Dada wa kimisri mkali wa kiswahili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @mikidadially2288
    @mikidadially2288 2 роки тому +1

    Mzungumzaji wa kike ana Kiswahili kizuri zaidi ya cha mzungumzaji wa kiume 😊💛

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 роки тому +3

    Mashallah, Kiswahili kitukuzwe! Kiswahili ndio lugha pekee ya kuunganisha Waafrika wote.

  • @shabanmaulana8594
    @shabanmaulana8594 2 роки тому +7

    Masha Allah, nafurahi sana na kujivunia lugha yangu ya kiswahili.

  • @raidantheafricano7118
    @raidantheafricano7118 2 роки тому +2

    Hhhhhh mbona yupo haraka sana jmn duuh sema vzur sana nafrahi kusikia ivo

  • @Mwalimdan8494
    @Mwalimdan8494 2 роки тому +2

    ….allahamdulilahi,swahili ni yetu ya kila siku🇹🇿🇰🇪

  • @aminamkamba5406
    @aminamkamba5406 2 роки тому +2

    Maashallah Maashallah

  • @erickmoenga1206
    @erickmoenga1206 2 роки тому +4

    So proud of her

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 роки тому

    Mashallah kiswahili safi kabisa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому +1

    Masha Allah Allah bariq

  • @Mono-jx4cp
    @Mono-jx4cp 2 роки тому

    Mashaallah nice

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 2 роки тому

    Safi sana Dada.Kiswahili ndio lugha,itakayo iunganisha bara la Afrika.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Dada upo vizur mashaalah

  • @bintomar7025
    @bintomar7025 2 роки тому

    Anaongea km ana memory kichwani... MashaaAllah

  • @sallyjerotich7078
    @sallyjerotich7078 2 роки тому +1

    Shukrani habibibt

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @alihalfan9031
    @alihalfan9031 2 роки тому +1

    Hongera ninashauku kubwa kuona dunia mzima kiswahili kina fahamika mashaallah

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому +1

      Asante sana na tunathamini sana kwa mchango wako mzuri

    • @fatimayoussoufali1930
      @fatimayoussoufali1930 2 роки тому +1

      Sisi wajeni tukija tz hatuna amani kwa wizi tunaibiwa unamuamini mtu kumbe nomwizi nimeibiwa ml5 na laki2 namtu niliomuamini kumbe wmizi. Mnaimba tz nchi ya amani amani iko wapi mawwaji kila siku wizi wa kila aina dhulma nyingi . Mko taari kuuwa for money. Shame on you. You couldn't be proud because we speak you language I'm speaking 5 languages and i have never heard an Arabic or an English or French to proud himself for that. They proud themselves when they heard people talking in good things , actions for their country.

    • @alihalfan9031
      @alihalfan9031 2 роки тому +2

      @@fatimayoussoufali1930 oooo pole sana Dada kwani uhalisia tz utapeli upo ila katika maisha jaribu kuto kumuamini MTU na usimzarau MTU kwani mbeleni hujua atakuwana na atakuwa na mchango gani kwako sawa hiyo IPO tu nihakiyako ujue haijapotea utaikuta siku ya hisabi inshaallah

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому +1

      @@fatimayoussoufali1930 ushauri: suala la mali, pesa, na amana nyingine zote liwe kimaandishi na kwa kufuata sheria na taratibu za nchi ili iwe rahisi kufuatilia suala lako kwenye vyombo vya sheria tena kwa uhakika zaidi na ili uweze kuzipata haki zako zote. Ama kuhusu uhalifu nchi zote duniani zina vyombo maaalumu vya kisheria ikiwemo polisi na mahakama ili kujaribu kupunguza uhalifu kama si kuumaliza kabisa.

    • @fatimayoussoufali1930
      @fatimayoussoufali1930 2 роки тому

      @@Kiswahilinaladhayake hiyo pesa sijamkopesha na tumeandikiana na yeye ndo katowa idea yakuandikiana kilammoja katia saini yake na kulikuwa na mzahidi . Pesa nimempa anishikie ila kwa vile yeye nimfanya biashara anaweza anaitumia huku ananisaidia japo hela yakula alikuwa ana nitumia lakimoja kila wiki nimpa mwezi wanane mwishoni watisa wakumi nimesafiri nimerudi tena tanzania kbla nimwambia nikirudi tanzania nitakuja kuchujuwa yile pesa ksema sama. Nimerudi tz mwezi wakwanza kilaniki mwendea aninikwepa . Hasema pesa hanipi nifanye wala siwezi kumfanya chochote mimi nijeni huko nikwawo panaweza kunifanya chochote.
      Nimerudi kwetu mwezi wa 5 hata mia hajanipatia mil5 nalaki2.

  • @shamimfatima9533
    @shamimfatima9533 2 роки тому +1

    Unajoua sana kiswahili

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому +4

    Unajua wakati sisi tunaona kiswahili ni lugha ya mazoea ,wenzetu wanaona kuwa kiswahili ni lugha ya KITAIFA na inahitajika sehemu mbalimbali duniani.

  • @dwamburu1
    @dwamburu1 2 роки тому

    many congratulations to her

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      USITURUDISHE NYUMA ANDIKA KISWAHILI TAFADHALI.

  • @perisiverympwenku139
    @perisiverympwenku139 2 роки тому +1

    Lugha ya africa

  • @herculesthepower1544
    @herculesthepower1544 2 роки тому +6

    Halafu utakuta baadhi ya wahindi wamezaliwa Tanzania tena kuanzia babu yake ni wazaliwa wa hapa Tanzania. Lkn akiongea kiswahili utadhani ni mgeni wa jana. Veve vp bana hapana taka kuja jumbani kwangu fagia fagia kidogo mimi ipo kupa hela kidogo. Sifanyi utani wala uongo. Vijana wa sasa hivi wanaongea kwa kuamini yale madharao ya zamani imeshapitwa na wkt. Kwani zamani enzi za ukoloni nao walijifanya sawa na wazungu ni kudharao waafrika.

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 2 роки тому

      Sawa na Kenya wote baniani ni fake

    • @herculesthepower1544
      @herculesthepower1544 2 роки тому +2

      @@johnkuma6867 Kiswahili haswa imetoka pwani East Africa hata kiswahili cha bara hakipo vizuri hivyo lkn wanaongea kiswahili kwa sababu watanzania wote wananchi wanaongea kiswahili. Kenya siyo makabila yote au wananchi wote wanaongea kiswahili. Wakenya wanaongea English zaidi kuliko kiswahili na wanaongea lugha yao ya kikabila. Sasa mwindi wa Tanzania Baadhi wamezaliwa Dar es salaam lkn kiswahili pumba tupu. Ni sawa na mwindi azaliwe uingereza halafu hajui kuongea English ni dharao tu kuiona kiswahili kitamsaidia nini?

    • @arcsys
      @arcsys 2 роки тому +2

      @@herculesthepower1544 Ukweli mtupu kaka. Mi ni mKenya na wahindi wengi hapa ni kama wanaidharau hii lugha. Wamejitengea shule zao hapo hawana shugli na Kiswahili. Ingawa kuna wahindi kadhaa wazalendo wanakielewa, kuna wengi pale tiktok. Alafu lugha zetu za kikabila zina madhara yake, na manufaa. Sioni shida mwafrika kujielewa tamaduni, historia na alikotoka. Na lugha ni muhimu sana ukitaka kujielewa. Ila tu, ni bora watu wakisherehekea na kufunzana utamaduni, badala ya vita na migogoro za kikabila. Napenda vile watanzania wamekishugulikia Kiswahili. Na itakua bora kama lugha za kikabila hazitapotezwa huko. Niligundua Lugha yangu ya kikabila inafanana sana na kiha kutoka kigoma. Na ni kitu cha kupendeza. Maoni yangu tu.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      @@johnkuma6867 🤣🤣🤣🤣 WEWE JOHN KUMA UMEONGEA UKWELI KABISA 🤣🤣🤣🤣

    • @herculesthepower1544
      @herculesthepower1544 2 роки тому

      @@arcsys Hapa Tanzania kiswahili kinaongelewa kila mahala lkn bara out of pwani wanaheshimu lugha ya kabila yao na wanaongea kikabila lao huko. Na kwa bahati mbaya mtoto akazaliwa Pwani na kukulia Pwani ataongea kiswahili lugha ya wazazi wake hatoongea kwa sababu pwani ni kiswahili tu. Na bahati mbaya zaidi wazazi wakiwa makabila tofauti, ndiyo kabisa mtoto asahao kuongea lugha either ya baba au mama.

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 роки тому +1

    Watu watabisha, moja kati ya wanafunzi wangu nilipokuwa Cairo, tuition 2014 na 2015 Alhamdulillah tuliitangaza nchi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      NENDA OMAN KUNA WATOTO HAWAIJUWI WALA KUFIKA TZ WATAKUFUNDISHA WEWE KISWAHILI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TENA WENGI SANA.

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 2 роки тому +1

    WAO, ASANTE SANAA MAMAA YETU HUKO MISRI, SASA TUKIJA NI KUSALIMIANA KISWAHILI TU...HABARI ZA LEO??

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 2 роки тому +1

    Nazungunza swahili kama golo

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 роки тому

    magufuli achukuwe kwakukitangaza vilivo

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 роки тому +3

    Mwandishi umeshindwa kutujuza asili ya huyo dada!!

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому

      Dada wa "kimisri" mkali wa kiswahili

    • @typhonesapali1777
      @typhonesapali1777 2 роки тому +1

      Nakubaliana na wewe mwandishi ameshindwa kumhoji maswali ya msingi

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому

      @@typhonesapali1777 Tutalifanyia kazi , asante sana

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 2 роки тому

      @@Kiswahilinaladhayake anaweza kuwa mmisri kwa uraia lkn kiasili si mmisri

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      @@bennymochiwa4800 Sasa wewe wafikiri mtu huyo asili yake ni wapi ? au watakuakusema asili yake mtu huyo ni Tanzania naikiwa Tanzania katika East africa na si asili ya waarabu na wazungu

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 2 роки тому +1

    Huyo anae muhoji anaongea lugha gani mbona simuelewi? Namuelewa huyo dada tu

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому +1

      Ni kweli huyo Dada ni "mkali wa kiswahili" ndio maana hata yule ambaye wewe huwezi kumuelewa, huyo Dada anaweza kumuelewa vizuri na kumjibu vyema 😊

  • @jamaliahmadi1383
    @jamaliahmadi1383 2 роки тому +1

    Huyu ni wambagala mtupu

  • @kasimramadhani1502
    @kasimramadhani1502 2 роки тому

    Inster unapatikana Kwa anuani gani?

  • @yaseenisslam8078
    @yaseenisslam8078 2 роки тому

    Mbona anaongea kama chiriku

  • @nairobinyeusi5811
    @nairobinyeusi5811 2 роки тому +1

    Unaongea ama unalia

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 роки тому

    Huyu mtangazaji atetemeka kwa ....

  • @fredrickayunga8912
    @fredrickayunga8912 2 роки тому

    Ni vitabu gani bora zaidi naweza tumia kuwafunza kiswahili wale wa mwanzo kabisa?

  • @universitylink
    @universitylink 2 роки тому

    Mashaallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому +3

    Mashaalah mina mungu akubari akuzidishiye mara dufu ishaalah

  • @thatkidluffy6390
    @thatkidluffy6390 2 роки тому +2

    Mashalwa upo juu dada ❤❤

  • @talibmuhsin5221
    @talibmuhsin5221 2 роки тому +1

    Mhhh anishind mm mzaliwa

  • @alisaghir4259
    @alisaghir4259 2 роки тому +1

    Masha- Allah!
    Unazungumza kiswahili vizuri sana dada!

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 2 роки тому +1

    MashaAllah!!!!

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 2 роки тому +1

    Hivi luga yetu mbona ni simple sana hivi tunaluga sie kweli

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 2 роки тому +1

      Nenda shule au kuandika na kusoma ndio imekutosha. Sis wengine mbona tunazungumza tu lugha nyingi zaidi ya 3 na sio za kikabila lugha za kimataifa na lugha sio mali yako bali ni ya kila mzungumzaji.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Kinachokushangaza ni kitu gani nenda unguja nungwi sehemu za ufukwe utakuta watoto wanazungumza lugha tofauti tofauti bila shida, na wala haitaji darasa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      HAMISI LUGHA SIO LUGA.

    • @Kiswahilinaladhayake
      @Kiswahilinaladhayake  2 роки тому

      Ni kweli kabisa mzawa unaweza kuona hivyo. Lakini ukichunguza vyema utapenda kujifunza mengi zaidi kuhusu lugha (yako) ya kiswahili.

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 2 роки тому

    Vizuri sana Menna

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 2 роки тому

    Maashaallah nakupenda bure