Hapana Giza | NZK 182 | Haydine Momanyi | No Night There
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- Milango ni ya lulu, Mjini mzuri;
Dhahabu njia zake; Na hapana giza.
Macho yatafutwa, Kifo hapana pale
Hawahesabu siku, Na hapana giza.
For Enquiry +254715659136