uyo wifi sauda afai ata kwa kurumangiwa ni mnafiki sana yani mapenzi yote anayo muonyesha vivian lakini abel aoni chochote anamuwaza zawadi tuu mapenzi haya siyo poa kabisa ❤❤❤
Hongera sana Kwa story yenu tamu.woow nimeipenda sana,Yaani haiboeshi Kwa ukweli Kila hatua unatamani kutaka kujuwa itakuaje. Natamani sana maendelezo ya Kisa hiki hadi mwisho.ila kimenitia unyonge kama vile Mimi ndo zawadi,Yaani kama ukweli vile.
Basi hii similizi sikutaka kuisikiliza.ilipotoka juu kuna simulizi nyengine llitoka miezi 3 iliyopita ikiitwa binti zawadi na hiyo pia ni ya Mamu mohd kumbe iko tofauti kabisa...wallah nlikuwa napitwa
Rafiki mkia wa fisi,na fedha fedheha,wivu wa mali hata kwa kaka yake,yeye mbona kaolewa,nakuambia wa hivyo wananiboa kama nini😮😮Mungu siyo Athumani wala Abdalah 😂😂
Yaani amedhulumiwa na kila mtu anaemzunguka anaishi maisha asiyoyachagua mwenyewe kama mbuzi wa sadaka,namshangaa sana mamake mwenye tamaa kama fisi😓😓😓
Bora ata zawad angekubali kuolew na Abely kuliko kuolew na uyo sundi cjuw sued mna saiv anamtesa mweznke me natak uyo sund apate ukwimw asa mna hna adabu
❤❤Hello mkosawa? Basi njoon mambo ni, binti zawadi smuliz tam nimeipenda sana hii🔥🔥💯🎧🪑💪🏃
we kweli ni mupenda simulizi pote upo ongera
Mmh huyu dada mnafik kweli kweli
Asante sana kwa simulizi hii nzuri sana 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
uyo wifi sauda afai ata kwa kurumangiwa ni mnafiki sana yani mapenzi yote anayo muonyesha vivian lakini abel aoni chochote anamuwaza zawadi tuu mapenzi haya siyo poa kabisa ❤❤❤
Mapenzi hisia dear...sio senti ,urembo wala kujipendekeza
Yaani wewe dada bitrice una sauti una hatar hongera sana napenda kazi zako sana
Allah awape afya njema mtunzi na msimuliaji 🥰
MashaaAllah simulizi tamu
Hongera sana Kwa story yenu tamu.woow nimeipenda sana,Yaani haiboeshi Kwa ukweli Kila hatua unatamani kutaka kujuwa itakuaje. Natamani sana maendelezo ya Kisa hiki hadi mwisho.ila kimenitia unyonge kama vile Mimi ndo zawadi,Yaani kama ukweli vile.
Sema Mamuh huwa ana story nzur sana ❤❤apewe maua yake 🎉🎉
Basi hii similizi sikutaka kuisikiliza.ilipotoka juu kuna simulizi nyengine llitoka miezi 3 iliyopita ikiitwa binti zawadi na hiyo pia ni ya Mamu mohd kumbe iko tofauti kabisa...wallah nlikuwa napitwa
Wow sauti pendwa ❤❤❤❤
KUNAWATU NAVIWATU HAKIKA🎉🎉🎉❤❤
Rafiki mkia wa fisi,na fedha fedheha,wivu wa mali hata kwa kaka yake,yeye mbona kaolewa,nakuambia wa hivyo wananiboa kama nini😮😮Mungu siyo Athumani wala Abdalah 😂😂
Wewe dada malipo ni hapa hapa
Nimeipenda sana
Aaaah!! wewe dada kwa nini hujali hisia za kakako
Simulizi imeniumiza hii jman 😢😢😢
Watu walio wahi pokea🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Maskini Zawadi 😢😢😢😢
Yaani amedhulumiwa na kila mtu anaemzunguka anaishi maisha asiyoyachagua mwenyewe kama mbuzi wa sadaka,namshangaa sana mamake mwenye tamaa kama fisi😓😓😓
@@avelinabaluhya2804 imagine
Bora ata zawad angekubali kuolew na Abely kuliko kuolew na uyo sundi cjuw sued mna saiv anamtesa mweznke me natak uyo sund apate ukwimw asa mna hna adabu
Twaomba isichelewe tafadhal
Mijitu inakuwa na tamaa kama mafisi vilewenzenu wanapendana nyie mnafanyia hesabu hela za watu,loo😮😮
❤❤❤🎉🎉
Wao mwanangu
❤❤❤🔥🔥
❤❤❤❤🎉
Mmmhhh huy dada yake mbona mnafikii sana
❤❤❤❤❤❤
Hii ni kali sana
❤❤❤😂😂🎉🎉😢10
❤❤❤
😢😢🤔
❤❤❤🎉
❤❤
❤❤❤
❤❤❤