PROFESSOR JAY : WATU WANA ROGA SANA /DIAMOND / MUZIKI WETU UNA DROP /BIFU ZINATUSHUSHA
Вставка
- Опубліковано 12 кві 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
My best bongo musician in Africa
The mp the mvp and the real definition of real mc.wew bado tunakutambua kama mbunge wa mikumi ni figisu za ccm ila jay ni AKILI KUBWA
Fikiria kupitia kichwa wala sio tumbo mad respect legends
True kabisa Professor i totally agree with you a good example ni Kiba na Diamond if they join hands and compete business wise they will go soo far.
Big up lil omy big up kaka mkubwa legend professor jay 👋🌄🌴🇹🇿.
Jay nime kuelewa ...kuna watu ..hawafiki na wala hawana mpango wa kufika lakini wame komaa hawataki na wewe ufike...dah noma sana aisee ...izo zinaitwa kambi za rohombaya...
Napenda Sana nyimbo zake
Nakubaliana na prof jay
Nakubali sana Prof. Hoja kubwa sana
Always bro you talk apoint
"Situmikii kafiri bora nife choka mbaya" hip hop ni mlezi bora kuliko 50% ya wazazi
From mbeya city,ravvynn our om boy diamond thanks to help our home boy
Siyo om boy, Ni Home boy
Sanaaa ni kazi sio chaka la maovuu alooo umeelewekaa.ignas babu legendary
Ndomaana tunachelewa sana
Ahsante mheshimiwa mbunge
Lengend umenyoooosha km hawajakuelewa bas wanaitaji msaada da nmecheka saana leo
Prof Jay mwamba
Umechana brother.
Me always on wasafi
Fullest appreciation to prof J
Kichwani vina kama Mchanga wa Bahari toka 90s bado rhymes zipo J wa rhymes mzee baba una Zali la mentali
Nina kukubari sana kaka msema ukweli
Huyuu jamaa kaongeya maneno mazur kabisa
Umeshakuwa mwanasias..... muziki unakuwa mzee
Profesa rudia hako ka msemo ka wakaa geto
Kenya nimefika wakwanza 😜😜
Wasafi for life
Jay peofesor visokolokwinyo , mitulinga
Umeongeya points saaana
This man ana hakili mno kabisa
Dah nakuheshimu sana "the heavyweight emcee'
LEGEND.🙌🏽
FACTS
Tunaitaji watu wanao nyoosha maneno kama huyu mzee
Nomaaa saana bazengaaa📌
*“Ukinizingua Tutazinguana”*
Unaweza kuusikiliza hapa
👇
ua-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/v-deo.html
AKHSANTE & BARIKIWA
🔥 🔥 🔥
Qing Jay Big up sana Boss
Kivyangu naona kiba hadi wa Leo hajaamini kama dymondi ako juu kumliko
Please upload the whole interview, nuff respect professor Jay
Dah kama umewachana watakua wamekushisikia na kuna kambi za mashoga fulan ivi wanazingua wanapenda wawe wao tu
Prof bn et visokorokwinyo
I had that amy gal left wcb
Pro j Ni taaluma au Ni jina tuuu??
The M vp mpe Prof J pepesi kubwa kreti zima
M nakuelewa sana J, toka awali uliposema Humtegemei kafiri ili chat yako ipande watu wazma tulikuelewa😆
J namkubali mno
Proff jize miaka mia ... Umewachana ukweli
KARIBU KUIFUATILIA SIMULIZI YA JAMAA ALIYEWAHI KUOOKOTA MILIONI 7 KATIKA NJIA ZA KUSHANGAZA👇👇
ua-cam.com/video/wWYL7MfewXA/v-deo.html
Wanapambana "KUWASHUSHA" wanaohisi ni hatari kwao. Haimo katika "taulo la gesti?"
Watanzania mtachukua tuzo ipi wakati kutwa mnasutana na kuharibiana?
Video ya Harmonize hii hapa ua-cam.com/video/_zw7yoIjrQA/v-deo.html
Fact 💯
Zinko binyukaliko msembe
once legend is always legend
real recognize real
Kuishi uswazi kwataka moyo
Na ile copy and paste inatumaliza, hata kama umefuata copyright rules, kwa nini usiwe mbunifu? I get it - njaa lakini forget ku-compete na mwenye hati miliki.
Waambie j ukosawa nkombe hazeeki maini
Hii bifu nataman iwe marekani ndan ya bongo
Wcb ndio wameua bongo flava.
Fundi Mzee Baba
Wambie hao watoto wadgo hawajui nn maana ya gme wanajlbu kushindna kwa kuimba tarabu
😂😂😂kwel kbs
Vannyboy
🤣🤣🤣🤣
jamani jamani wasafi sio ya kubishananao sema Nini diamondi platnumz kaa na vijana wako chini haya Mambo ya mabifu mabifu ndo maana mnashambuliwa sanaa diamondi tunakutegemea mziki wa bongo unakuitiji sanaa wee ni kiooo Cha tz
Profesa rudia hako ka msemo ka wakaa geto