Let's her tell us about the kidney coz haeleweki 15yrs girl going abroad,mara 2wks watakuwa matajiri na msichana hajulikani haliko,hio ni biashara ya kuuza body parts.
@@RhodaMagotsi tooooobad for orphan girls, hii story inafaa iwekwe breaking news every where you can imagine Kuna wa cucu plus other family watu wao walikufa Waka wacha Orphans so hizi news kama hazitafikia watu huko mashinani bado watu wata zidii kukimbilia hizo offers once opportunity imepatikana bila kujua the dangers behind of free things
These term waheshimiwa is the real problem that we Gen-Z are busy trying to dismantle,, you see someone driving a 30million Range Rover and think it’s their money Kumbe ni cult ya kuuza body parts za watu !!
Kwani ni nini haijaonekana kwa hii dunia.? Akili ndogo inaongozwa na sexuality na ngono. Mbona sisi hatuwazi mafikira kama yako na akili zetu ziko kwa ujumbe
Sama hii kimbiza haraka msichana amefungiwa mahari waiting kutolewa kidney na pengine ni waschana wengi wamefungiwa mahari call DCI bila kupoteza wakati Sama to safe the girl
You are partners in crime..pahali waheshimiwa wanatajwa kuna cartel kubwa sana..We don't trust this people. Taking advantage of orphan girls ..mshindwe sana juu hii ni human trafficking
Huyu ni mastermind of kidney extraction and selling to abroad, how many girls and where are the forms for those girls who has already gone,they are been taken to china for kidney extraction,i wonder does kenya has hidden kmc for kidney extraction Gen z please help our girls by even punishing this pple extracting kidneys
Watu tujifunze what's goes around comes around malipo ni hapa tu atoe innocent girl ooh so sad justice for the girl hii bisashara ya figo imemaliza Kenyans bcoz of greedy pple 😢😢
Sama santazi hii gaidi tupate more information vile wana safirisha wasichana watolewe kidney kwanza wanataka watto ya tima na wa single mother wenye wataweza kufuatililia kesi
The girl probably lied about being an orphan so that they could help her without her parents being involved. Stella took advantage thinking she’s indeed an orphan; knowing that no one would come looking for her.
This lady Ako na makosa mingi in this case, she's the one who should do the investigations of the girls before like know there parents and get permission and even know there actual age before giving out the girl .
Another saga similar to that of Baby mash loading...call our own DCI Godfrey assap
kabisa DCI should be notified, hw do u mentor a person that you even don't hv her history background. DCI Godfrey anguka nao Hawa waache story mingi😡
Baby mash alipona by the way..huyu sama apeana updates
Ongea kabisa na maringo! We want justice for all those girls, you have removed body organs! DCI wetu you are required here.
she was not involved si ata kwa chats walisema wasimwambie kila kitu asi wauze. Deal ni ya stella na ben
What a planned lie!!!.a mentor who can't tell the age!!!.anamentor?laana iwe juu Yao in Jesus name
So you gave out a 15year old girl to work in Qatar??? DCI karibu
Let's her tell us about the kidney coz haeleweki 15yrs girl going abroad,mara 2wks watakuwa matajiri na msichana hajulikani haliko,hio ni biashara ya kuuza body parts.
The connversation was between stella and ben not this Njambi. huyu labda hajui. ata kwa chats walisema wasimwambie kila kitu asiwauze
Mentor, Counselor, working with waheshimiwa, talking to girls Marriage issues, Motivator...Red 🚩. This one has mo Qualifications
How comes she didn't know she's 15? How is the introduction? What was the problem the girl she mentored! Ukisikia mheshimiwa ujue ni cult business
Huyu sanamu anajua everthing,mara job,mara kusoma,shidwe
Anakaa sanamu ya kuchonga shetani ya mwanamke ishindwe sana
Why are they targeting orphans, it seems they are dealing in illegal trade
Coz orphans hakuna mtu atafatilia mambo yao,😢😢😢 unmasking ni mbaya Eee Mungu saidia mayatima wajane na single moms ASAP
@@florenceatambo2579true
Hakuna mtu wa kufuatilia wakienda missing huyu mwanamke n muwaji Aende lang'ata sentences one way
I watched the whole story and I got to know why they needed orphan girls.
@@RhodaMagotsi tooooobad for orphan girls, hii story inafaa iwekwe breaking news every where you can imagine Kuna wa cucu plus other family watu wao walikufa Waka wacha Orphans so hizi news kama hazitafikia watu huko mashinani bado watu wata zidii kukimbilia hizo offers once opportunity imepatikana bila kujua the dangers behind of free things
Dci Godfrey welcome on board please
Hapa hakuna cha kuenda china, hapa watoi wako around , hizo ndio baadhi ya mili ziko kwaree
👌👌
A other Liz on stage.
Wachana na yeye apige mudomo sasa,ukweli loading hajui Sama ni DCI wetu.
Aki
Hio agency imulikwe mara moja. Nlisema juzi team 2019 to 2023 we were lucky hii nyama haikuwa imefika. Pole Sana mama
Walking tena we r Lucky na kushugulukiwa kila.kitu kwa agent. Sai wanalipa commission
SHAME ON U!!!! UNA "RECRUIT" WATOTO BILA YA " ID CARD ZAWO " AMA UJUWE WANAPO PELEKWA!! ( HAPO UMENASWA HUCHOMOKI )
These term waheshimiwa is the real problem that we Gen-Z are busy trying to dismantle,, you see someone driving a 30million Range Rover and think it’s their money Kumbe ni cult ya kuuza body parts za watu !!
Such stories should make headline news.. It's a very big cartel
There's a lot of information hidden 😢I wish Stella is here we hear the two sides of the story....though I'm suspecting this woman has alot to tell
The kidney they were talking about inaeza kuwa ya huyo mtoi
Exactly
for the 1st time Sama complimented a guest 😊
🤔🤔
You wicked Agency remember there's God for orphans and he fighting for them
Samaa if you act fast the girl is hidden somewhere withi
Exactly
Sitting posture surely 😮😮
A mentor😂Mapaja wazi shuali😊
Sama leta DCI Godfrey aokoe huyo msindana mdogo before watoe figo
May God protect all orphans and singles kids
Why African selling them self to criminal Agency out there? the money is in Africa not out there what you think
Avae nguo mrefu na ajue ku keti mbele ya men
Alar😮
I thought mimi ndo naoverreact
Sometimes I think they sit intentionally
Kwani ni nini haijaonekana kwa hii dunia.? Akili ndogo inaongozwa na sexuality na ngono. Mbona sisi hatuwazi mafikira kama yako na akili zetu ziko kwa ujumbe
Ako soko😂😂😂😂
Awache Kuka kama kihii in front of camera
May God protect orphan widows poor people and good hearted people please
Marriage counseller my foot, they must bring back the young girl
It's very disturbing that we are normalizing criminal acts just to make money - so many people with blood on their hands
May God intervene for justice to prevail
Oh this the woman who was complaining about where the girl is at, she is not involved so much
exactly. ata kwa chats walisema wasimwambie kila kitu asiwauze
But she should have asked the girl for her ID to confirm
Who is the muheshimiwa....Aki this country people be riching themselves with people's lives honestly..sad
I would rather die poor.
There's God in Heaven utajua hajui.
Sama unapenda umbea😂😂anyways umbea haitaki uvivu
Waah,hii ni deal ingine kama ile iko na senior Dave ya kurusha wasichana kwa mto🙆
Madam Njambi, and anybody else please note that to get a passport you don't need an I D,even a day old baby can get a passport,you only
True
Wanafikiria hii dunia wataishi miaka yote, hata wao wanakufa.
Their kids will also find themselves in the hands of the wicked agents. Karma isa bitch and knows the current location. It's just a matter of time
We thank God for this people UA-camrs cz many Evil things happening here in Kenya..akuna utu wa kibinadamu
Hii agency ipelekewe salamu
Mungu Linda watoto wetu,aki kenya imengeuka,, kila mahali umwagikaji wa damu yaani watu hawana huruma
Wanaitwa wanawake ni mashetani
Hii kenya sai biashara mingi inafanywa sana za body parts Mungu awaanike kabisa
Good work sama❤❤❤
Straight to the point
Sama hii kimbiza haraka msichana amefungiwa mahari waiting kutolewa kidney na pengine ni waschana wengi wamefungiwa mahari call DCI bila kupoteza wakati Sama to safe the girl
Weee sad washikee
Sama bring the man mwenye anataka kukonda matako on set 😂😂😂
😅😅😅
😄😃😃😃😃😃😃😃😃
Go direct to the point where is the girl praying to God we get good news of the girl
Wuuuueeeh njambi wengine msituharibie jina tafadhali
Bale yetu sisi wenye hatu cheat God remembers us with such good men
Huyu ni one of them!
You are partners in crime..pahali waheshimiwa wanatajwa kuna cartel kubwa sana..We don't trust this people. Taking advantage of orphan girls ..mshindwe sana juu hii ni human trafficking
Waheshimiwas are the biggest cartels in human trafficking. Justice must be done
Huyu ni mastermind of kidney extraction and selling to abroad, how many girls and where are the forms for those girls who has already gone,they are been taken to china for kidney extraction,i wonder does kenya has hidden kmc for kidney extraction Gen z please help our girls by even punishing this pple extracting kidneys
Mama murogi....na nimeona hiyo kicheko
Biashara ya kidney, ukweli wanadamu wanapenda pesa kuliko maisha ya mtu
Samaritan.. pliz brief us on baby mash... Alipona?
Watu tujifunze what's goes around comes around malipo ni hapa tu atoe innocent girl ooh so sad justice for the girl hii bisashara ya figo imemaliza Kenyans bcoz of greedy pple 😢😢
AS YOU SAID SAMA NJAMBI LOOKS NICE ,NI KUUZA KIDNEY ZA WATOTO,WATU..DCI DCI
Yani Kenya 80% ya watu wanaishi maisha ya juu kwa kuitumia kafara za damu za watu na kuzaa body parts 😢😢😢
Huyo alikuwa chancellor Margaret .Eti wadau 😭
Muuwaji na mkora wa kungowa viungo za mwili na kuuza kisha kuuwa wasichana
Huyu snadanganya na hiyo certificate ya counseling anyang'anywe haraka sana
Should be revoked Asap
Talking like an angel from heaven but there is more than met the eye🧐🧐🧐
wamama mnafurahiaga mama mwenzenu akiwa kwa shida. even the chats said she was not aware. stella na ben were saying asimwambie kila kitu
Taking watoto abroad kufanya nini!!?? Kusoma ama kufanya kazi!?
But these are under age, these trafficking, these a criminal to lie on young children she is in it, traffickers 😢😢
Kutoa kidneys 😢
From the look of things this lady is innocent
Police case
Kenya hakuna police case,,,iko na bribery tu.
How did these people manage to process for the girl without ID
There is no country there. Everything is possible. It's a mafia country
Majambazi sugu
Giki nigiaku kiraria gituramite. Vaa trouser kama hujui kuweka miguu pamoja.
Samaritan will do 30 plus episodes without any sanitization
Njambi ni innocent juu part one stellla said wameekwa kwa trouble na nhambi juu ya kuoneshana io ofisi so i feel shes innocent
Huyu ni moja wao,wanauanga bodies ,illuminati direct
Listen to Jambi!!
I don't know where the world is taking us to. Mtu anatafuta wealth na maisha ya wanadamu. may Almighty God punish them 😢
Pls Sama involve DCI immediately
Hizi ubwa zishikwe yani watoto wawatu wanauliwa wakitolewa fingo nawatu wanakwa matajiri huku ije kumbe hii ndio kazi watu mnafanya😢
Kumbe waheshimiwa dio wanauza watu nchi za nje na ukipatwa na shinda uwezi saidika
Çan you imagine
Ma"big"fish ndio wanauza kidney na matumbo ya masikini
Jambi ni mzuri... Mwambie aje Tanzania
Sama sometimes kuwa unaconsot stano, hii unafaa kuact very fast before mtoi auwawe
Sahi wenye wanaenda majuu kuaeni makini sana sahi wanauza watu wanadanganya ni school ama kazi
Mama unawatoto miaka kumina tano nyinyi ndio umechokesha watu na mauaji mukisherekea pesa na familia yao wanalia mufaa kunyongwa nyinyi pia
This case its like that of mash😢😢😢😢gaaaiii dci ajulishwe......na wanaangalia orphans😢😢like the case that was in dave's channel
😢😢😢😢😢😢awa ni mabroker
Which countries coz saudia akuna usaidizi needed
Hii story imefanya nirudi uku kwa samaritan..it hurys😢
Who can employ a 15 year old child wawache kutupima bangi sisi sio wajinga😢
We asitudaganye Wako Na Biashara fish
Huyu amejiuza tu .... commission fr selling the girl to them ..quite unfortunate
Inaeza kuwa ukweli
She is also aware let her not pretend samaritan
she is not ata stella na huyo ben walisema wasimwambie kila kitu
Sama santazi hii gaidi tupate more information vile wana safirisha wasichana watolewe kidney kwanza wanataka watto ya tima na wa single mother wenye wataweza kufuatililia kesi
Apatikani huyo mschana ndio alimtafita kwa familia yao akawaletea
It seams th15 years old girl might be alive cuz kwa sms ilisema the owner of the kidney is about to come,Samaritan act with speed 😢😢
Sama sasa bona unaleta huyu huku instead ya kutafuta that girl, unataka hii story ikuwe kama ile ya mash, mupaka tufike episode 30😢😢.
Dj sam Wachana na yeye bro
Huyu ni councilor? , ebu mwambie kwanza akae vizuri kwa interview ingine
The girl probably lied about being an orphan so that they could help her without her parents being involved. Stella took advantage thinking she’s indeed an orphan; knowing that no one would come looking for her.
Sama kabla huja ongelesha mtu sana kuwa una santise the phone's fast
Njambi isn't disclosing much because she is part of this messy,shitty stuff.yo be held accountable too. DCI INTERVE NE
Wewe cheka tu na hii ni police case alafu agirl of 15yrs anaenda aje inje ya inchi
Sama let this case deal with CID ad u ,lazima walete huyo msichana coz nko Qatar but Qatar their were not dealing with this dirty things about kidneys
Councilor my foot...ngombe tu
This lady Ako na makosa mingi in this case, she's the one who should do the investigations of the girls before like know there parents and get permission and even know there actual age before giving out the girl .
Why African selling them self to criminal Agency out there? the money is in Africa not out there what you think
Sasa hii maringo Yote ni ya nn yawa🤔🤔🤔
How can a 15yrs call go for a job na hata ID hana how can she get passport and job letter
Gulf countries they dnt allow someone who is not above 20yrs so hii ya 15 yrs ????? Iko na redflag these pple hv been doing child trafficking
POLISI KESI YA KUTOA WATOTO KIDNEY 😢😢😢
Samaritan unge sanitize hiyo simu