Abate ni Kiongozi wa Abasia au Monasteri ya Watawa wa Kiume. Abate anachaguliwa na Watawa wenzake wa kiume waliokwishakuweka nadhiri za Daima. Abate anafanana sana na Askofu ila yeye ni Padre Mtawa. Abasia ni Nyumba ya kitawa inayoongozwa na Abate. Abasia pia huitwa Monasteri .
Hongera sana baba abate
Hongereni sna wanaabasia ya peramiho
Hongera Sana kwake Padre Mlwilo
Hongeren sana Abasia Peramiho
May good Lord bless you Fr.
Hongera baba
Hongera mno, lkn naomba mnifunze jmn abate na abasia ni nini? Au ndo wengine tunaita dekano na dekania
Bora umeuliza hata mimi cjui
Abate ni Kiongozi wa Abasia au Monasteri ya Watawa wa Kiume. Abate anachaguliwa na Watawa wenzake wa kiume waliokwishakuweka nadhiri za Daima. Abate anafanana sana na Askofu ila yeye ni Padre Mtawa.
Abasia ni Nyumba ya kitawa inayoongozwa na Abate. Abasia pia huitwa Monasteri .
Kwa kuongezea, Abate anavaa Kofia Kubwa (Mitra) pekee, anavaa Pete ya Kiaskofu na pia anatumia Fimbo ya Kiaskofu.
Dekano ni Padre Kiongozi wa Parokia Kadhaa
Abasia nafikiri ni nyumba ya kitawa