Pastor Ali Murtad Amkana Yesu Hatharani tizama. . Sheikh Anwa/Sheikh Yahya Issa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @JustineKanyago-fj2gw
    @JustineKanyago-fj2gw Рік тому

    Twawanjua vinzuri nyinyi Ni wa pinga yesu mshindwe Sana hatuogopi,,yesu ndie njia

  • @ethicsentertainment6965
    @ethicsentertainment6965 4 роки тому

    Nawapongeza masheikh wetu kwa kazi mnaofanya Allah awasaidie katika maisha yenu na nawaomba msivunjike moyo mkazie huyo pastor Adan haji kutoka somalia mpaka akubali mjadala

  • @ukhtyhalima6342
    @ukhtyhalima6342 6 років тому +2

    Sheikh yahya issa Allah akuzidishie umri uzidi kuwafunza hao makufar wasioelewa.

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 роки тому

    Mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri waelekezeni wakiristo mungu wape mongozo tu jamani 🙏

  • @muqbulmuqbul7589
    @muqbulmuqbul7589 5 років тому +1

    SubhanaALLAH,MaashaAALLAH,JazakaALLAHu kheiran

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 роки тому

    Mashaallah tabarak allah shekh yahya mungu akuzidishie umri

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 5 років тому +1

    Subhannallah innalillahi wainnaileihi rajiuuun

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому

    Mashalla Allah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 років тому +1

    MashAllah

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 4 роки тому +2

    Njaa inauma yaani wala haipendezi kwa msomali kuwa mkristo Ali Bora utubu urudi kwa Allah Kabla Mauti hayajakufika

  • @alimussa5560
    @alimussa5560 3 роки тому

    May Allah open Ali"s eyes to truth and bring him back Islam. Common sense tells even the kid , No one should be praying to his or her creator invoking a third party.

  • @boontujimmaa9462
    @boontujimmaa9462 3 роки тому

    Njaa tu

  • @sarifimikidad3994
    @sarifimikidad3994 5 років тому

    Mashaallah

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 5 років тому +4

    Huyo murtadi ameingia ukristo kwa njaa

  • @abdifatahmusse7354
    @abdifatahmusse7354 5 років тому +1

    Hapo ni wapi

  • @neslinematoze4283
    @neslinematoze4283 4 роки тому +2

    Who doesn't know the pastors in these debates are muslims, Kweli waislamu Ni machizi... You think we Christians can't differentiate between real pastors and imposters....
    Ni Mara ngapi nimeona the same pastor kwa mafunzo yenyu ya Namanga, Kajiado na Eastleigh, surely Satan is the author of all lies

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 роки тому +1

    Inna Lillahi wainna ileihi rajiun Mungu amuongoze huyu kafiri Murtad Ali

  • @mohammedzyenhassan1401
    @mohammedzyenhassan1401 5 років тому +4

    Huyo hata Haina haja aongozwe arudi Uislamu atasumbua watu Miskitini

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому +1

    Kweli hiyo Adam Haji namfahamu na kanisa lake nalifahamu, natamani sana Siku angekutana na nyie walimu!

  • @totibowy3955
    @totibowy3955 6 років тому

    M.a good kazi

  • @montenomontana2935
    @montenomontana2935 5 років тому +1

    Kiswahili chenyewe hakieleweki

    • @omarhassan23
      @omarhassan23 5 років тому

      Hahaha kiswahili cha masai babu analolote

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 4 роки тому +2

    Usilamu nikutafuta Qaburi ukirsto ni uzima wa melele

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 років тому +1

    kumkataa YESU ni kumkataa Nuru na mtu akikataa Nuru hubaki gizani

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 роки тому

      Toa maandiko

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 роки тому

      @@alraident8068 YESU NI NURU YA ULIMWENGU. Yohana mtakatifu 9:5, na Mathayo 22:29 kujua maandiko na uweza wa Mungu kwa faa sana, Yohana mtakatifu 8:12 YESU niNURU ya ulimwengu, ukimjua Kristo utamjua Mungu na Jina lake utalijua kwamba lijuu ya majina yote, na NENO la MUNGU halieleweki kwa akili za pai Mara kipenyo shurti mtu ajazwe ROHO awe hai ndani ya YESU maana MUNGU ni ROHO na wamuabuduo halisi imewapasa ktk ROHO akili haitoshi ina utashi wa mwili .Yohana mtakatifu 4:22-23,kuabudu ukijuacho kumeanzia kwa wayahudi YESU kasema mtu haji kwa baba bila ya njia ya Mimi ,maana YESU ni NJIA KWELI na UZlMA tena ndiye huo UFUFUO kama wanafunzi 12 aliwaambia hawataelewa mpaka atalapo waletea ROHO wa kweli vipi Leo ulimwengu ambao hauezi kumpokea ROHO ati wanataka kusoma NENO la KWELI wanataka andiko wataelewa kwa roho yupi kama si yule wa kuasi . lkn ROHO akipenda utaelewa mapenzi ya Mungu alie hai

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 роки тому

      @@frankjohn8570 ujue walio itwa nuru kwa bibilia si yesu pekee Yohana 5:35

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 роки тому

      @@frankjohn8570 Nashangazwa na nyinyi wakristo. Munasema oooh huwezi soma bibilia paka ukuwe na roho mtakatifu. Ajabu nikuwa waandishi wa bibilia wenyewe hawakuongozwa na roho mtakatifu.

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 роки тому

      @@alraident8068 hayo pia unajaribu kujibu usichokijua maana biblia ni ufunuo sio vitabu vya sayansi ndiposa hata mtu aweza soma digidii ya biblia lkn hajui kuokoka wala mambo ya ROHO wa Mungu ktk maandiko milio toa Yoh4 kuna mwanamke msamaria alitumia hekma yake kwa ujuaji akamwambia BWANA kuhusu kuabudia kwenye mlima na huko Yerusalem,,lkn YESU akamjibu kusema hakuna niamini wokovu watoka kwa wayahudi,ninyi mwaabudu msichokijua sisi twaabudu tukijuacho,

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 років тому +1

    Ali murtad anakaa kama chizi..wallahi hajielewi aendako wala atokako..astaghfirullah!...inna lillahi wa inna illaihi rajiun...hata siamini kama alishawahi kuwa mwislamu maana hata hana mwelekeo!

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 років тому +3

    huyo murtad naona naakili inapotea maan anavyofanya kama chizi

  • @Wambuiwakori
    @Wambuiwakori 4 роки тому

    Mtajua ukweli na ukweli utamueka huru.

  • @janawchannel3797
    @janawchannel3797 5 років тому +1

    Huyu mtu kwanza anakaa aje.hata hakai pastor?

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    Hahaha

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    Waomba kwaugomvi naubabe

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    Haha eti wwe ndo kafiri

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 років тому

    kumkataa YESU ni kumkataa Nuru na mtu akikataa Nuru hubaki gizani

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 роки тому

      Hakuna muisilamu yoyote Amemkataa yesu kama mtume wa mungu kwa wana waisrail

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 роки тому +2

      @@alraident8068 sauti ya BWANA ilisikika kwa nabii Isaya kusema"wananikaribia kwa vinywa vyao lkn mioyo iko mbali na Mimi, kama wanamkubali YESU mbona hawajabatizwa ? Mbona wangali katika dini zao? Bwana YESU ataka tusitumikie mabwana wawili, je dini nayo si bwana? haiwaongozi watu kuifuata? tena kumbukeni siku zote BWANA YESU alivyokua akisakamwa na wakuu wa dini hats leo. nao ndio walifanya shauri auwawe na kumtoa nje ya sinagogi,kama angetangaza dini ulimwengu ungemkubali

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 роки тому

      @@frankjohn8570 Toa andiko ukiristo ni dini

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 роки тому +1

      @@alraident8068 kama article nilioandika hujaelewa utaweza vipi kuelewa neno LA Mungu ambaye unakataa kuwa mwanafunzi wa mafundisho yake? Hapo nimeeleza wazi kuhusu dini kwamba Bwana YESU hakuleta dini na kwamba viongozi wa dini na wanye dini ndio walimkataa na kufanya shauri kumuua hata walimtoa kwenye sinagogi hadi hapo huoni kuna tofauti kubwa kati ya dini za watu na Kristo wa Mungu aliehai, YESU ni kwaajili ya msamaha wa dhambi kwa kila mtu aaminie sio dini

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 роки тому

      @@alraident8068 kama article nilioandika hujaelewa utaweza vipi kuelewa neno LA Mungu ambaye unakataa kuwa mwanafunzi wa mafundisho yake? Hapo nimeeleza wazi kuhusu dini kwamba Bwana YESU hakuleta dini na kwamba viongozi wa dini na wanye dini ndio walimkataa na kufanya shauri kumuua hata walimtoa kwenye sinagogi hadi hapo huoni kuna tofauti kubwa kati ya dini za watu na Kristo wa Mungu aliehai, YESU ni kwaajili ya msamaha wa dhambi kwa kila mtu aaminie sio dini.