ABDULWAHID SAID - USISIKITIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Mtunzi :Sheikh Ally Bin Mzee Komorian

КОМЕНТАРІ • 40

  • @yusufmohamed1078
    @yusufmohamed1078 2 роки тому +6

    Wallahi usisikitike mwanadamu wapi like ya sheikh wetu Masha Allah

  • @mashangojumaa8689
    @mashangojumaa8689 Рік тому +2

    Ddduuhhh hakika qaswida hii yanikumbusha mbali sana wakati Marehem Sheikh Issa Shaban Bun Simba atoka India kukatwa mguu anaimbiwa hii qaswida analia sana Allah amhifadhi Sheikh wetu

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 21 день тому

    Maashaallahu allah awalipe kwa jumbe nzur awape mwisho mwema

  • @selemansalum
    @selemansalum 4 місяці тому +1

    Qaswida yng pendwa kabisa,ina faraja na mafunzo mengi mazuri sn ukiisikiliza

  • @user-fy3ro6nx4o
    @user-fy3ro6nx4o Місяць тому

    Mashallah tabarakallah

  • @hateebjrpresenter001
    @hateebjrpresenter001 4 роки тому +3

    Mashallah Qaswidaa hii imenitoaa chozii snana nilipoisikizaa imejaa mafunzo kibao

  • @ShekhaIssa-pg7uu
    @ShekhaIssa-pg7uu 7 днів тому

    Allah akuhifadhi mashaallah ❤

  • @user-xy3em7ch8l
    @user-xy3em7ch8l 4 роки тому +4

    Swahaba alimuendea mtume akamwambia mtume niusie , mtume akamjibu laa tahdhab

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 3 роки тому +1

    Allah amlipe wingi wa fadhila na thawab sheikh Ali Mzee Comorian

  • @nagmahmohamed9559
    @nagmahmohamed9559 Рік тому

    Twayyiiiiiiiiiiib

  • @haithamdahillard8746
    @haithamdahillard8746 3 роки тому +1

    Mashallah Tabarakallah.

    • @hawahussein2056
      @hawahussein2056 2 роки тому

      MASHAALLAH hii qaswida inanipa elimu kubwa sana

    • @hawahussein2056
      @hawahussein2056 2 роки тому

      Ninapopatwa na mitihan nikiiisikilza hii qaswida basi nask

  • @nagmahmohamed9559
    @nagmahmohamed9559 Рік тому

    Mashaallah Allah Allah

  • @abouawladsanzesanze429
    @abouawladsanzesanze429 4 роки тому +1

    Hakika mashairi yamejaa hekima na mafunzo.....Allah atupe subira kwenye mitihani

  • @johnabdillah9531
    @johnabdillah9531 4 роки тому +1

    MashaAllah. Imeniliwaza pamoja na mengi magumu ninayoyapitia

  • @ibrahimkiwia6899
    @ibrahimkiwia6899 2 роки тому

    Mashallah sheikh Ali mzee

  • @fatmasaleh8027
    @fatmasaleh8027 3 роки тому

    Mashallah..Mashallah..Mashallah Allahu-akbar..ni Qaswida iliyobeba ujumbe mzitoo sana Subra ni wajib kwetu kwa kila tunachopitia ktk mitihani aliyotupa Allah (s w) hakika wenye kufaulu ni wale wenye kuwa na Subra na imani mbele ya Allah (s w) Allah jaalia imani izidi jaa ndani ya vifua vyetu hakika sisi kwako ni dhaifu sana tupe radhii zako ya Allah

  • @aminakombo2969
    @aminakombo2969 2 роки тому

    Mashallah

  • @muniramasoud6783
    @muniramasoud6783 3 роки тому

    lazima ulie tu shukran kwa ujumbe mzuri

  • @zuhurazuberi9720
    @zuhurazuberi9720 4 роки тому

    Nimefarika Sana kusikiliza kaswida hii imenifunza

  • @salumkitunda9149
    @salumkitunda9149 3 роки тому

    Ni qaswida yenye ujumbe mzuri na mzito kwa kila hali tuipatayo maana wengi wetu tunajisahau sn ya kuwa shida zikizid tunaona km tunaonewa na Allah,hapana wote ni mtihani ili tupate kufaulu maana hata tukijaaliwa vzr kuvimiliki navyo pia ni mtihani vile vile........
    Inanifariji na kuniongezea kitu ndani ya moyo wng hii qaswida,Allah awafanyie wepesi watunzi wa mashairi haya na ndg zng wote wenye kila aina ya mtihani insha'allah amin.

    • @aminakalufya2864
      @aminakalufya2864 3 роки тому +1

      Allah Amrehem Shekhe Ally na Umati Muhammad
      Awatie Nguvu Madrasa Yake Wapate kuendelea Inshallah

    • @hemedlwambo5752
      @hemedlwambo5752 3 роки тому

      ماشاء الله

    • @wazirimasoud3468
      @wazirimasoud3468 3 роки тому +1

      Mmmh Mashallah Mashallah Ndivyo Mwlm Umepita mapito Yandani Hasa

  • @hemedlwambo5752
    @hemedlwambo5752 3 роки тому

    ماشاء الله

  • @fatihiyajuma6319
    @fatihiyajuma6319 2 роки тому

    Nzuri sana

  • @mohamedalli3869
    @mohamedalli3869 4 роки тому

    Twayyib mwarabu wa kipunguni

  • @sideboy9922
    @sideboy9922 2 роки тому

    ما شاء الله

  • @fuwadali5085
    @fuwadali5085 4 роки тому

    ما شاء الله عليك أخي وصديقي عبد الوحيد
    صوت جميل جيدا ما شاء الله آلله يحفظك
    أخوك فؤاد من دبي

    • @abousaeed3tvonline96
      @abousaeed3tvonline96 3 роки тому

      اللهم آمين يارب بارك الله فيك اخي الغالي

    • @mahmoudsaidsakrani4373
      @mahmoudsaidsakrani4373 3 роки тому

      @@abousaeed3tvonline96 Hongera sana Brother.. MashaAllah Version nzuri, sauti Jameel..

    • @Abdourahman345
      @Abdourahman345 3 роки тому

      Vitah habib

    • @Abdourahman345
      @Abdourahman345 3 роки тому

      @@abousaeed3tvonline96 kwa ukweli khatari

  • @mahfoudhsaidmbarakal-abool3584
    @mahfoudhsaidmbarakal-abool3584 4 роки тому

    Mashaa Allah,

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 роки тому

    Masha Allah

  • @aminakombo2969
    @aminakombo2969 2 роки тому

    Mashallah