DUNIANI hakuna HAKI HAO HAKI za BINADAM WAMEMUONA MAKONDA TU mbona hajaona HAKI ya WATANZANIA kunyan gamywa urithi wao wa asili huko wanaogopa? Watuachie Makonda wetu hakuna HAKI DUNIANI hapa ipo Kwa Mungu tu weennde mbele Mimi mtotowamgu kauawa ma POLISI wakurasini kilwarod BILA kipelekwa mahakamani ushahidi wote upon nahasira wala siogopi KUFA mtakua mmenisaidia kuondoka TU DUNIANI kijiua ndio siwezi fatilieni basi au Mimi mnyonge Sina jina wala HAKI ya kuishi
Ila kama kafa basi najuwa wengi nilazima tulie napia bwana.mutawavunja wengi kua naujasi zambi mtazikuta milele.MUNGU SAIDIA MAKONDA KIPENZI CHAWANYONGE AWE MZIMA
mnatuchanganya San wengine mnapost Samia ametangaza kifo Cha Paul nakonda wengine mnasema yupo Kwa nn asiongee yy kama yy Ili tjue kuwa kwel u hai mbon longolongo nyingi San
Atudishwa dar kama kweli achane na kazi aende chato akalime kama ni uongo uongo Haina shida Mungu yupo atamponya kama yupo mbele ya haki Mungu anajua
Mungu hatuacha tuangamie kwa siku moja.wapo watakao shuhudia makubwa ya jayo.
Watu tutakuwa na aman pale tutakaposikia sauti ya makonda mwenywe hivo tunashindw kuelewa
Tupisheni bwana uwongo tu twamtaka Makonda wetu ilitunyamaze kulia
Tunamtaka makonda wetu maneno mengi hayatusaidii sisi kama watanzania
Mnatumakizia mabando mtafute hbr zenye majibu sahihi???
Jamani twambie ukweli Makonda Yuko wapi?
sisi tunamtaka makonda hatutaki maneno tunamtaka yeye
Mbona mnampakazi Gambo maneno magumu kihivyo?yametoka wp
Tuelezeni ukweli acheni kutuzuga
DUNIANI hakuna HAKI HAO HAKI za BINADAM WAMEMUONA MAKONDA TU mbona hajaona HAKI ya WATANZANIA kunyan gamywa urithi wao wa asili huko wanaogopa? Watuachie Makonda wetu hakuna HAKI DUNIANI hapa ipo Kwa Mungu tu weennde mbele Mimi mtotowamgu kauawa ma POLISI wakurasini kilwarod BILA kipelekwa mahakamani ushahidi wote upon nahasira wala siogopi KUFA mtakua mmenisaidia kuondoka TU DUNIANI kijiua ndio siwezi fatilieni basi au Mimi mnyonge Sina jina wala HAKI ya kuishi
Ila kama kafa basi najuwa wengi nilazima tulie napia bwana.mutawavunja wengi kua naujasi zambi mtazikuta milele.MUNGU SAIDIA MAKONDA KIPENZI CHAWANYONGE AWE MZIMA
Nakwambia hatutaki maneno mengi twamtaka Makonda wetu
Kaka yangu mkubwa kuliko mawazili
Wabongo bhana wongo mwingiiii
Muongoooo
mnatuchanganya San wengine mnapost Samia ametangaza kifo Cha Paul nakonda wengine mnasema yupo Kwa nn asiongee yy kama yy Ili tjue kuwa kwel u hai mbon longolongo nyingi San
Bado yupo Hai Lenner yupo Likizo
Mbona kichwa chahabari tofauti
Kumamaezenunyie musimuongeleenyie. Aongeeyeye
Waandishi aibu imewakuta mlikuwa mnamtakia ubaya maksonda na Sasa ubaya ubwela ha ha ha ...
mtasema mengi sana sisi sio mayaya semeni ukweli
Haya Sasa mwamba hyo hapo mtasema nn Tena.
Lugha kisheria nitumie lugha
Tumechoka na hii habari kila wakati amekonda amekonda
😂😂😂😂
Halafu inchi hii waandishi wa habari feki wengi sana na wanaangaliwa tu
Bora
Msituchanganye. Mbona sms za makonda hatujaziona akijibu tumeona za huyo William