Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Barikiwa sana Mwalimu Onyango,,,huyu Mwalimu Mosea ata hajui nini anasema hana hoja
Mbarikiwe Sana mtumishi onyango
Amen Mwalimu Frank mwangaza ulio nao ni wa Mungu, hakuna mwenye atauzima endelea kutuangazia.
Huyo kisieza hanaga Hoja mwalimu... Ila mubarikiwe sana watumishi wakweli, Mungu awatanguliye.
Ama wanataka tujiiete ORIGINAL SDA...
Be blessed mtumishi, hao wana utatu n chuki tu ila Awana hoja
Hakika kabisa onyango na ndacha mkosawa kabisa kuliko hawa wachungaji ambao wako nominal
Amen ubarikiwe mtumishi.
Mwalimu kisiesa Hana hoja
Ujumbe wa wawakati wetu ubarikiwe
Moses anatumia uongo na maneno ya kupandikiza nani. alijiita Eliyah
Kasiasa ako na siasa. Matengenezo haswa Tanzania waliamka kitambo. Angalia Andrew henriques reformers are worldwide
Huyu ni fitina ako navyo😢
Kisiesaa wewe ni mbaya kuliko wabaya na wewe ni mmoja na waasi wacheza mgambo kanisan,Acha mambo yako jikosowe mwenyewe na uasi wenu
Wajua hawa wanatetea mshahara hawa wachungaji ambao wako nominal
Huyu mtu Kwanza huwa anajazba hana uvumilivu anakasilika mda wote.. halafu anachopinga Kuhusu Eliyah ni kitu Wazi kabisa ila nikutaka kuonesha upinzani tu kwa Kazi ya Mungu
Huyo anayejiita mwalimu Kisieza anyenyekee, wajifunze, awe mwana matengenezo. Huenda hataki kufanya reference kwa Roho ya Unabii ya Old Sda.
Afu huyu kwanini mnamuita mwalimu? Huko Kenya mnatumia vigezo gani kumuita mtu mwalimu?
Watu wa nominal ni walevi wamelewa pombe ya pope😂
Barikiwa sana Mwalimu Onyango,,,huyu Mwalimu Mosea ata hajui nini anasema hana hoja
Mbarikiwe Sana mtumishi onyango
Amen
Mwalimu Frank mwangaza ulio nao ni wa Mungu, hakuna mwenye atauzima endelea kutuangazia.