HALIMA MDEE NA SPIKA TULIA WAMVAA MWIGULU "NIJIBU WAZIRI BASHUNGWA MWIGULU SIMUELEWI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • HALIMA MDEE NA SPIKA TULIA WAMVAA MWIGULU "NIJIBU WAZIRI BASHUNGWA MWIGULU SIMUELEWI"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 14

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 3 місяці тому

    Tunaomba watangaze na nafasi za kaziii
    Tumechoka na hatuna hela za kujiajiriii😢😢😢😢

  • @fridayjkajange1247
    @fridayjkajange1247 3 місяці тому

    Jamaa haelewi kitu sijui mlimpaje icho cheo

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 3 місяці тому +1

    HIVI KWANINI MWIGULU HUWA ANAKOSOLEWA SANA BUNGENI .HUYU KUKU HAFAI KWENYE HIYO WIZARA

  • @Anithawilielemi-uh3ww
    @Anithawilielemi-uh3ww 3 місяці тому

    Hatujui maana ya manditi bwana Mwigulu,jibu swali!!!

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 місяці тому

    Mama Mhagama makofi uwa yanamaana gani?

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 3 місяці тому

    Huyu Mwigulu sijui anajipataga nani sijui,maana ana dhalau sana huyu jamaaa!

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 3 місяці тому

    Hivi hili lijenister muhagama huwa mnamwelewa kazi yake zaidi ya uchawa mi kiukwel simpendagi

  • @ericksamwel4814
    @ericksamwel4814 3 місяці тому

    😅😅😅

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 3 місяці тому +1

    Mbona huyo jamaa anamdharau sana spika! Mara nyingi naona anamwambia asubir jamaa anaongea tu! Hii mijizi inadharau sana

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 місяці тому

    Mitandio na kanga hutumika kujifunika kwenye misiba hapo bungeni siyo mahali pake mama Mhagama😊

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 місяці тому

    Mhagama vaa official acha kuvaa mitandio bungeni. Kama kuna baridi vaa koti plse kama Halima Mdee etc

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 3 місяці тому

    Kwani Hakuna mtu mwingine mzuri kuwa waziri WA Feza ?

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 3 місяці тому

    Hahahahaha