Jina Lenye Thamani || Amani SDA Choir || Dodoma || First Albam Song

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Jina la YESU ndiyo jina pekee lenye thamani kubwa kupita majina yote. Jina hili lina nguvu sana na kila linapotajwa mapepo na nguvu zote za giza zinatoweka.
    Mwamini YESU, mkabidhi yeye maisha yako yote na yeye atakuwa mlinzi wako daima.
    Mungu akubariki sana unapoangalia na kusikiliza ujumbe huu.

КОМЕНТАРІ • 1