Show kali sana..."ASKWAMBIE MTU" MAYNE..... @labalaa, @agano @kitu_sewer taking us down memory lane .... That's when you listened to HipHop n and felt the struggle of the artiste fully.. Everybody composed Real Life 🧬 experiences and past and present On-Goings in the society and that's why most joints from the Infamous, Star-Studded "UKOO FLANI MAUMAU" Crew are still effin' relevant till today and that's how it's gon' be till INFINITY. Giving y'all this for FREE and Y'all can take that to the Bank. Y'Digg?? #MbiliCentiZaP.A.V. #BestBelieve1
Bigup Labala na Agano,kazi Safi , Sewer apewe maua zake
Kama Yuko hai bana 💪
Niko nyini ya meza 😂😂😂hiyo stori ya omena kwa stage 😂😂😂
Uwezi bishana na master 😂
🤣🤣🤣🤣 kabisaaaaa
Kuuubwaaa
"..mentor wa mi alishatufikisha kwa P Funk Majani.." Kabisa👊🏿
Sewer da goat.....nice one
👍 appreciated
I feel like this guy predicted the future his songs are still relevant , big up sewer
Spoken like a true HIPHOP Head. Appreciated sana G
Ngorii🔥
Ati Gidi anatupia mafans omena😂😂
Niko hooked up!!!🎉
Kitu sewer Mzee mzima kwa nyumba 🙌🏿 🙌🏿
Au Sio 💪
Labalaa Nawapata loud and clear from mwagosi - bokole...tutaftieni vigeti na chizn brain najua kwenu itakuwa rahisi kuwafungukia
Mitaa Ya Labalaa hapo Changamwe Maternity Karibu na Nyumba za Customs Mkomani. Ndio twapanga nao pole pole lakini Chzn Yuko Tzed siku hizi
Changamwe maternity ndipo nilizaliwa aisee🤔
#Mungu yuko juuuui
Legends 💯💥
Madlove🤣Eti omena!!
Its dope🔥
Hii saa ndio inabamba🔥💯
"...anarushia watu maomena..."😂😂😂😂😂 Ni kitu poa kujua Gidi na Maji iliundwa na Ukoo.
Sii uongo mazee
Gidi ma omena 😂😂
Eeeeh Bwana daaaaah
Kaziii safiii
Shukran sana bro
👏🏿👏🏿👏🏿Yeah man....twende nalo sasa.....awesome content 🔥🔥🎤
Appreciated sana G
Nayo Nayo #AskwambieMtu
Au sio😂
hiyo story ya gidi na omena kwa show... 😂😂😂
Hilarious shit ever,plus sewer Huwa nice kupeana stories😂
😂😂😂askwambie mtu
Nice show my brothers
Appreciated sana bro
Splendid! Keep it up
Hii sheng original ya Kitu Sewer iko on point
nigirO bro
Production imeweza💯🔥
Shukran sana G
Tusiyeyushane🔥Kazi mufti UF
EEh bwana daaaaah 😂
🔥🔥🔥🔥
Appreciated sana
Vipi Lagwanja na Agachanizo..show iko mufti kabisa..I would advice next time when a legeng talks about his/her track, munacheza kiasi chorus
That's a Good IDEA 💡
On it 💪
Show ni Kali..Ni Gich
@@AskwambieMtuPodcast
Askwambie Mtu Gich. Twaja Gilgil very soon
Omena zitembee😅😅😅😅vipi maninja
🤣🤣🤣🤣. Poa sana brother.
Its very nice to see the best in the Kenyan Hip-hop. #Askwambie mtu.
#AskwambieMtu 💪
Rib Ksouth Locked in.
Kaboom salamu yoh sikujua pesa pombe ni p funk alipiga big up interview mzuka 🔥🔥🔥
Shukran sana
Ndolo yeng
Noma sana, Good job Wakamba wawili, this podcast is 🔥🔥🔥
Appreciated sana
Hawa wakamba walikua real, miss hiphop halisi show,
Maaaahn hehe back in the Days mazee
Mbegetseeeee
M to the U.S.A 🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Kitu sewer aki si nikumeet tu.. Nikubuyie choma.. Nilikua naitisha ngoma yako ya Maria back then ghetto redio.. Dandora born solja
Here from OGs inta stories.... podcast namba uno 🔥🔥🔥 maaad 💪💪🚀🚀
Appreciated sana G 💪
These episodes are too short,i dont mind hr long pods, especially when it's beautiful stories told.
Otherwise kazi safi,asiwaambie mtu
Appreciated sana. Part 3 na ndio Final part itakua Longer zaidi.
Ndio wanaanza but dope feedback..
Show kali sana..."ASKWAMBIE MTU" MAYNE.....
@labalaa, @agano @kitu_sewer taking us down memory lane ....
That's when you listened to HipHop n and felt the struggle of the artiste fully.. Everybody composed Real Life 🧬 experiences and past and present On-Goings in the society and that's why most joints from the Infamous, Star-Studded
"UKOO FLANI MAUMAU" Crew are still effin' relevant till today and that's how it's gon' be till INFINITY.
Giving y'all this for FREE and Y'all can take that to the Bank. Y'Digg?? #MbiliCentiZaP.A.V. #BestBelieve1
Watakuja na maolipo...Agano akatokea nazo ukweli 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 sii uongo
fanya mambo i think ilikuwa 2001 nakumbuka nikiona kwa channel O
Hehehe kweli bro
"ASKWAMBIE MTU" KICHAA.
HEARD IT FTOM THE HORSES MOUTH Y'ALL.
So pesa pombe na na majambazi ni Alfani? Duuuh small world
Sometimes unagundua Dunia ni Kama Kijiji aiseh 💪