SIMU FULL MOVIE | AFRICAN ACTION MOVIE| SWAHILI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 88

  • @LameckMangwenje
    @LameckMangwenje 2 місяці тому +2

    Wabongo mmekua mnatuletea utopolo sana sa hii ni movie gan ..kutumalizia bundles tu

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤ mwasiti umepigilia pamba umependeza maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @Gospelactorstv
    @Gospelactorstv 2 місяці тому +3

    Hongera ndugu yangu

  • @MohammedAlamri-k7h
    @MohammedAlamri-k7h 2 місяці тому +4

    Nimeipenda

  • @Aisha-f2g
    @Aisha-f2g 2 місяці тому +14

    Sasa nyie mnaokashifu hii movie kwan mlilazimishwa kuangalia au,c kama kitu hakikufai we songa kwa ingine tuu😂😂😂😂😂

    • @LilianJuma-q6y
      @LilianJuma-q6y Місяць тому

      Ka hawajapenda hii filamu ni Bora wakaigize wao

    • @DouglasOrangi-s9p
      @DouglasOrangi-s9p Місяць тому

      ​@@LilianJuma-q6yp😅😊😊

    • @MaryamuMwatella
      @MaryamuMwatella Місяць тому

      Kabisa nawaende mbele uko yaan binadamu bwana

  • @RoseAmilet
    @RoseAmilet 2 місяці тому +4

    Mwasi peke yako umependeza

  • @zashayrasaid8950
    @zashayrasaid8950 2 місяці тому +3

    Boss hana😂uhalisia yy na wafanyakazi ni sawa tu yaan tafrani watu wanatumia silaha hata hawaelekei kicheko sasa 😂😂😂 ahhh mtihan

  • @RachaelMchanda
    @RachaelMchanda 11 днів тому

    Wee ma bouncer wa ukwelu wameingia ss hamnachenu😂😂❤❤ movie tam sn

  • @FayjNahodha
    @FayjNahodha 2 місяці тому +4

    Mwasi amedamshi😂

  • @haidalihilali
    @haidalihilali 2 місяці тому +3

    iv kwann uyo kifupi hua mnamuweka scene za kukimbia tu😁😁😁

    • @AdelardSamLeCadet
      @AdelardSamLeCadet Місяць тому

      😅😅😅

    • @LillianLiantez
      @LillianLiantez Місяць тому +1

      The comment I was looking for 😂😂😂

    • @haidalihilali
      @haidalihilali Місяць тому

      @@LillianLiantez au ni mm tu jaman yaan kila muvi yeye ni kukimbia tu😀😀

    • @LillianLiantez
      @LillianLiantez Місяць тому

      @@haidalihilali Ana mbio zaidi kuwashinda wenzake 🤣🤣🤣

    • @haidalihilali
      @haidalihilali Місяць тому

      @@LillianLiantez wana katesa kisa wanajua kafupi😀😀

  • @sf2tv
    @sf2tv 2 місяці тому +2

    Nice 1❤

  • @ONESMOKAUNDE
    @ONESMOKAUNDE 2 місяці тому +2

    Muvi imewashinda, bigo kila muvi makaptula tu badilisha muonekano

  • @AgnesMsigwa-n2q
    @AgnesMsigwa-n2q 2 місяці тому +1

    Bado sana hamjui kabisa

  • @isamiIbra
    @isamiIbra 2 місяці тому +2

    Amubadilishi nguo mpaka movie inaisha

  • @AssimaNordineamir
    @AssimaNordineamir 2 місяці тому +1

    Munaweza sana tena sanaaaa nawapenda ote 🎉

  • @BarakaNgwila
    @BarakaNgwila Місяць тому +2

    bado sana

  • @NicholousMasanja
    @NicholousMasanja 2 місяці тому +1

    Mnaweza kucheza za kichawi 2

  • @zashayrasaid8950
    @zashayrasaid8950 2 місяці тому +3

    Nani alisema majambazi wanavuta sigara jaman 😂😂😂😂😂

  • @johnteysuzzie5334
    @johnteysuzzie5334 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂 Sasa hizi ni mawuot ??? Chezeni ya majini😅😅😅😅😅😅😅😅ebu nipee naba ya huyo madam karao...ana nyash kweli 🥺

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 місяці тому +2

    Upumbavu mtupuuuu... Yaani rudini shamba mkalime

  • @Wamafilmss
    @Wamafilmss 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 2 місяці тому +2

    Hao majambazi mmmh😂😂😂

  • @abbysadman
    @abbysadman 2 місяці тому +8

    MAMENI ABBY KAMPITI,MAMENI KIFACE,MAMENI KICHEKO,MAMENI GANG🎉🎉🎉

  • @AgnesMsigwa-n2q
    @AgnesMsigwa-n2q 2 місяці тому +3

    Bora ata uyu chapombe kanifurahisha

  • @RzikiSaeed
    @RzikiSaeed Місяць тому

    Police hao😂😂😂 Kaz nzur mungu azd kuwapa wepes kla penye na nauzto

  • @shishiafricanaofficial325
    @shishiafricanaofficial325 2 місяці тому +1

    Kazi safi

  • @KIFACEBRAND
    @KIFACEBRAND 2 місяці тому +2

    💥💥💥💥

  • @azizsoud4319
    @azizsoud4319 2 місяці тому +2

    Uyo kimoro alocheza kwenye snake boy akiitwa pange,na humu anitwa jeba, sijawahi kumskia akiongea uyo jamaa

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 2 місяці тому +1

    Mimi Huwanga napenda mukongorongoto

  • @jamesmusukwa229
    @jamesmusukwa229 2 місяці тому +1

    Kibaya hiki kimovie

  • @MarynzaraNyamawi-nz7ve
    @MarynzaraNyamawi-nz7ve 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @DanielPeter-vh9rj
    @DanielPeter-vh9rj 25 днів тому

    Staili ya kuongea kwa movie zenu Huwa inafanana sana

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 Місяць тому +2

    😂😂mvaage bla basi na nyie wadada.

  • @AlSchk-eu1uy
    @AlSchk-eu1uy 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @NaomiJoseph-c9p
    @NaomiJoseph-c9p 25 днів тому

    Achen usenge nyie mbona move nzur na uko kupigwa risas haitoki dam kwan umeambiawa kwel sindo maana ya story wew Kama unaweza igiza yako matako yenu walio koment ukuma

  • @DemmyPatrick
    @DemmyPatrick Місяць тому

    Huyo big hajui kuigiza

  • @zashayrasaid8950
    @zashayrasaid8950 2 місяці тому +3

    Movie haina uhalisia silaha nnjee za nn tena kijijini

  • @josephmwangemidoyen
    @josephmwangemidoyen 2 місяці тому +3

    uyo mfupi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AfiyaA-qn5ur
    @AfiyaA-qn5ur Місяць тому +1

    Iko fty ii movie mtu yuakosoa na ata ku act haezi 😏😏😏😏

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y Місяць тому

    Jameni huyu mbilikimo ywatisha aisee

  • @UwezoOmari
    @UwezoOmari 2 місяці тому +1

    Shida ammalizii movie zenu

  • @ZulekhaSaburi-t6i
    @ZulekhaSaburi-t6i 2 місяці тому +1

    Hi movie zii sigara nyingi uyo bigi ndio ata sijui amefanya nini bado sana

  • @ummiMurthadha
    @ummiMurthadha Місяць тому +1

    Wee Abby acha kucheka hivyo waaribu movie

  • @RamahMgimba-l5x
    @RamahMgimba-l5x 2 місяці тому +1

    Mbona kucheza ujambazi hamjui mna ua watu wasio na hatia

  • @evangiche-gh8tp
    @evangiche-gh8tp 2 місяці тому +3

    Pllg🎉🎉😅

  • @RoseAmilet
    @RoseAmilet 2 місяці тому +1

    Kila muvi nguo zao hizo tu hasa wewe kibonge hubadilishi jamani

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂

  • @RehemaAli-q6s
    @RehemaAli-q6s Місяць тому +1

    😅😅😅😅polis hao polis hao

  • @wasachimedia7830
    @wasachimedia7830 12 днів тому

    Dah uyo kijeba ni kavaa Nini hapo

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 2 місяці тому +3

    Kime waka😂😂

  • @aminali2677
    @aminali2677 Місяць тому

    😂😂😂😂💯💯👍🔥🔥🔥

  • @evangiche-gh8tp
    @evangiche-gh8tp 2 місяці тому +3

    😂da2

  • @DemmyPatrick
    @DemmyPatrick Місяць тому

    Hii movie mmeicheza ovyo sana mwambieni VEVO awafundishe

    • @barnabashofeli6055
      @barnabashofeli6055 21 день тому

      Vevo anahusikaje kwenye hii movie,,,isipokua mnajua kukosoa wakati hata kuigiza hamjui

  • @UmDonia
    @UmDonia 2 місяці тому +1

    Huyu kidem akibafili nguo kukimbia kote ivyo

  • @Mr.kicheko_tz
    @Mr.kicheko_tz 2 місяці тому +2

    Yo big

  • @GravitTaboi
    @GravitTaboi Місяць тому

    Mbwela niambie uku ni wapi tena 😅😅😅

  • @SAIDIYABUSHINGEDJUMA
    @SAIDIYABUSHINGEDJUMA 2 місяці тому +2

    Bongo shida mtu anapigwa risasi hatoki damu

  • @phillisnaswaPhilloo00AKisianga
    @phillisnaswaPhilloo00AKisianga Місяць тому

    😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @DayanaSamuel
    @DayanaSamuel 2 місяці тому +1

    Sijui mmeigiza nini huyo kampiti hajui hata kuigiza jambazi ka lijinga tu 😂😂😂

  • @uwaridially5684
    @uwaridially5684 2 місяці тому +1

    Hamna kitu

  • @collinsayekha9803
    @collinsayekha9803 Місяць тому

    Movie iafurahisha some parts but inaudhi wakati inarukaruka kupoteza mwelekeo

  • @LuvingaGybsamdecoratin
    @LuvingaGybsamdecoratin Місяць тому

    Ila jaman mtu kapigwa risasi dam hazitoki

  • @EnjoMalangu
    @EnjoMalangu 2 місяці тому +1

    Ezb

  • @vikiElena
    @vikiElena 24 дні тому

    Mbona haija malizika tuna itaji mwisho

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 місяці тому +2

    Hamnamipango ubunifu sifuri

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 2 місяці тому +1

    Umu amna kitu mmezingua

  • @Matokeo-Emmanuelcj8wl
    @Matokeo-Emmanuelcj8wl Місяць тому

    Wanazngua badlishen mavaz bhana

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y Місяць тому

    Ila mazonge wewe ni kama ni mwizi kwel maana tabia zako ni za kiwizi wizi tu

  • @N.JBurundi
    @N.JBurundi 18 днів тому

    ❤❤❤❤
    ua-cam.com/video/YvsOMeBBxYs/v-deo.htmlsi=ru-OHMkHON9FkXH1

  • @louisemilumbu3132
    @louisemilumbu3132 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉