasidi jua nyota yako haingai ndugu zetu wabongo mnatuweka hoi kwa kufuatilia ya watu alafu huyo mtangazaji nae alistaafu kwa umbea mpaka akisema mate yanamjaa mdomoni lazima amize ndio aendelee kumwaga umbea sijui yy ni mkamilifu au tujueje
Museme muchoke yeye kasha pendwa wanaimia waoande juu waka zibe mama yuko sawa ndo manq kapenda wabongo hamwachi michambo tumewazoeya kilele mitandaoni ndizo mali kwenu
Hongera mama Diamond. Mungu amekubariki. Wote tunatamani watoto wetu wajaaliwe watupe raha. Achana na wenye huduma. Hakuna chochote zaidi ya gere.
kusemwa ni kawaida... life goes on
ACHENI POROJO MAMA AMETUNUKIWA JAMANI MUACHENI NA MANENO YENU YASIYO NAMASHIKO
Tanasha Cinderella tausi
mama tangote enjoy to the fullest. wachana na hii zombie
Mashavu yanachuma kunde hayo harafu Ajishaua Aende hulo hata mwanae ni tajiri kivyao haituhusu
Ata awajapendez wote na mkwewr
Simpendi mama diamond kabisa
Watu waongo mama diamondi kiukweli amependeza sana natanasha pia nakuolewa hata kama uyo baba ni mdogo ni sunna
Duh acheni wivu wakijinga zaeni wa Kwenu ili mfanyiwe sherehe Watanzania jamani mh
We mtangazaji mmbeya sana
Mange ni mange tuu ila nikama yeye hutamani Diamond natena kuna kipindi alisema ka muchawi ka bongo mama D na T kangu walitoka smart sana
Haha ha mange hachi
Wivu, unawasumbua mama dangote Mungu amembariki mno, simu zote wanaokuchukia hawawezi kukusema vizuri, kwa hiyo sishangai, mama dangote achana nao hawana lolote wivu tu!
Kimuonekano mm wala sioni kama mama diamond na shamte wamepishana sana..labda wakitaja miaka yao lkn haoneshi kama shamte ni kibenteni..itakua na yeye shamte kafoji miaka yake
Watanzania makes adabu sana huyo mama Diamond anajitahidi kushinda wa Girl vichambo yenu hahina adabu hacheni kutanganza upuhuzi wenu.
Du tuwaache jamani wanapendana
Wabongo huo ni zaidi ya umbea ukicha kusemwa hutendi jambo na ukikosa mahasidi jua nyota yako haingai ndugu zetu wabongo mnatuweka hoi kwa kufuatilia ya watu alafu huyo mtangazaji nae alistaafu kwa umbea mpaka akisema mate yanamjaa mdomoni lazima amize ndio aendelee kumwaga umbea sijui yy ni mkamilifu au tujueje
Museme muchoke yeye kasha pendwa wanaimia waoande juu waka zibe mama yuko sawa ndo manq kapenda wabongo hamwachi michambo tumewazoeya kilele mitandaoni ndizo mali kwenu
watu.wkipendana.wegine.zinawauma.
Muwaache wenzenu wapumue loooh!!!! Wivu tu
TZ ni umbea tu kuponda watu hawa wanazungumzia mambo ya watu kwani hawana kazi?
acheni wivuu!!! amependeza sanaa mamayetu!!
km mkubwa aiwahusu! kwa waislam ni suna jamani
Nikweli hajapendeza
kanzu nyekundu imemkaa vibaya.mno design haiendani na umri wake
Kaambulia vidoladola hakuna kupewa gari shamte!!wewesiyo mzaa chema!!
wivutu
HATA AWE NA MIAKA 200 NDIO WAMESHAPENDANA ACHA WAJILIE VYAO, MTUME TU ALIMUOA BIBI HADIJA NA ALIKUWA MKUBWA KWAKE
Kwani anamfunga nepi yule mpaka awe mtot mdogo waacheni na mapenzi yao
Waabongo mnawivu hasa kwa wasaniii yaan hawawez Fanya kitu mkakosa kasoro sjui nan aliwaloga
Ni kawaida yao,tushaa wazoea watanzania hawakosangi maneno ya kuwasema wezao
walipendeza sana
Umri Sio hoja Ata mtume mohamad aliowa mke mwenye umri mkubwa so hiyo Sio hoja acheni kufatilia jamani watanzania
Mapenzi hayana umri kwani roho ikishaapenda bc ndo hivo,la msingi bora wanaheshimiana
Hebu mwacheni ajilie vyake jamaniiii mpeni pumziiii au ndio mpo kazini khaaaaa!!! Mnampaishaaaa Tuu kwa mineno yenu mwenzenu kwake mafuta anajipaka anazidi kumeremeta.
Siku nyingine mbona Anapendeza
Jealous tu, mange onesha wako, si kijana chochote mbona mamvii shamte yamemjaa
Dizaina kabugi
Kawaida ya wanadamu Hatuna vyema
We muongo
Mange huna jipya wivu
Ujinga mtupu Yamahana hamusemi kumfatiliya mahisha yawatu ndiyo kazi mliyo someyaka
Inawahusu nini amempenda mwenyewe huo ni ubea tuh hamuna lolote wimvu tuh
We mi sina mama shetan kama huyu