Mwalimu Mimi ni Mwananchi kama wewe ila natofautiana na wewe kwenye hili acha simba waende Robo wamestahili kwa kiwango walicho Onyesha sisi tulikosa nidham ndio maana Tulipoteza michezo miwili na sare moja yanga walitakiwa Kuongoza kundi hili ni lakawaida sana ukiwashambulia Wachezaji wasimba Unatafsirika vibaya ifike Mahalia Tuwashambulie maadui zetu sio kushambuliana wenyewe kwa Wenyewe
Mwalimu upo vizuri nakuelewa saana Mkuu
Upo sahihi mwalimu
❤❤❤❤ Brother
Uyu jamaaa atengenezewe Sanam
Kweli mwalimu wote tumeona ingekuwa yanga ndy inafanyiwa hivyo kombe la kafu linakuja jangwani mwaka huu
"TUMSHUKURU REFA SC"😂😂😂😂
Mwalimu chukua 🎉🎉🎉🎉 yako.
Mwali hatari😢
Kwa kweli ni kundi bovu, point sifuri !!!!!!!!!!!.
Sauti mdogo kila klip
😂😂😂😂😂😂😂😂 lazm wavimeze vidonge
Nimependa mahojiano yenu.
Mwalimu Mimi ni Mwananchi kama wewe ila natofautiana na wewe kwenye hili acha simba waende Robo wamestahili kwa kiwango walicho Onyesha sisi tulikosa nidham ndio maana Tulipoteza michezo miwili na sare moja yanga walitakiwa Kuongoza kundi hili ni lakawaida sana ukiwashambulia Wachezaji wasimba Unatafsirika vibaya ifike Mahalia Tuwashambulie maadui zetu sio kushambuliana wenyewe kwa Wenyewe
Eti mimi yanga kama wewe acha unafiki Malaya wee
KWELI KAKA
Kwenyeligi je magoliyamkono yapo
Hivi huyu ni mwalimu kwa taaluma ama jina tu
Niliwahi msikia akisema yeye ni Mwl kweli na ni wa historia
Basi vyeti sio vyake