Waisilamu waingia ndani ya kanisa la lenjo maria kwa waka moto maswali yajibiwa Ali karanja na Ali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +4

    Inaa lillahi wa innaa ilayhi raajicuun. Pastor hajui kusujudi na kitu Yesu alifanya mwaka 33 duniani na pastor anasema ana aamini Yesu.

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 роки тому +4

    Masha Allah Ustaz wetu

  • @mashallaah7290
    @mashallaah7290 2 роки тому +6

    Mashekhe zetu Allaah awape Umbri mrefu na afya (( NYINYI NI VIOO VYA WAISLAMU))

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +5

    SubhanaAllah,,,hata biblia yao wenyewe hawaifahamu!

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому +2

    Masheikh wetu tunakuombeeni kwa Allah akupeni nguvu na afya na kipato chakuweza kufikisha dini ya haki na ujira wenu uko kwa Allah

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +3

    May Allah guide this pastor with the kibara.,it seems he is getting the truth.

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 2 роки тому +4

    Mashalhaa Mashalhaa Allha awazidishie

  • @daawaonestreetassociation.5702
    @daawaonestreetassociation.5702 2 роки тому +5

    Masha-Allah ALLAH awafanyihe wepesi katika KAZI zito kheri Masheikh wenzangu (shukurani sana Ust SALIM kutuliza Ali hawo wawili Leo Masha-Allah wametamba vizuri sana) kumbukeni pia kutangaza UA-cam's zetu mbili Daawa one street association.

    • @daawaonestreetassociation.5702
      @daawaonestreetassociation.5702 2 роки тому +1

      Aslm alykm Sheikh SALIM NGUGI tafadhali ambia Ust Ali KARANJA kepu na jinzi kwa Daawah hahileti nidhamu avahe mavazi ya heshima.

  • @abdulissaahmed7946
    @abdulissaahmed7946 2 роки тому +4

    Maa Shaa Allah

  • @bashirali2385
    @bashirali2385 2 роки тому +3

    MashaAllah kazi mzuri nxt inshaAllah Ruai

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому +1

      Inn shaa Allah ruai tunapanga muhadhara

    • @daawaonestreetassociation.5702
      @daawaonestreetassociation.5702 2 роки тому +2

      Masheikh wangu pia hapo panafaa mhathara Insha-Allah niliambiwa kitambo 2019 lakini kovidi ikaingia hapo Makongeni.

  • @mashallaah7290
    @mashallaah7290 2 роки тому +4

    Sheikh Ali Karanja

  • @husseinmtende6575
    @husseinmtende6575 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @ashaabubakar7699
    @ashaabubakar7699 2 роки тому +3

    Ma Sheikh wetu tafadhalini mukìenda kuspread daawah heri muvae kanzu na kafiya inaonyesha picha nzuri zaidi haya mavazi hayapelekani na munayoyafanya samahani kama nimekosea

  • @mashallaah7290
    @mashallaah7290 2 роки тому +4

    Masha’allaah

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому +1

    Mashaa llah huyo moja anaelewa vizuri na hata pastor wako poa kusiliza but huyu upara Aisha jua ukweli but yy ashindana tuu aipinga bibilia yote yy amekkazana yesu kafa na Hana dhambi na yesu mwna WA mungu htaki kujua

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 місяців тому +1

    Allah waogoze Waja wko waliopotea

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 2 роки тому +1

    Maashaallah baarakallah

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh 10 місяців тому +2

    Mashallah ❤

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому +2

    Tatizo lahawa wachristo hawaisomi biblia yao mwanzo hâta mwisho lakini wanamini wachungaji ambao wanalipwa namakafiri wazungu kuapoteza kama alivo yahidi shetwani mbele yamungu hâta wakisomewa biblia yao wanakataa vile vile

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +4

    This guys honestly don’t want to learn anything because they collect sadaka from their innocent parishioners. Can you imagine if they are not well versed what do you think of the people they preach to. I don’t know what they preach because there’s no difference between them and their parishioners

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +2

    Hawa musiwalaumu huwezi pata pastor atembea kama walimu wakiislamu kutembelea nakuelimisha kuhusu dini kwaajili wakisomea maandiko watajua ukweli kuhusu nabii ISSA(AS).

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 2 роки тому +2

    MashaAllah ustadh hapo ni wapi.?

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +3

    Ujumbe umefika. It’s all clear. Ma sheikhs have proofed everything from the Bible. It’s up to them to think and ponder with the truth.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 2 роки тому +3

    #VidumeKazini ....
    Hatulali mpaka Kieleweke 😝

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому +1

      Yani Allah atupe afya hawa tutawafuata mpaka manyumbani mpaka kieleweke

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +3

    Wallahi this people have no knowledge about the Bible. They need to be educated so they can learn.

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому +1

    Mwanzo huyu pastor sijui ni bishop hawana heshima na tarbia kabisa muangalie alivyo na dharau na kiburi Yani watu wanaongea nae wageni yy amejilaza hivyo duh mungu awaongoze

  • @salimbaasba6159
    @salimbaasba6159 2 роки тому +4

    Mchungali, kiongizi wa dini hajui basics Bible