NJIA TATU ZA KUTAMBUA NDOTO KAMA NI YA KWELI AU LAA! - PADRE TITUS AMIGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2022
  • Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019

КОМЕНТАРІ • 10

  • @mussandelule6828
    @mussandelule6828 Рік тому +3

    Asante sana Baba Amigu kwa mafundisho mazuri. (Fr. Mussa Ndelule)

  • @claudianokiwone8998
    @claudianokiwone8998 Рік тому +1

    Asante sana baba kwa mafundisho Mungu aendelee kukupa nguvu ya kutufunulia Kweli ya maandiko

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 Рік тому +1

    Kweli hatupo kwa ajili ya miujiza. Miujiza feki iko mingi sana ya msuko, nimeona na kusikia kwa masikio yangu watu wakipewa/kuahidiwa pesa na kujifanya vilema au wagonjwa. Wasipozipata siri zinababumbuluka. Asante sana endelea kutuelimisha.

  • @michaeljibalo8312
    @michaeljibalo8312 Рік тому +1

    Asanteee

  • @alexmalangalila8340
    @alexmalangalila8340 Рік тому +1

    Asante sana

  • @isaacemeka3476
    @isaacemeka3476 Рік тому +1

    Mmmh ok

  • @fadhililuvanga1041
    @fadhililuvanga1041 Рік тому +1

    Mh kwenye pombee

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 11 місяців тому

    Ukimwota mtu wa karibu aliyekwisha kufariki inakuwaje