5. Suala la Utumwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Nani kaleta utumwa Zanzibar? Sheikh Ali Muhsin anaelezea: Warenu (Portuguese) ndio wa mwanzo kuleta watumwa Zanzibar. Waarabu na Washirazi na kabila zote wakimiliki watumwa. Ulipo ondoshwa utumwa Zanzibar, Waarabu wakimiliki 1/3 ya watumwa na Washirazi wakimiliki 2/3 ya watumwa. Zanzibar (masultani wa Kiislamu) wameondoa utumwa 1872 na Tanganyika Wangereza (Wakristo) wameondoa utumwa 1920.

КОМЕНТАРІ • 22

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 6 років тому +3

    Na bado mpaka leo kuna watu wanabisha ijapokuwa hawa wazee ndio waloyashuhudia mambo kwa macho yao ..

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 3 роки тому

    Uuuwiii! Yaani miaka 5 tu ukae, Mwarabu, uwe raia? Mitano tu? Na Somalia pia? Na India? Na Kenya? Mtu mweusi ataendaje kote huko miaka mitano mitano? Atapelekwa na nani? Kufanya nini? Au si ndiyo utumwa?

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 6 років тому +3

    ZNzibar sio nchi ya machotara wala waarabu wala sijui takataka gani, ZANZIBAR IS FOR BLACK PEOPLE .

    • @binyamina8850
      @binyamina8850 6 років тому

      Zanzibar for all.

    • @yusuphmasolwa9870
      @yusuphmasolwa9870 6 років тому

      Zanzibar is for black, waarabu rudini uharabuni!...Nakuunga mkono

    • @binyamina8850
      @binyamina8850 6 років тому +2

      yusuph masolwa kama kwa style hii basi waafrika wote waliopo marekani,ulaya nk warudishwe Afrika.
      Maneno yako ni ya chuki na hayana mamtiki.
      This is the 21st century where race is becoming nothing everyday. wewe bado unabaki na chuki zako.
      Kama tumejaaliwa pesa na roho unakuuma katafute zako.
      Sisi ni wana wa Abraham wana ambao Abraham mwenyewe alituombea dua, ndio maana tumebarikiwa.
      Waumini wote ni ndugu, basi fanyeni amani baina ya ndugu zenu wote.Quran 49.10.

    • @abdallahsultanally3984
      @abdallahsultanally3984 5 років тому

      Mbona kwenye serikali yenu wapo machotara na waarabu hapo vip

    • @babuali202
      @babuali202 5 років тому +1

      takataka tanganyika

  • @khalidsaid4297
    @khalidsaid4297 2 роки тому +1

    Nikweli historia ya kweli inafichwa na kufutwa kwasbbu ya uchafu na uovu uluotendeka

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 7 років тому +3

    Mzee uko sahihi kabisa,lkn hadi leo hii tunapotoshwa juu ya historia ya Zanzibar yetu. Naamini unachokisema.

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 роки тому +2

    Mulikuwa watu weusi muna twita magoz sema ukweli babu

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 2 роки тому

      Magozi watu wa pwani tunakusudia wasiokatwa magozi yao. Sijui kama unajua kuwa 1872 Sultan alipiga marufuku huo utumwa munaosema nyie na utumwa hapo Tanganyika ulikuwepo mpaka miaka ya vita vya kwanza vya dunia na kwa hakika kila jamii ilihusika na utumwa na zaidi hakukuwa na utumwa wa aina ya TransAtlantic au wa ulaya sio kweli kama inavyosema watu wa bara waliokuwa vibarua ktk mashamba ya waarabu ni watumwa ni uongo, sijui watoto wa kiafrika walinyimwa fursa ktk elimu na kama hayo ya uongo mengi yalizushwa enzi hizo mpaka vyie vizazi vya leo mumerithi kasumba hizo.

    • @husseinfarid2883
      @husseinfarid2883 2 роки тому

      @@mangofish9079 hii mijaama ni chuki tu dhidi ya waarabu lkn ukweli hawaujui

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 3 місяці тому

      ​@@husseinfarid2883wakiambiwa hawajatambui, wanasema wanatukanwa, askofu wa kianglikana 2024, ameomba radhi kwa ushenzi wao.

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 3 місяці тому

      Kwa unyama wao dhidi ya waafrika

  • @adamdango
    @adamdango 3 роки тому +1

    Mzee anaacha kwamba hakuna muarabu alikua mtumwa Zanzibar, ama muhindi.
    Uingereza ilizuia utumwa tokea 1800, kabla Sayed Said hajaja Zanzibar

  • @justinemashine4292
    @justinemashine4292 5 років тому +2

    ZANZIBAR is a party of tanganyika...

  • @justinemashine4292
    @justinemashine4292 5 років тому

    yaani waarabu wakisemwa inawauma sana...mnaanza kuingizia imani..daahh
    ...hao waarabu walituburuza sana na mpaka sasa dada zetu bado wanaburuzwa huko kwao

    • @husseinfarid2883
      @husseinfarid2883 2 роки тому

      hizo chuki zenu, waliowaburuza ni waingereza lkn hamuwataji kisa makafiri wenzenu wacha ujinga