I love listening to saida's songs, her language is close to my language runyankole, you can literally tell what she is singing about without asking or referring to any translation. His voice is unique. Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 loves you mama
Kiukweli kuna aina ya muziki tuliumiss sana....Nyimbo nzuri sana sana yani i dont get tired kuuskiza na sehemu kubwa siielewi yani na sio shida hata..Universal language.....hiyo sauti honestly ulibarikiwa....Hiyo SAUTI ni story nyingine...Nyimbo nzuri na ahsante kwa muziki mzuri..Blessings
Heko kwa wimbo murua; Saida, Why can't a volunteer translate this song into English or Kiswahili. Being a Banta I know she is talking about a crying child - mwana yarirarira. Viewing this video daily in Vihiga, Western Kenya.
UTABAKI kuwa juu wewe Mwanamke asee hii ngoma uliiboresha namna hii.. Ila huyu Mwanaume ndo katisha sana anajua ana Sauti..DADEKI Tune za Kiganda kimenogesha hii nyimbo
Saida from Northern Tanzania, has a lot in common linguistically with us from Western Kenya. This song is about a crying babe. Why is the child crying - "mwana yarirarira." If Saida oblidges, I will translate her Kiswahili version into English, Should she turn down my sugestion, I appeal to any brother or sister from Northern Tanzania to let me have the Kiswahili version of these songs, then I will avail the same in English for the rest of you over there. Please help me to plead with these Tanzanians.
Huyu dada anajua jamani eheeeeee Ni fundi mzuri tu wa mziki jamaniiiii huyu apewe sifa yake jamani ni noma sana hakuna cha zuchu wala zura hapa saida anajua jamani weeeee
Namkubali sanaa Saida japo lugha yake sijuw nampenda sana tena sana mm nipo dodoma
You don't know how much as Kenyans love and appreciate Tanzania music
Saida Sister huwa nakukubali xna yani nazungumzia nakubali nyimbo zako kama kuna mwengine anamkubali kama mm basi anhusha comments na like
Mamaaaaaaaaaaa 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍hii nyimbo inawez kukufny ununue chapati ukandie ngano.... uwiiiiiii..... 🎶 Kolamala eshule ninkutwala kaisikiiii iweeeee...... 🎶
Hahaaaa nimecheka peke yangu
🤣
If someone asks me who’s the best singer in Africa I would say Saida Karoli... I love this Lady unconditionally
Of course she is great singer
Of course even her voice is just all in one spcy💖💕❣💞
Kama wote mmeikubali hii ngoma kama mimi likes 50000000 from Sumbawanga
True legend Saida ❤️Ur voice reminds of my late father he used to play her songs❤️❤️❤️long live ma'm
Same same here..
Mwana yalila gather here 2024🎉❤❤
I love listening to saida's songs, her language is close to my language runyankole, you can literally tell what she is singing about without asking or referring to any translation. His voice is unique. Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 loves you mama
Am one of Kenyans who really loved Saidas songs.
Beautiful Saida. No one like you Saida. You are too much. With love to you.
The voice doesn't change all the years your gifted saida.
nipo UK hii ngoma inanifanya niimiss bongo bongo ,love u tanzania
Bi khadija npe connection nafikaje huko ughaibun bongo michosho hakuelewek kama vp tuzamie kwa watu huenda mambo yakafunguka
I love ❤️ You Music and art , i like it , from San Andrés island Colombia 🙏💪🫡
Wooow!! Big tune from the biggest duo !!
Saida should relocate to Uganda
Kiukweli kuna aina ya muziki tuliumiss sana....Nyimbo nzuri sana sana yani i dont get tired kuuskiza na sehemu kubwa siielewi yani na sio shida hata..Universal language.....hiyo sauti honestly ulibarikiwa....Hiyo SAUTI ni story nyingine...Nyimbo nzuri na ahsante kwa muziki mzuri..Blessings
Heko kwa wimbo murua; Saida, Why can't a volunteer translate this song into English or Kiswahili. Being a Banta I know she is talking about a crying child - mwana yarirarira. Viewing this video daily in Vihiga, Western Kenya.
Still listening from Kenya Nairobi 2024
Once again Saida sielewi ila ngoma tamu aiseee ...
Watching from Edmonton Canada dada yangu haujawai kuniangusha
Queen Saida much love from Kenya
Love love the song
Long live Queen Saida 😘😘
Walai love you Saida bby, lovely voice oh God ,Peruth Uganda for sure much love to mi continent
Nice one,l like it 👍👍👍
De only female legend I love much...saida much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
sasha vybes is taking over the film industry in UG and surrounding areas! Proud of you brother. Another sasha vybes crime!!
Nazipenda sana kazi zako huwa umetulia sana kila sehemu ikiwemo mavazi ya heshima sana ,hiyo Ndio sanaa inayopaswa kuigwa
UTABAKI kuwa juu wewe Mwanamke asee hii ngoma uliiboresha namna hii..
Ila huyu Mwanaume ndo katisha sana anajua ana Sauti..DADEKI
Tune za Kiganda kimenogesha hii nyimbo
Am in Saudi Arabia Bt am a Ugandan love u all
uko vizuli dada saida pogenzi kubwa make ulikotoka nimbali mungu akubaliki sana.
Najivunia kuwa muhaya 😍😊❤🙏
hujawahi kupoaaa mama yetuuuu🥰🥰🥰 ilitakiwa uwe bungeni asaivi
Saida Karoli & Ali Kiba r da real flavour ov Bongo Music
wow nyimbo nzurii mama uko kwenye ubora wakoooo
L
J'adore cette chanson je suis envoûtée par cette mélodie je l'écoute en boucle sans modération chapeau bas les artistes 👍👍👏❤️❤️❤️❤️❤️❤️
These two kids (a camera boy and a young girl) they made this video so nice. They make me to view several times the video
True
The only original singer in East africa. I am from uganda but i hear 100% of your language.
You re munyankole??
Creativity beyond borders. From +254
Mama yangu unavisa...najua unanitafutia ugali wangu....na huwa hukosi....nakupenda sasa mama😘
mmmm kweli saida we ni noma sana. nakupa 100% kwa ngoma. bongo umewafunika wote mpaka WCB hawakupati.
This is my best female artist in Africa
Sabula baliruno yap saida maama I love you baliruno I love this song too much
I love your songs saida big up dear.
wow!!wow! that magical voice, Saida your the greatest no one can equal your golden voice!
hii iko pouwaa saana
Wimbo huu tulisubiri video yake zaidi ya miaka 16yrs iliyopita atimaye yametimia asante sana Hanson na Saida kwa kutukonga nyoyo mashabiki wenu.
Ii nyimbo nimependa sanah japo mm ni mtu wa kilimanjaro Moshi kabil la wachaga❤❤❤
bo nge la song mama etu,hkika umejaaliwa sauti Masha allah
Ug boy you made it with mama TZ 😍mungu awabariki🙏🏻mukama akukwateko bro good luck guys can't stop watching😍
I agree
Ilove ua songs from 2008 nakupenda saida saudi aizeeki hehe
Vizr mama Bado unajua kuimb🎉🎉🎉❤
Muziki mzuri Mama Saida! Kutoka Kenya!
Kazi nzuri dada yangu, wakola mno!
waoooooo mama angu huyooo
love ur collab guys,its hiiiiitttt
Hii kali kweli. I just love the powerful voice of Saida Karoli...moto sana
Londnon
Hiii ngomaa inawezAaa ikafanyaa KOREA ikaacha majaribioo ya Nucliaaaaaaaa
Acha. Kunichekexha
Kwa sauti yako Saida itapendeza sana kama ingetokea duet kati yako na Adelle wa UK.
Wooooow what a great voice!!!
I love it.
Wimbo mzuri kweli. Saida ajitahadi kuutafsiri nyimbo anazoziimba kwa Kiswahili, Miami nitazitafsiri kwa Kiingereza kwa manufaa ya watuwengi Africa.
My comments are in Kiswahili -
Swahili. I will then translate the songs in English for the benefit of many in Africa and everywhere,
@@jimakenga7046 that would be great too,so we are looking forward your translation.
God bless you.
I am a retired mass communication consultant, currently living in Vihiga County, Western Kenya, Being from the Bantu Linguistic group like Saua
Saida from Northern Tanzania, has a lot in common linguistically with us from Western Kenya. This song is about a crying babe. Why is the child crying - "mwana yarirarira." If Saida oblidges, I will translate her Kiswahili version into English, Should she turn down my sugestion, I appeal to any brother or sister from Northern Tanzania to let me have the Kiswahili version of these songs, then I will avail the same in English for the rest of you over there. Please help me to plead with these Tanzanians.
Classified,im love with the voice.which tribe this
hakika Dada saida na Hugo jamaa was Uganda mmeweza sana big up nyiingi kwenu
We Love you. love the song . Funs from Zambia.
Joshua Francis Banda thanks
big up Dada said a kaloli nakupenda sana tena sana
Perfect from Tanzanian and Ugandan
GREATEST TUNE OF THE YEAR
❤❤❤ From San Andrés island Colombia
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 ngoma iko pow
Nyimbo nzurisana 😍
Mambo ni motoo saida hongera mama
Nao entendo o que canta, mas gosto da sua voz. Força na musica.Moçambique
Wote wamekutana sauti zao amazing owo omuka
Kweeli
nyimbo nzuri sana👏👏👏
Aisee mama huyu wa kihaya anazeeka na mautamu...asante sana saida
Anaye mkubali Saida %100 kama mm Gonga like yako Apa √👍👍👍
😍sweety melodies
From kenya we love you mama
Nakuona mbali saaaaana kwa uboresho kama huu
I'm so exited nice voiceee
Gamba waitu mawe wimbo mzuri sana sana notishanuuuuu!
Huyu dada anajua jamani eheeeeee
Ni fundi mzuri tu wa mziki jamaniiiii huyu apewe sifa yake jamani ni noma sana hakuna cha zuchu wala zura hapa saida anajua jamani weeeee
ngoma kali sana ,1m+ views
Saida thanks for this one
Good ,Nice song of saide , i like ❤
I just love Saida Karoli
mungu akubariki mama. mziki mzuri sana huu. Fanya colabo na Jaydee mamaangu
More love Saidi karoli❤️
Ngoma safi mama Tz...from kenya
I love your voice
saida ndio kioo cha tanzania napenda sana ngoma zako ni msanii ambaye huchezagi uchi, endelea hivyo hivyo utafanikiwa
Nyimbo nzuri sana Saida umefanya vizuri kuitengenezea video
Sou Moçambicano gosto das suas músicas
YOUR MY SISTER IN AFRICA I HAVE TO SUPPORT YOU
Asante mama tumeburudika na kumelimika kupitia wimbo wako mzuri saaana
wakola muno, twakubona, mulimo gurungi mno👏👏👏
asante xn mama na Hongera cn mond kwakumuamsha mamaetu
dah ya saida na hanson hatar sana bonge la kolabo
Please put these Songs in Apple Music..
Niceeeee song jamani
Mwaaaaaa wote wameenda vzr
🇿🇼🇿🇼 saida🔥
big up mama wa tz ..... mungu akubariki upate mafanikio mengi zaidi
sauti ya dhahabu hii jaman duuh Dada mungu akupe miaka buku ya kuishi
ongera sana saida napenda sana nyimbo zako.
Ngoma Kali Sana#Saida unakipaj kikubwa sana
Hongera dadaangu ubarikiwe zaidi
Ngoma Kali San jmoon nkakwend mno kaisk