Naona kaka obhizile lijidema ubhutemi bhoko ntakele keep up Sioni ajabu kupiga wimbo wako chuoni, kanisani hata nikiwa nchi za nje. Hakika Your a greatest singer
Hizi ndo nyimbo zako za kuelimisha jamii sio Ile ya Matemba Kaa hukuhuku jamaa Angu utatoboa Usiwaze nakukubali sana Mungu akusimamie wa majungu juu Yako mwachie Mungu atawajibu hakuna mafanikio yasiyo kuwa na majungu mti wenye matunda malizia ..............,pamoja sana The greatest singer kisima one OG
Nipo nyanpade ya sengerem upo sawa kaka kweye yimbo yako shikomw nakubali sana kisima Mimi huwaka nichekesha kama siku 2kikutana itakuwa sawa sana nakubali sanaaaa mungu akutakuliee
Hakika wew ni Bora kwenye asili yetu wasukuma huna mpinzan na kudhihirisha hilo Ndyo maana nyimbo zako zina view wengne kuliko msani mwingne wa kisukuma unatisha mzee🙌
Valeu quisera belo trabalho dos dois vídeos recentes parabéns atoda equipe . Em especial a você e essa garota da equipe de dança a que dá um sorriso lindo no final do vídeo sou fã dela Parabéns África Tanzânia. Eliel de Abreu e Lima PE.
Jamaa anatwanga nyimbo haswa, nyimbo imekamilika haswa, vibes za. kutosha, "aducation makes perfects KISIMA" wewe na MWANAKAN'GWA, mnanipigiaga vina Atari na ujumbe wa kutosha, hakika elimu zenu mnazitendea haki, KARIBU BUKOLI tar 27 utatukuta, sipendeleagi nyimbo za asili ila kwako na ntemi omabala nimepaki
Très belle musique Longue vie bonne santé beaucoup de bonheurs et réussite totale dans la vie ainsi que réalisation de tous vos vœux.vive la musique Africaine.
Kaka Kisima Majabala kwako Mimi Sina Neno Nyimbo Kali Sana Video kari Good Director Migera
Kisima upo moto endelea kazi nzuli mashabiki wako tupo na wewe bega kwa bega
Kisima uko moto sana nimezikubali nyimbo zako zote
Dar es salaam moja we Love you champ❤❤❤❤....unatishaaa
Hiyi nyimbo inanitiaga morali saaaaana wasukuma oyeeeeeeee 🥰🥰👋🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah kaka uko vzur sana Mungu akutunze achana na kina furan
Jmn mie ni msukuma npo dar Lakn nampenda sana huyu kaka majabala 🥰🥰
Fantastic sana ,kisima nyimbo zako nzur sana mwenyez mungu akuzidishie kipaj chako,
Mawe juuu ya mawe hakika mungu akupe maisha malefu ili tujivunie uwepo wako🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Kila nikisikiliza wimbo huu inanibariki sana kwa ujumbe mzito na mzuri sana, Hakika Kisima ubarikiwe sana.
hiii ichene ubuhabhi mh nkoy simba ni kweli nibhonekeja gete unene bighaap sana kisima kwa ujumbe mzur
Naona kaka obhizile lijidema ubhutemi bhoko ntakele keep up
Sioni ajabu kupiga wimbo wako chuoni, kanisani hata nikiwa nchi za nje. Hakika Your a greatest singer
Kanisani tena mbona umefika mbal
Huyu jamaa kwa vina yuko vizuri good work
We kisima umetisha sana
Hizi ndo nyimbo zako za kuelimisha jamii sio Ile ya Matemba Kaa hukuhuku jamaa Angu utatoboa Usiwaze nakukubali sana Mungu akusimamie wa majungu juu Yako mwachie Mungu atawajibu hakuna mafanikio yasiyo kuwa na majungu mti wenye matunda malizia ..............,pamoja sana The greatest singer kisima one OG
naipenda kaz hii na iko moyon ipo siku tutakutana kaka heshima kwko unajua kuimba
Nyimbo nzuri Sana kisima hongera Sana, unanikumbusha mbali Sana piga kazi ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💚💚💚💛💛💛💛💛💛💚
Muha niko kigoma nimekukubali kisima kuanzia biti,mashaiili,mavazi hadi kenya ujaruoni nyimbo hii inapigwa
UTABAKI KUWA NAMBA1 ... NIMEMWONA SHEMEJI YANGU HUMO KAFANYA PW SANA 🔥🔥🔥🔥..MIGERA YOU'RE SO CREATIVE By Kasai Technology
Kalimbujni
Nyanda masome
Nyanda Massimo
Uko bomba brother nakubali nyimbo za ko
bhuhabhi tombana kutoka kenya nimemis saan asili yangu wanangu wa bariadi msalimieni monde natongwile saana😌😌😌
😂😂😂
Mzeee nipe number yako tuongee biashara
Kisima mungu akulinde
Nipo nyanpade ya sengerem upo sawa kaka kweye yimbo yako shikomw nakubali sana kisima Mimi huwaka nichekesha kama siku 2kikutana itakuwa sawa sana nakubali sanaaaa mungu akutakuliee
Jamaa yupo vizuri sana, ujumbe mzuri pia video ipo safi v
Kaka nyimbo zako ni nzuri sana, nakiri natumia muda mwingi kuzisikiliza hasa huu wa Buhabbi na ule wa Ng'wanankanda na jirani.
Kisima we kaka akuamini sana kijana piga kazi kwanyimbotu zakisukuma sioni wakukufikia ile nyimbo yaghubhutale noma acha kabisa
Beautiful son , nyimbo nzuri sana sisi tunaoendelea kutafuta maisha
Huyo dada ni sehmej yangu je huko amefikishwa ni😢
Kisima ww ni mashine yakazi mwamba nakubali sana
Yaani nyimbo miaka na miaka haitaweza kuchuja ❤❤❤❤
Nimekukubali sana kaka. Unafanya kazi nzuri sana
nakukubali xana kisima nyimbo zako zipo makini haswaa pambana wasukuma tunajivunia kusikiliza nyimbo zako mungu Skype maisha marefu.❤❤❤
Daah wewe nihatali wakinamasome wakalia Majungu t piga kazi mwamba
Kazi na dawa piga kazi.baba mwanakanda pongezi sana
Yaani kaka nyimbo zako sijawahi ngoma yako mbaya ,ubhebhe ulentale obhalengi
Nakukubar sana af cjui ulikuwa wap kipindi nawashabikia wasio jua hawa
Kaka ww noma sana wasan wengine wakalale wachome na dawa ya mbuu by Michael boy from dar es salaam
Nakupenda kisima nayomba ukamale lolo❤😂
Pamoja san kaka wa nyumbani umetisha love u kisima❤️
Kisima nakuombea Kwa mungu azidi kukuongezea mashairi mazur ya nyimbo zako.kama Ile ya buhabi hiyo nyimbo inatufundisha pakubwa sisi watanzania
Hakika wew ni Bora kwenye asili yetu wasukuma huna mpinzan na kudhihirisha hilo Ndyo maana nyimbo zako zina view wengne kuliko msani mwingne wa kisukuma unatisha mzee🙌
Big up Canada kaka.. Najua watakaa sanaaa hao by Emma nyanda ngusa
Nimeona nimeelewa sana kaka kisima ngoma zako ni kali sana
Kisima huyujamaa Yuko vizurisana Nisha wahi kupiga nae stor nimsanii ambae anae jielewa Sana
Dah nimejikuta nalia tu 😢
Mungu akubarik kisimi
MTC funs, we are proud with what you're doing kisimaa, hangamaga
😘😘😘😘😘😘 wimbo mzur unaimba umetulia Hadi raha
我的金丝雀从來不啼,一听到kisima的歌声,它开始啼唱了。很棒的歌曲。❤❤❤
😂😂😂😂❤❤
Kazi kubwa sana kaka kisima mungu aendelee kukutunza
MIGERA PRODUCTION big up sana mabroh mko poa zidishen ubunifu hakika mnajua tena na tena
Aidha naomba utengeneze na video nzuri ya shilatu maana ni wimbo pia mzuri sana, Mungu akuongoze ktk hilo ili uendelee kuelimisha jamii yetu
Kwa kweli unatuheshimisha sana kiutamaduni. Mungu azidi kukufungulia njia zaidi upate mafanikio zaidi ili uendelee kuelimisha jamii yetu.
Off course your the greatest singer in sukuma tribe be blessed by our God
Vuhavi gukuu,umaskini...nani ameuleta,
Ninage nane Mulungu- nipe namimi nipate kidogo.
Mode nizumyage..mwana wamasuka magembe. Nikibali mode,mtoto wa mtengeneza majembe
Nyimbo nzuri Ata kama sijaerewa
Kisima Yani nyimbo zako zote nazikuballi Sana unanyimbo za ujumbe hakuna msanii wa kukulinganisha na wewe make hata sauti imepangiliwa vizur
kisima nyanda majabala upo vizur sana mungu akupe maisha marefu kaka
Nipo dar namba one mt tanzania❤
Keep it up brother, unajua hakuna wa kubisha
Kaka tulisubiri sana hii Ngoma,,, sema Imekaa poa sana
Ndg yangu umeimba ukweli mwanzo hadi mwisho yaani umaskini hauna heshima kabisa, Karibu sana Mwandoya na mwaka huu bado tunakuhitaji sana
kisima kaka mbna haka kademu unakatumia sana ata nymbo ya jiran lkn sio mbaya ni kazuri sana offcourse unaweza niunganishia na mm niishi nako kk
Kiukweli mzee baba hapa huwa unanigusa .
Kwakweli nakupenda sana we kisia wewe basi tu akuna nyimbo yako ambayo Sina
Tukiachàna nà ujumbe wa hii nyimbo kaka na kwíñi video úlíua saña jàmañ yaaañ Omóñde,, Owizà gete.
Wimbo mzuri sana unanikumbusha mbari sana
Nimoja ya kazi nzur sana kaka nakupta vizuri
Jitume kweny game ya mziki najua umehaso sana ila kwa sasa mambo yako 🔥🔥
Nimeikubali Sana hii ngoma unajua🤟
Najivunia kisima pekee maana huwa anatumia utaratibu wa uandishi wake yaani mizani na vina
Bels morceaux dans cet artiste... Y.. Bon soir ''' saluts
Valeu quisera belo trabalho dos dois vídeos recentes parabéns atoda equipe . Em especial a você e essa garota da equipe de dança a que dá um sorriso lindo no final do vídeo sou fã dela Parabéns África Tanzânia. Eliel de Abreu e Lima PE.
Welcome to Tanzania 🇹🇿
Umetisha Sana mkubwa we ni🔥🔥🔥🔥🔥 wakuotea mbali
Hongeraa kaka anguu ❤❤❤
Kisima kama kisima pamoja 🤝 sanna na mwaka 2024
Bro umetisha sana just imagine hii ngoma nimeiskiliza mara moja tu nkaipenda,ww n mfalme wa nyimbo za asili tz nzima
Pamoja sana nimeyapata magoma
Hongera sana Kwa tungo nzuri
Jamaa anatwanga nyimbo haswa, nyimbo imekamilika haswa, vibes za. kutosha, "aducation makes perfects KISIMA" wewe na MWANAKAN'GWA, mnanipigiaga vina Atari na ujumbe wa kutosha, hakika elimu zenu mnazitendea haki, KARIBU BUKOLI tar 27 utatukuta, sipendeleagi nyimbo za asili ila kwako na ntemi omabala nimepaki
Umenifanya nitafute mkalimani wa lugha hiyo baada ya wimbo kuona unapigwaa sehemu nyingi na wasukumaa, kwel umeimbaa brother.
great work,, hakika unakipaji na ubunifu wa hatar
Kisimaaaaa💥💥💥💥
🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿 uko vzr
Pogezi yako kisima kweli panania panajia hakika
Safi sana kaka wimbo mkali sana
Kisima mwamba kweli kweli
Hakana wa kukupinga hakika unaijuwa Sanaa kaka
Kaka hongera sana piga kazi
Mm keto karen ktoka kisi ma kisima nmejifunza mambo meng sana kutoka kwako kaka skull sku mujeres uje nyakafuru masumbwe
Kaka hayo yamenikuta kaka karib zanzibar
Très belle musique Longue vie bonne santé beaucoup de bonheurs et réussite totale dans la vie ainsi que réalisation de tous vos vœux.vive la musique Africaine.
Thanks 🙏
Kweli umasikini nimbaya sana
Kisima tupopamoja.nakuamini mnyamweziwa sukuma pigakazi mdogowangu
Nakubal mkuuu wangu nyimbo amaizng 🔥🔥🔥🔥
Kwa huu wimbo utadhani uliimba Kwa ajiri yangu maana mpaka jina la demu no Kama yule monde wangu
Jaman napenda sana nyimbo zako kaka
Pamoja sana kiongozi nn mimi hapa ndg yake na Mas p nkoma village
Niliisubilia mwisho hii💥💥💥💥
MTC
kaka unajuwa sana Tena sana
Nyimbo kali sana hii 💪💪💪
huu wimbo unanifanya niwe vizuri moyoni
Vizuli sana kisma ❤❤❤❤❤❤
Nakukubali San japo japo sielewi ila midundo naikubli sana
Me nimeelewa tu yalilokavi bariad kapindi pindi
Kaka kipindi niko shilima nakumbuka show yako ilikuwa balaa Sana mwaka jana tu yaani huku mwanza capripoint ngoma zako zinapigwa sana