Tazama Askofu Mteule wa Lindi Wolfgang Pisa Akibusu Ardhi ya Lindi kwa Mara ya 1 Kuwasili Lindi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @erickmabala2711
    @erickmabala2711 11 місяців тому

    Hongera sana mwasham BABA asikofu wa Jimbo la Lindi

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 2 роки тому

    Mungu wetu akuangaze, akuongoze, akutunze na kukufanikisha kwenye Utume aliokuitia Baba yetu 🙏🙏🙏

  • @herson9343
    @herson9343 2 роки тому +2

    Maaashallah
    Amesujudu

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      Soma Bible

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 2 роки тому

      @@mcback4384 akishasoma itabadirika nini,hapo Askofu amesujudu hakuna kingine

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      @@hassanmirambo564 ni agizo la Mungu kumuinamia kifudifudi
      Luka 5:12
      [12]Ikawa, alipokuwa katika mmojawapo wa miji ile, tazama, palikuwa na mtu amejaa ukoma; naye alipomwona Yesu alianguka kifudifudi, akamwomba akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.
      And it came to pass, when he was in a certain city, behold a man full of leprosy: who seeing Jesus fell on his face, and besought him, saying, Lord, if thou wilt, thou canst make me clean.

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 2 роки тому

    I wish I could have a Bishop brother

  • @mathiasvicent9955
    @mathiasvicent9955 2 роки тому

    Mungu mwema

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 2 роки тому

    Namshukur Mungu kunijaaliwa uislam bila ya kumuomba, Mungu atufishe kwa mwisho mwema 🙏

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      Sasa kwa wa Kristo unafuata nini? Hahaha ninyi watu mna vituko

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 роки тому

      @@mcback4384 Anakukumbusheni nyinyi uko mliko siko,mutafute ukweli upo wapi sio mnaburuzwa tu.
      MwenyeziMungu ametuumba mimi na wewe akatupa na akili tuitumie ktk kujuwa ipi haki na ipi batili.
      Sasa usipoitumia akili yako,unakuwa huna tofauti na mnyama.

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      @@mussammanga7791 na sisi tunajivunia ukristo wetu na tupo mahali sahihi sana

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 роки тому

      @@mcback4384
      Qur-an (3:19).
      (BILA YA SHAKA DINI MBELE YA MWENYEZIMUNGU NI UISLAM).
      Jitahidi kutafuta ukweli upo wapi na MwenyeziMungu atakupa wepesi katika kutafuta ukweli.
      Sijuwi unafahamu nini juu ya neno (BILA YA SHAKA) ukilifahamu hilo itakuwa rahisi kwako katika kuitafuta haki.

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      @@mussammanga7791 ndugu mimi siamini Quran hata ukiweka naona kama maandishi kama mengine tu

  • @janethmayanja
    @janethmayanja 2 роки тому

    Karibu Jimbo la Lindi Mungu mkubwa amekuchagua

  • @mrcembo7473
    @mrcembo7473 2 роки тому +1

    Askofu Wolfgang anajua nn maana ya uislamu Allah amwongoze pamoja na wafuas wake lnshaa llah,

  • @shushu8105
    @shushu8105 2 роки тому

    Ame sujudu Allah Akbar

  • @hansmaston5136
    @hansmaston5136 2 роки тому

    Alie waambia wakatoliki hawasujudu ninan

  • @hansmaston5136
    @hansmaston5136 2 роки тому

    Tena wakatoliki wanasujudu kuliko dini yoyote ile dunian mmekariri kusujudu ad mtu aguse paji lake la uso kwenye sakafu kuna aina nyingi tu zakusujudu tena hamna watu wanai ongoza kusujudu kama wakatoliki

  • @feristamichael5247
    @feristamichael5247 2 роки тому

    Wewe kuhani hata milele...

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 2 роки тому

    Haya sasa mnaojiita wakirito bado hamjapata somo tu apo kama UISLAM ndio DINI ya haki, hamjiulizi JE nyinyi mlishawahi kusjudu: kusjudu ni kumpa heahma ALLAH mola wa viumbe wote

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 2 роки тому

    Kasujudu msiwaongepee wasio na ufahamu wa kotabu Cha biblia.!

  • @salimally3714
    @salimally3714 2 роки тому

    Mkiambiwa msujudu hamuelewi

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому

      Bible ndio inamtaka afanye hivyo

    • @adventsumari6967
      @adventsumari6967 2 роки тому +1

      Mbona baadhi ya waislam mnapenda sana kutufatilia wakrsto tumewakosea nn

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 роки тому +1

      @@adventsumari6967 Yaani hawa watu matatizo kweli, utakuta wanatusema kwenye mihadhara yao, kutukosoa kwenye imani yetu, kutukashifu, kuhoji maandiko yetu lakini hutokaa uone kanisani au kwenye kongamano tukiwaongelea kwa chochote, hicho ndio kinawatesa sababu wanakazana sana kututafuta lakini tupo kama hatuwaoni