Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Amina Baba Padre Mwajombe,hongera Baba Shemasi💪💪💪💪💪💪
Waoooo Safi Sana inapendeza mno tumshukuru Mungu
Kina kikot nawajua mashemasi watatu sasa na uyu hongereni sana ukoo mzuri sana
Tumsifu Yesu Kristu Huyu shemas anapata lini upadre tumsaprise wana zanzibar maana alitusomea Injili zanzibar kwa ajili ya Askofu wetu jamani BARIKIWA SHEMASI LINI UPADRE TUJE DAR WANA ZNZ
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Safi sn.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Shemasi imekuwaje akatimiza mwaka mojaa??
Alipata ushemasi akiwa Roma masomoni ,hivyo kwa Mapenzi ya Mungu atapata daraja Takatifu mwaka huu
Inatokea sana kulingana na taratibu za malezi hasa katika mapadre wa mashirika