Mimi ni mpenzi wa historia na kwake nilipata mwalimu hodari naweza omba uje hapa Kenya uifanye historia kuhusu Mila za jamii ya wakikuyu ambalo ni langu ukifanya hii utaipenda na ikiwezekana nihusishe Kwa ujumla tuko zaidi ya million 10
Simulia yote ila usiguse Mambo ya Imani maana huwa unapuyanga Sana unalalia upande mmoja ushauri ukitaka kusimulia Mambo ya Imani kasome thiologia nukta by nuka nachimbuko harisi la Imani hiyo
Sisi wabongo Bado washamba sana aisee Duh..lkn ndio tulivyo maana iyo iPhone aijapigwa lkn imetoka hili tujue kwamba nae anayo macho matatu.. ila sio mbaya kidogo chako ushoto ndio tupunguze kidogo
Sema una akili ya kimasikini sana yani hapo mawazo yako ndo yanayokutesa kwa sababu unaona ni kitu cha ajabu ila wenzio wanaona simu tu kama zilivo simu nyingine... ukitaka kuamini we ni mjinga kwelii Angetoa tecno wala usingeongea
Mbona saiv hatumuoni kwenye story book? Maana hajatoa video mpya yeyote ya storybook mpaka saiv....,,,,, Mbona katulia achia video bwana tuone story bwanaaaaaa
Jamal nakukubali sana m/mungu akutangulie kwenye kazi zako
Nimependa haya mahojiano mwandishi anaonekana ana uwezo mkubwa wa kuuliza maswali
Watching from Kenya 🇰🇪 we love you and your work Professor 👍
Kazi safi Prof Jamal endelea iviyo ivyo utafika mbali.
Straight outta Nairobi Huyu mjamaa ni Icon saa hii ashaa nifunza kitu
Nakkubali sana Jamal John kutoka Dr Congo 🇨🇩
Mimi ni mpenzi wa historia na kwake nilipata mwalimu hodari naweza omba uje hapa Kenya uifanye historia kuhusu Mila za jamii ya wakikuyu ambalo ni langu ukifanya hii utaipenda na ikiwezekana nihusishe Kwa ujumla tuko zaidi ya million 10
Professor njoo tume kumiss sanaaa ❣️✔️🇹🇿🙏
KING JAMAAL 🙏🏻
Namukubari mno jamal uko vizuri
a bullet or heart attack 😢........Msimuue jamani
Mwelekezi mzuri, maswali yako yamekomaaaa.
Jamal kanenepa 🔥🔥
Waoh I realy love him
When you become predictable you become... Neno la mwisho sijalisikia vizuri
Vulnerable
Shukran
Watu wenye roho mbaya watampinga huyu jamaa
Genius jamal 🚭
Story book tunaomba history ya Hitler na second world war! Please
Broth bona the story book sizion nying naona zilezil ina nakubar san br
Jamary🔥🔥🔥🔥
Nakupenda nasaa 😍😍😍
Wa Rwanda walikutishia au maana ile ya gereza uliifuta
Nakubali👏👏👏
October
Jamal jamal 😳
Jamal❤❤❤❤❤❤❤❤
Mambo vip
Freshy
🎉🎉🎉
'Natamani ningeumbwa nyoka ningevua magamba milele nisingezeeka hip hop ingetamba " fid Q ... Jamal Ni mkariri mzuri wa fasihi ✍
Mfahamu muumba wake usife uishi imilele
Simulia yote ila usiguse Mambo ya Imani maana huwa unapuyanga Sana unalalia upande mmoja ushauri ukitaka kusimulia Mambo ya Imani kasome thiologia nukta by nuka nachimbuko harisi la Imani hiyo
Unalalia upande ganiiii
Mpigie cm
Stori ya juwa nipendagae sana
Sasa matatoo ya nini kuiga iga wazungu
Ivi mtiga bado yupo ETV?😀maisha aya bwana yaani mistake kidogo Tu unaweza kutoka ao ukafulia moja Kwa moja
Mtiga Abdallah alifanyaga mistake gani???
Mwanahalakati wa ukomboz wa kifikra wa mwafrika J Mal April
Sisi wabongo Bado washamba sana aisee Duh..lkn ndio tulivyo maana iyo iPhone aijapigwa lkn imetoka hili tujue kwamba nae anayo macho matatu.. ila sio mbaya kidogo chako ushoto ndio tupunguze kidogo
Sema una akili ya kimasikini sana yani hapo mawazo yako ndo yanayokutesa kwa sababu unaona ni kitu cha ajabu ila wenzio wanaona simu tu kama zilivo simu nyingine... ukitaka kuamini we ni mjinga kwelii Angetoa tecno wala usingeongea
Hahahaha mtu mkubwa Yule tecno asingeweza kutoa Ila mm nakutuma chunguza ni ushamba tyu
Kaka yani mastory yote Yale mshkaji umeona macho matatu tu
hahahah jamaa kweli anajua Ila Kuna mambo anajiongeza kwa kweli 😁😁😁😁🙏
Tunakutambua king Jamal
Tumezaliwa mwezi moja na tarehe moja
Nakukubar san yani jama unasimuria kama vire ulikuwepo wasaf Tv
Jamal ni Bora zaidi Kaka anajua
Nakuelewa sana Prof:
Wow nakubal
Mbona nimekua mtu wa kuota kiila kinachojili iki nliwahi kuota hii conversation
Big Sana mkuu
Big up🙌🙌
Mbona saiv hatumuoni kwenye story book? Maana hajatoa video mpya yeyote ya storybook mpaka saiv....,,,,, Mbona katulia achia video bwana tuone story bwanaaaaaa
hivi umefatilia alichokiongea kwenye interview? ao ume comment tu bila hata kumsikiliza anasema nini.
😆😆
😂😂😜
.uyu ni mfanyakazi wasafi awezi kata tawi aliokolia
Jamal April
Ndymaana ile makala ya area51 siioni😂😂
Professor ako makini saana
De same bd
Saf..
Profesa
Sema kwenye video saut inawahi picha inachelewa
Bad pronounsation of April... Mind you English is English don't compare with kiswahili
It is pronunciation not pronounsation
@@msusasandali5833 mfunze yaan ujuaji mwingi hku naye hajui😁
Ikiwemo sikukuu ya wajinga ni April (fool’s day)
Ajuhi lolote huyo professor wenu
Naaliekuambia anajua ninani? Nyau wew
@@allysuleiman6022 Niliambiwa na mama yako ,kenge wewe
@@mmbondoglobalnews1958 we msenge hujielewi
Wewe unajua nini
@@drasdrasko3286 msenge mama yako !! Stupid