Thanks the good people of isiolo,marsabit and tanariver counties!nakubali makaribisho yenu katika ukumbi wa grande hotel Isiolo,unity show ilikuwa ya kukata na shoka,ningependa pia kushukuru NOMAD TIME'S kwa kupeperusha hafla hii moja kwa moja kwa mitandao za kijamii ,pia mc wa hafla hii dj baaha ,wario and bonaya na Alhamamy nyinyi nyote nawapa kongole!walkabhadaa tuwe kitu kimoja . YAJAYO YATAPENDEZA KWELI
Thanks the good people of isiolo,marsabit and tanariver counties!nakubali makaribisho yenu katika ukumbi wa grande hotel Isiolo,unity show ilikuwa ya kukata na shoka,ningependa pia kushukuru NOMAD TIME'S kwa kupeperusha hafla hii moja kwa moja kwa mitandao za kijamii ,pia mc wa hafla hii dj baaha ,wario and bonaya na Alhamamy nyinyi nyote nawapa kongole!walkabhadaa tuwe kitu kimoja .
YAJAYO YATAPENDEZA KWELI
Hii wimbo huitwaje?
Bultin adunya by Abdullah Jirma
@@aftinridhwan2301 Galatom bro.