Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @موسىرمضان-ب6ي
    @موسىرمضان-ب6ي 2 дні тому +2

    Assalam alaykum upo sahihi devidi umeogea ukweli kabisa mugu akupe umr mrefu 🤲

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 4 дні тому +1

    Yes we appreciate Zanzibar tunasimam na Mh Lisu

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 15 днів тому +5

    Uchaguzi huu ni wakukisambaratisha Chama, lakini kama Uchaguzi huu utapita salama bila vurugu basi Chadema itakuwa imejipakulia minyama Kisiasa Tanzania. Kwa mtazamo wangu namna na jinsi watia nia walivyo tumia kujitangaza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama ilikuwa na kasoro kubwa kwajinzi utaratiibu ulivyo tumika wa kujitangaza nia yakuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama taifa, kabla ya uteuzi watia nia wameanza kufanya kampeni tena za kuchafuana kabla ya huteuzi hili ni kosa na halikubariki kwa maana litasabanisha vurugu na mgawanyiko wa wanachama siku ya Uchaguzi ambao unaweza kusababisha Siasa za kikanda na ukabila ndani ya Chama.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 14 днів тому

      Let our leaders be God fearing, lead with integrity and embrace wisdom for the betterment of the country 🙏

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 14 днів тому

    Safi kabisa matojo huo ndo ukweli

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 13 днів тому

    Abduli,,Karimu Makopo,,vinyesi.. jengeni hoja..Acheni mambo ya Kitoto.. Lisu tunamchagua,,,Lakini mbowe bado ni babu yetu mzuri sana.. Tuhuma zake hazina mashiko wala Ushahidi..

  • @kingj9606
    @kingj9606 14 днів тому

    Lissu ni makamu wa chama, mwenye dhamana ya kuwajibisha hizo tuhuma unazozitoa dhidi ya chama chako, mbona hujachukua hatua yeyote? Rushwa na kila kitu unachosema kipo chini yako, mbona hujafanya? Halafu unamlaumu mbowe?. Hiyo ni kazi yako sio ya mbowe kulingana na katiba ya chama. Sasa unataka mbowe atoke, kwani mbowe kashindwa kazi yake? Mbona kamati kuu ya chama ambayo ndo yenye mamlaka ya kumuwajibisha mbowe, kwa miaka 21 haijapelekewa tuhuma au malalamiko? Mbona CAG hajasema chama kama taasisi inayoendeshwa na mbowe ina matatizo haya?. Wewe lissu haya unayatoa wapi? Mbona kila ukiitwa kwenye vikao vya chama utoe tuhuma hizi, unasema hakuna tuhuma na unaomba radhi?. Halafu ukitoka huku nje ndo unasema haya. Obviously unataka tu kumchafua tu mwenzio mbowe.

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 14 днів тому

    Naunguna na wewe Luther, wa Tanzania wanahitaji kiongozi atakae choches uthubutu

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 13 днів тому

    Mmepoteza muelekeo nyie atakae waelewa mjinga tu

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 13 днів тому

    Semeni yote,,,maandamano,,,mnamuonea Mbowe..