HATIMAYE 'PANYA ROAD' 10 WALIOKATA WATU MAPANGA DAR WAKAMATWA, KAMANDA MULIRO ASIMULIA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +2

    Subuhanallah mtihani binaadamu yunajisahauuu kama nawao watakufa

  • @yusufsong9158
    @yusufsong9158 2 роки тому +2

    Ukimkata mtu na mapanga wewe ni muuaji sasa kifungo cha maisha au iwekwe ile ya kupigwa risasi ndio nzur lkn tukisema wakafungwe kisha wakatoka amja fanya chochote zaidi tunakidanganya

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому +1

    Asante sana jeshi rangu kwa kazi mzuli

  • @rahasaidi3553
    @rahasaidi3553 2 роки тому

    Safi sana kamanda

  • @daviddouglas8943
    @daviddouglas8943 2 роки тому +1

    Dah Panya Road ni shida sana aisee, zamani kulikua na wale Komandoo Yosso ndio wame evolve sasa!... Wacha wachomwe tu moto wakipatikana.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 роки тому +5

    Vijana hawa wateswe sana.
    Mpaka mtandao mzima upatikane.
    Hawa ni majamvazi wadogo kesho watakuwa majambazi sugu.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 роки тому

      True

    • @fhyubhhh2881
      @fhyubhhh2881 2 роки тому

      Wakamatwe wazururaji wote ndio itakapokuepo amani

  • @clementselestine5308
    @clementselestine5308 2 роки тому

    Kazi mzuri sana .

  • @allenshetuli9100
    @allenshetuli9100 2 роки тому

    Sawa hongereni

  • @rahasaidi3553
    @rahasaidi3553 2 роки тому

    Jamani nakwetu atuna Imani wezenu kiponza bamia atunalaha

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 роки тому +6

    Hawa hukumu yao ni vifo sio wa kuachia wala kufungwa kifungo cha miaka kisha watolewa hii itakuwa ni kuendeleza ujambazi wakiuwawa inakuwa fundisho kwa wizi wauzaji

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 2 роки тому +3

    hawa wengine muwe mnamalizana nao "field" kimya kimya tu.

  • @modyworldmody4297
    @modyworldmody4297 2 роки тому

    Sheria kali ichukuliwe.... Sio kufungwa mwaka miwili alafu kusamehewa..... Awawashenzi ni risasi kichwani..... Uwe darsa kwa washenzi wangine

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 2 роки тому

      Tena wapigwe hadharan iwe fundisho wenzao waone kama serikal yetu ipo seriously na haifurahishw na tabia zao

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 роки тому

    Haoo wafungwe maisha

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +3

    Vjana wadogo wazur 😢lakn wanafanya vtu vya ajabu mno

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Safi sana

  • @bakarimohamedi1
    @bakarimohamedi1 2 роки тому

    Mulilo anaupiga mwingi sana ombi langu aongeze tu oparation ya kuwasaka hao vijana wanaojiona wamepinda hususani kipindi hiki cha kulekea sikukuu wamezidi sana

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 роки тому

    Wauliwe na wao

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 роки тому +1

    Halafu wakikamatwa wakiuliwa utaona watu wanawaonea huruma, wakati wao wanaua

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 2 роки тому +2

    SAIV SS WANANCHI TUKIKUTANA NAO NI MWENDO WA KUCHOMA MOTO SI WANAWATOA GEREZANI KUJA KUFANYA UHALIFU TENA SAWA

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 роки тому

      Haswaaaa kuuwa tu wasituchosh

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому +1

    Piga bunduki hao baada ya kuwahoji

  • @abbasbakary3491
    @abbasbakary3491 2 роки тому +2

    Mulilo bc naomba tu wauwe halafu watupwe bahalini Yani milioni 2 jomon unamua mtyu da

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому +1

    Hizo habari mkizitowa hivo sindomnawaarifu hao wahalifu wakimbiye

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 2 роки тому

    Mama anashindwaje kupambana na askari ili ivi vitu visitokee sehem husika ya tukio fukuza uongozi wa hapo hawafanyi kazi

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 2 роки тому

    MINYENI MPAKA WATOE DAMU HAO

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 2 роки тому

    Muuaji auwawe

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 2 роки тому

    Yani hao ninkuwauwa tu watz

  • @erickmsuha1390
    @erickmsuha1390 2 роки тому

    Kamanda wa jeshi la polisi Kanda maalumu Dar,,,tunampongeza saaana kwa kutukamatia Hawa panya road...!

  • @nathaliamayo8311
    @nathaliamayo8311 2 роки тому +1

    Tunaomba mtuonyeshe washtakiwa wakiwa wamevaa vizuri pamoja na viatu

  • @yusufsong9158
    @yusufsong9158 2 роки тому

    Mi awa ni kuweka sheria ile piga risasi kama majambazi tuone kama watakuwapo

  • @makufulmakuful8055
    @makufulmakuful8055 2 роки тому

    Wauwawe tu akuna chakufungwa watu km hao kenye wanapigwa risasi kuwafunga bado ajawap dawa

  • @abdulnaseerabdulhakeem9302
    @abdulnaseerabdulhakeem9302 2 роки тому +1

    Piga sindano za sumu tuu,kama ndio wao mna wasubirisha nini,ndio yanakuja kuwa majambazi ya baadae

    • @bakarimohamedi1
      @bakarimohamedi1 2 роки тому

      Sindano ya sumu ya nn ww wanakufa kibosi wakati wao ni wanyama hao wakatwe kiungo kimoja kiomoja mpaka wanakufa

  • @lilianjonas2272
    @lilianjonas2272 2 роки тому

    Ubaya ni kuwa hawawakamati panya road wanakamata vijana wasio na kazi mtaani,,,,,, Au wenye kuhisiwa vibaya

  • @khahkhas230
    @khahkhas230 2 роки тому

    Hao nao wavunjwe tu

  • @ديمالرويلي-س7ض
    @ديمالرويلي-س7ض 2 роки тому

    As kihana uibe kwa mini usiende mpk udhuru mtu

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 2 роки тому

    Matatizo haya tuliyasahau kabisa jamani heshi la police jamani tuhuriyeni tutakwisha sisi raia mm mwenyewe nimenusurika kufa kwa hawa vibaka pesa zimeondoka cm imeondoka bahati nzuri walikimbiya wakaacha pkpk mpaka leo kesi ipo police nahawajakamatwa

  • @aby21111
    @aby21111 2 роки тому

    This guy must be fired. If only he was taking control of the safety it wouldn't be like this. 😡

  • @aminaally7622
    @aminaally7622 2 роки тому +1

    Jitahidini sana mana huku kigamboni wanafukua mpaka vyuma vya umeme na koki za mabomba wanachukua

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 2 роки тому

    Muliro jiuzulu kwani intelijensia ilikuwa wapi hadi watu Zaidi ya 30 wanapanga tukio hili, la panya Road Bila kujulikana.
    Ni udhaifu mkubwa kwa jeshi la polisi, kushindwa kulijua hili, kwani Panya Road 30 wangeweza hata kuteka kituo cha polisi na kuchukua silaha ,manake polisi na wapelelezi mlikuwa likizo?
    Ingekuwa Chadema na mkutano ,mhh

  • @sabrinamaluma6452
    @sabrinamaluma6452 2 роки тому

    Wasiavhiwe

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 2 роки тому

    Mbona wanatembea upandeupande washashuhulikiwa nini

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому

    Wapewe adhabu kali ya muda mrefu, hakuna dhamana wala rufaa hiyo ni kesi ya uuwaji

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 роки тому

    Km wameua wauliwe ndio hukumu ya muuaji

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mtihani muwaji lazima na yeye auwawe hawataki kazi hao

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому

    Baba ua hizo vitu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому

    Nafikiri kutoa habari sio sawa

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      du Allah atunusuru vizazi vyetu😢

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому

    Mapolisi shirikianeni na serekali za mtaa kufatilia orodha za wazururaji pia malaya na wahalifu mtaani waripotiwe kwa majina yao, hawa ndio chanzo cha mabalaa yote sababu mivivu haitaki kazi....

  • @adamkipenga6512
    @adamkipenga6512 11 місяців тому

    Polisi wazushi

  • @zamdaomanizamdaomani3172
    @zamdaomanizamdaomani3172 2 роки тому

    Na kigamboni jmn wapo

  • @williamdetkvant1313
    @williamdetkvant1313 2 роки тому

    Wajinga Sana hawa vijana,watu wanatoa jasho lao kutafuta, wao wanapenda kupata vitu kwà urahisi,ssa wananchi tusiwalehe hawa watoto wajingawajinga toeni taarifa wazibitiwe,