Pia tafuta nyimbo imeimbwa na grolious worship team Bella aliimba wimbo BWANA WA MAJESHI LEO UINULIWE imekuwa genereted from nyimbo za zamani pambio. Ni technical tu za kimziki na utunzi.... Shukran 🎉🎉😅
Nipo nyuma yako sana kaka ila ombi langu ninashida kwaswala la sauti natamani sana kuimba kwa sauti ile soft kama hiyo yako naomba msaada kaka nisaidie
Ubarikiwe sana mwalimu ila jaribu pia kutuonesha namna sauti ya pili inavyopanda na kushuka na sauti ya tatu pia
Duh wee jamaa mbona unaimba hivyo. 🎉 Mungu azidi kukuinua zaidi, pia naona sio mchoyo kutupa madini, thank you 👏
@@victormkello9575 Amen
Nimefurahi,hongera broo.
Mwl mzuri sana ww❤❤❤❤
Amen brother nazid kupata kitu kila nikiangalia clip zakoo be blessed man of GOD
@@KasbertNyangasi Amen Asante
Ubarikiwe sana brother 🙏🙏
First viewer and comment from kenya🇰🇪 😂....I love your work kenan...God bless you sir 😎
asanteeee
niceee .....i like this.am learning here
@@ministerkaysam2348 Amen
Mungu Akubariki sana kaka
Amen
Hapa nimepata kitu pia ubarikiiwe sana kaka
@@IsayaGodfrey1 Amen
Mungu akubariki Sana my teacher nafuatilia Sana darasa lako ninajifuunza kitu
@@samweliolengaya1501 Amina
Ahsantee sana mwalimu kwa maarifa haya adhimuu
@@Sam_JB Aminaaa
Ubalikiwe sana natamani kujua piano
Kenani wewe ni baraka Sana ishi Sana mtumishi
@@LigobertGervas-dp3hk Amen
Unafundisha vizuri
Be blessed
Pia tafuta nyimbo imeimbwa na grolious worship team Bella aliimba wimbo BWANA WA MAJESHI LEO UINULIWE imekuwa genereted from nyimbo za zamani pambio. Ni technical tu za kimziki na utunzi.... Shukran 🎉🎉😅
@@joshuajustustz Aminaaa
Thanks brother
@@godlistenmaingu3824 Asante sana
Nimekupata sana kwa hili mwalimu nimekuelewa sana kwa hili somo naam nipo nawewe bega kwa bega sema unapotea sana kaka
@@ambindwilehosea6837 Nimerudi now
Kabisa kabisaaa seems sababu mambo ni mengi ila kwa sasa naaamin amerud
Na mm huw nymb huw zinjia lakn huw nasahau naomb unsaidie
Naiogopa Key A kamaa ukomaaa...
Nipo nyuma yako sana kaka ila ombi langu ninashida kwaswala la sauti natamani sana kuimba kwa sauti ile soft kama hiyo yako naomba msaada kaka nisaidie
@@ambindwilehosea6837 Usijali
your the best br, MUNGU akusimamie