Naona ni kote ulimwenguni sheikh maana hata hapa qatar walisubiria sana kuona mwezi, ila kufika saa tano usiku wakajua wanaendelea kufunga Ila alfajiri kukawa takbir eti ni idd Mwenyezi mungu awafanyishie wepesi wake. Hongera ndugu zetu waislamu na muendelee na ibada jinsi sheikh anavyosema IDD Mubarak
He doesn't, your the one misleeding urself..... y only somali community celebrate idd u like contradicting things always.... seek knowledge its the only way out
Shida mwajitakia wenyewe kwani hamjui Quran yasema nini?? Always mwataka fwata saudia y???? Wewe kama sheik umeuwona mwezi au umefanya juhudi za kuuangalia??? Nyinyi ndio mwatugawanya. Sijui mwapata faida gani...... na kama mashekhe tatueni tatizo sio mulikimbie kila mwaka mambo ni hayo hayo
I respect sheikh swalihu... One of the most humble cleric.
We maska
🤣🤣🤣🤣🤣
Masha Allah
Hivo ndio shida zinatatuliwa
shukuran
Naona ni kote ulimwenguni sheikh maana hata hapa qatar walisubiria sana kuona mwezi, ila kufika saa tano usiku wakajua wanaendelea kufunga Ila alfajiri kukawa takbir eti ni idd
Mwenyezi mungu awafanyishie wepesi wake. Hongera ndugu zetu waislamu na muendelee na ibada jinsi sheikh anavyosema
IDD Mubarak
Chief kadhi always misleads us in Kenya, it’s not the first time! Tumezoea
He doesn't, your the one misleeding urself..... y only somali community celebrate idd u like contradicting things always.... seek knowledge its the only way out
Not only somalis coz am in qatar n we r celebrating Eid today
@@shiirozy1418 am speaking about kenya not the whole world
Shida mwajitakia wenyewe kwani hamjui Quran yasema nini?? Always mwataka fwata saudia y???? Wewe kama sheik umeuwona mwezi au umefanya juhudi za kuuangalia??? Nyinyi ndio mwatugawanya. Sijui mwapata faida gani...... na kama mashekhe tatueni tatizo sio mulikimbie kila mwaka mambo ni hayo hayo
Those following saudia r misleading Muslims