Muzee tama, please muzee you have No say over that shamba. Anna sorry just think of your future,your dreams are No more. Dr should protect mama lonah and the shamba and all the animals.that muzee??
Bony lonah anakupenda we muombe musamaha ujitete kwake umuelezee kua sikupenda kwako umeshikwa nauchawi atakuelewa mujenge maisha n lonah achana n babako we jengeni maisha we na lonah ata babako asikupangie maisha nahuo umri wake
Aki mungu ni mwema jamani kama.bonny leo ako sawa lakini uyu baba leo anamgeukia mtoto wake sasa saizi ako na mke wa bony 😢😢😢😢waah uyu mzee kile kinasema rohoni waah ni mungu tu anajua aki
Bonny is not bad,it is just because of that mchawi who bewitched him and get out of his mind,Lonna please just stay with Bonny he is the right man for you.
Aki mpaka nimetoka machozi ya furaha😢😢😢😢huyu kijana mungu azidi kumpa moyo huwo huwo bt huyu baba n bibi mdogo aki niwachawi kabisa😂😂😂😂...lonnah usimuache huyu bwanako plz ukimuacha nitamtafuta tuanze maendeleo.
Hii pesa ya shamba ni ya lonah sio ya ann au babake bonny hawa watu wawili wako na tamaa sana mara Mtoto mara shamba , Mungu ni mwema lona unapata Kila kilicho chako
Atoe paper kwanza hiyo mambo ingine badaye sahii Dio baba bony anataka Ann juu ameona mali sahii sio mchawi akwede huko nahapo hakuna pesal ya bony yote ni yal lonah
Mzee akasema bibi number two apewe haki yake ni Bonnie, na hiyo ni sawa. Sasa babake Bonnie ile Mali angempea kijana yake sasa ampatie huyo bibi na wakae na yeye.
Uyu mzee minilisema kwamba hakufurahiya Bonny kupeyana mali yawenyewe kwasababu nilipo ona anauliza izomali zote ziko kwamajina yanani nilijuwatu kunakitu we mzee tulia apo unasema uyo mchawi apewe hakiyake kunapesa zake aliweka apo mama wasikubebe ufara shikilia vitu vyamwanawo. Nkombe 🐂🐂🐂🐂 zimemtowa ufaham uyo mzee safisana mama tuko pamoja naweye 🤝💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗 💗💗💗💗💗💗💗💗 Bonny upewe ulinzi wakutosha umefanya kazi kubwa sana 👏👏👏 inaonekana uyo baba Bonny nauyo mchawi walikuwa kitu kimoja onagisi mashavu yamewashuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Huyu mzee ni mjinga sana,kuna pesa ya Ann na yake hapo,pesa na maendeleo ni la lona, amesahau alikuwa amemfukuza Bonny, wazee wengine wenye hawana maana inafaa waondokee jamii
Daktari akinge bonny na mama lonah pia lonah amkinge akiwa uku, na bonny wakae na lonah ju wako xwa uyo kijana n mzuri😅😅🎉🎉🎉
Bonny ni one in a million ...
Baba bonny anajua uchawi na mama bonny ameachwa wapi angeside na bonny
Huyu mzee na Ann wanaezaua hizo ng'ombe wana roho mbaya sana
Mama LONA kuja ujenge kwa hio shama
Hii shamba niya hule mzee wa miwa
Mama lonah aungane tu na bonny wachunge hiyo mali huyo mzee ma mchawi wasipewe nafasi
Baba tamaa
Huyu Mzee na huyu bibi ya bonny wako na roho mbaya sana , daktari mkali kazi safi kabisa mungu akubariki
Ok,baba bonny pia yy n mchwawi kama ann nikujifanya alikua anajifanya
Uyu mzee anafaa akule kofi
Dactari naomba ukimaliza kazi yko uache kama umekinga bonny,,mama lonah,,n pia ukinge shamba juu nimeona Kuna hatali Kwa huyu mzee n ann
Yaah na pia alinde lonah na mtoi 🤝💚💚
@AnnNongari-z1e exactly 💯
Truth na afunge macho y baba Bonnie asione iyo shamba akirundi😅😅😅
@taleanyahya3687 ako n Tamaa hiyo shamba sana
@@taleanyahya3687Amen 😅
Huyu mzae simuoni poa hapa😊😂😂mkicheza
Hio nguo ya mama mchawi inapiga sauti aje ya upepo😮😅😅😅
Kaz kemaa mama ijoy
Uyu ajui esabu ya shamba 1m is more than that money
Hongera sana team Angie B,bila nyie haya yote ayangejulikana.Bonny u are so wise be blessed babaa
It's cheaper
Doc fanya ki2 juu ya uyu Ann ,babake Bonnie wakumbena sana
Ata hizo ngombe si zake first angewaonyesa title deeds
Muzee tama, please muzee you have No say over that shamba.
Anna sorry just think of your future,your dreams are No more.
Dr should protect mama lonah and the shamba and all the animals.that muzee??
Mzee tamaa baya
Bony lonah anakupenda we muombe musamaha ujitete kwake umuelezee kua sikupenda kwako umeshikwa nauchawi atakuelewa mujenge maisha n lonah achana n babako we jengeni maisha we na lonah ata babako asikupangie maisha nahuo umri wake
Kweli lonah bado Ako na upendo kwa bony so amuombe msamaha TU
Mama lonah ajaribu kukua said bonny sana afanye vile lonah alisema
Huyo mzee nikigeugeu kama angekuwa babangu ningemzima Kwanza mutashida APO nakusungushwa mpaka dakitari anaboeka
Hio shamba si ya bonny anasitasita akiuliswa acre range and the cost of the samba.
Uyo Mzee na iyo sura yake mbaya kama vita za Lebanon ako na roho mbaya sana so bonny be careful 😢😢😢😢😢
😂😂😂
Aki mungu ni mwema jamani kama.bonny leo ako sawa lakini uyu baba leo anamgeukia mtoto wake sasa saizi ako na mke wa bony 😢😢😢😢waah uyu mzee kile kinasema rohoni waah ni mungu tu anajua aki
Kwani pesa niyake haimuhusu hio shamba huyo Anny
Ama boni ni shamba boy..let's wait and see
Kwani wataelewa aki awa wachawi ni lonah ali sokoa doo Gul Kala's shuu haitha lakin🤦
Huyo muzee hata anakaa maskini ss akiulizwa alitowa wapi pesa ya kununua atasema 😂😂😂😂😂
Mimi naomba daktar uongeleshe lonar warutiane na Bonnie
Hii shamba niya hule mzee wa miwa
Bonny is not bad,it is just because of that mchawi who bewitched him and get out of his mind,Lonna please just stay with Bonny he is the right man for you.
Nakuunga mkono lona rudiana na bonny
Wpi documents za shamba ndio tujuwe kma ni ukweli
Kumbe ndio alikuwa akisema waongee home .
Mbona mimi siamini kweli but Sina ubaya
Ukweli ujulikane akipeana documents naona kama bonny anandanyana hapa bona anaulizwa kitu anasitasita kama anafikiria kwanza
Huyo mama mchawi asamaratishwe pamoja na huyo baba bonny wakibaki watalita shida mali haiwahusu wao ila washaweka tamaa na mali ya watu
Dktr ako sure hii kitu ni ya ukweli?
Hii ni drama tu hakuna mambo ya ukweli hapa juu kila kitu ni kuguess tu 😂😂😂😂pithooo
Lakini sioni bonny kama hio shamba ni lake
Let's wait for the final results
Huyu mzee nilisikia akiuliza kama kulikuwa na agreement...nikajuwa hapo kuna mambo mingi😂😂😂😂😂😂
Tutajua akipewa makaratasi
Daktari afanyie huyo Mzee jambo, kwani ni jazo yake juu alisema ajui hiyo mambo.
Huyu mchawi hana share hapa,,kaa anataka share yake apande ndege atafute jasho lake
Uyu mzee anataka makofi juu ana boo anatamaa sqna
Mwanzoni nilijua huyu kijana bony ni mjinga kumbe Iko akili
Huyu baba bony atakuwa mchawi
Wewe mchawi ann kuja saudi ufanye kzi wajana na struggle ya ronah na bonnie , kuja ujijenge na wewe unategemeajasho la mwenyewe .
Bonnie ako sawa ak ongea n mke wake amusamehe waedelee asimuashe plz alikua amefanyiwa madawa
Baba bonny ako na ujinga
Sana yani nilikundu kabisa😂😂😂😂😂😂
Aki mpaka nimetoka machozi ya furaha😢😢😢😢huyu kijana mungu azidi kumpa moyo huwo huwo bt huyu baba n bibi mdogo aki niwachawi kabisa😂😂😂😂...lonnah usimuache huyu bwanako plz ukimuacha nitamtafuta tuanze maendeleo.
Bt daktari alisema kwanzia mwanzo kuwa Kuna shamba amenunua
Huyu baba nikama akili yake haifanyi kazi buree kabisaa na huyo mchawi wake
Baby bonny na huyu mwanamke wako kitu kimoja mbona ako na Io roho
Uko ni wapi kwa sababu mimi natoka bungoma western na point moja ni 200k wat about 6acres na bonny anasema eti 1m surely hapa kuna kitu
Sister ya angie b huongea kama mtu mkubwa
😂😂😂
Bonny angetoa makaratasi kwanza
Huyo mzee inafaa mangumi mob hajue hyo sio pesa yke imefanya kazi hpo
Mbona nko na ka feeling hii shamba sio ya lonah,naona nikama bonnie anadanganya bado,anyway we listen but don't judge😂😂😂
Huyu mzee akicheza apumishwe kiasi hapo chini alale
Hiii shamba naonea 18
Ata mm siamini
Sisi tunaamini documents
ATI 1.5. acre 6
Hapa wanatupima😂 watatolewa mbio hapo kwa shamba na mwenyewe
😂😂😂😂😅😅😅kumbe na ww umeona kma mm
Achaneni na Mali ya lona
Hii pesa ya shamba ni ya lonah sio ya ann au babake bonny hawa watu wawili wako na tamaa sana mara Mtoto mara shamba , Mungu ni mwema lona unapata Kila kilicho chako
Iyo ni jasho ya lona sio ya bonny uyu mzee naye Ana akili
Atoe paper kwanza hiyo mambo ingine badaye sahii Dio baba bony anataka Ann juu ameona mali sahii sio mchawi akwede huko nahapo hakuna pesal ya bony yote ni yal lonah
Uyu baba na anne wote wanafki kabsa kwanali ni zao kwenden uko
Mzee akasema bibi number two apewe haki yake ni Bonnie, na hiyo ni sawa. Sasa babake Bonnie ile Mali angempea kijana yake sasa ampatie huyo bibi na wakae na yeye.
Weee muzee mujinga sana kwani pesa niyenu
Baba bonny alisema bonny sio mwanawe na hampi shamba lake Sasa aachane na bonny na mamamkwe na bibi yake lonah
Uyu mzee minilisema kwamba hakufurahiya Bonny kupeyana mali yawenyewe kwasababu nilipo ona anauliza izomali zote ziko kwamajina yanani nilijuwatu kunakitu we mzee tulia apo unasema uyo mchawi apewe hakiyake kunapesa zake aliweka apo mama wasikubebe ufara shikilia vitu vyamwanawo. Nkombe 🐂🐂🐂🐂 zimemtowa ufaham uyo mzee safisana mama tuko pamoja naweye 🤝💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗 💗💗💗💗💗💗💗💗 Bonny upewe ulinzi wakutosha umefanya kazi kubwa sana 👏👏👏 inaonekana uyo baba Bonny nauyo mchawi walikuwa kitu kimoja onagisi mashavu yamewashuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Doh umetumiy md gn kuandk 🤣🤣 unamambuliy like m1 🤣
Bora awape makaratqsi zote za vitu zote ndo muamini
Very true
ili lize nilijinga aje
Huyu mzee asalimiwe na daktari
Iyo roho ako nayo ni mbaya aki
Hii shamba kama n lakweli ngesema to daktari aitegeneze juu hao hd hizi ngombe wanaweza sironga
Huyu mzee ni mjinga sana,kuna pesa ya Ann na yake hapo,pesa na maendeleo ni la lona, amesahau alikuwa amemfukuza Bonny, wazee wengine wenye hawana maana inafaa waondokee jamii
😂😂😂😂😂
Baba bonny vitu ni za bibi ya bonny uko na tamaa pia ww
Huyu mzee ako na tamaa sana mbona anataka kukatalia vitu sio zake
Nimatako sana aki😂😂😂😂😂
Nmpenda bonny n mwerevu sana atleast akukula doo bibi mdogo na nmbabake wivu