BANTE AFICHUA MAUAJI WAKATI WA UCHAGUZI YANATISHA | WENGI HAWAJAPIGA KURA | ATUMA UJUMBE KWA TUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 122

  • @EvaNgalaba
    @EvaNgalaba 3 дні тому +2

    Asante kwa ujumbe mzuri hatupigi kura tunapoteza mda wetu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 дні тому +7

    Hakuna haja ya kupiga kura Wacha ccm wakae wenyewe mana Dunia hatukai milele ole wao

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 3 дні тому +7

    Ni kweli watu wengi hawakujiandikisha,bali wasimamizi wa uchaguzi ndio waliongeza majina na kuongeza takwimu za watu waliojiandikisha ni takwimu hewa.

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 3 дні тому +3

    Asante sana Mzee wetu lakini sisi vijana tuipenda nchi yetu lakini hatuipendi serikali inayoongosa Tanzania serikali hii niya kibagusi na unyonyaji na ugandamisaji

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 3 дні тому +7

    Nikweli kabisa ccm wanaleta machafuko pamoja na hao polic

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 3 дні тому +10

    Mimi sikujiandikisha kwa sababu nilijua hakuna haki

  • @HuldahHerman
    @HuldahHerman 3 дні тому +3

    Uchaguzi huuu ulikua uchafuzi cjapata kuona maisha yangu yote

  • @LaurentMchunguz
    @LaurentMchunguz 3 дні тому +2

    Wewe mzee ni mkwel kweli watu hawakujiandisha Mungu akubariki

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 3 дні тому +2

    Mungu akubariki sana baba yangu una hekima ya mungu

  • @marymaleko5377
    @marymaleko5377 3 дні тому +5

    Ni kweli kabisa vijana hawapigi kura kabisa.

  • @salama1113
    @salama1113 3 дні тому +6

    Ataita masheikhe wakisilam mana ndio wanao mtetea ikiwezekana mwakani wachungaji wawambie waumini wao wakikisrito wote wasishiliki uchaguzi mm mwislam ila ninaakili timam naona sio sawa nasasaivi waumini wakislamu tusiende misikitini mana atuwezi kuswalishwa na wanao achakukemea ubaya zaidi ya kukumbatia

    • @Hkilave
      @Hkilave 3 дні тому

      Kweli kbs hata mimi nakuunga mkono na ni mwislam

    • @LukwaroEmanuel
      @LukwaroEmanuel 2 дні тому

      Sio waislam tu hata baadhi ya wakristo wamenyazia maovu yanayotendwa na ccm na serkali yake kazi yao ni kusifu na kuombea viongozi waovu

    • @salama1113
      @salama1113 2 дні тому

      @LukwaroEmanuel kwasasa masheikhe wamezidi wanaleta udini angalau hao wakirito baadh wanaongea lakini masheikhe wanaona kisadini wanatetea upuuzi angalia uchaguzi ulivyo kuwa wahovyo bado wanasema watu wanasema uzushi

    • @JohnsonMichael-c2x
      @JohnsonMichael-c2x 2 дні тому

      Anakili Sana wewe Mungu akulinde

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 дні тому +1

    Hongera sana Kaka yangu Bante kwa kusema ukweli. Ifike wakati tuzibe ufa sasa

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 3 дні тому +5

    Yaan wanakula pesa zetu tena wanatuuwa sasa mapolic wanatumika utaanzaje kushutumu upande mmoja kumpiga lisasi

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d 3 дні тому +3

    Naipenda Sana Inchi Yangu Ya Tanzania hila Nakichukia Sana Chama Cha Ccm kutoka Ndani Ya Moyo Wangu Naninaomba Mwenzi Mungu Hawaukumu Sana Hawo Ccm Majizi Makubwa Ya kura😂😂

  • @hassanrashid-l3u
    @hassanrashid-l3u 3 дні тому +3

    Mm ninachofahamu ni kuwa ccm wanawaogopa chadema,kama ingekuwa cyo kamata kamata ya makusudi kwa viongoz wa chadema ,ccm chaliiii

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 дні тому

    Imekuwa ni mazoea, hawa ni wala nyama za watu wameshalaaniwa hawawezi kuacha. Rejea kauli ya Mwl. Nyerere kuhusu ubaguzi

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 дні тому +4

    MZEE SIYO WEWE TU ILA TUKO WENGI TUAOUMIZWA NA HAYA MAMBO YA MAUAJI YANAYOENDELEA KUTOKEA..HOFU IMEONGEZEKA NA WATU WAMEPOTEZA IMANI NA VYOMBO VYA USALAMA..

    • @Hkilave
      @Hkilave 3 дні тому

      Je huyu muhusika wangekufa wa zenji angekufarahi

  • @KhamisJuma-yw8xw
    @KhamisJuma-yw8xw 2 дні тому

    Heee jaman mumgu ana wazee subhanallah

  • @matiredms917
    @matiredms917 3 дні тому +1

    Mzee Bante unasema kweli kabisa kabisa ila unayemsihi aingilie kati kuona haki inatendeka ndiye anayeagiza wasaidizi wake wavuruge uchaguzi. Mkwe wake alimuahidi CCM itashinda kwa kishindo. Mama Mkwe alikubali kauli ya mkwe na kusema kuwa mkwe ana kifua kipana hivyo atatimiza lengo la ushindi.

    • @Hkilave
      @Hkilave 3 дні тому

      It's true yeye ndiyo anaewatuma

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 3 дні тому

    very, very ,very sadness but nakushukuru sana kwa kuliona hilo mzee wangu hakika kila mtu atakutana na uso mungu ni mda tu?!

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 3 дні тому +2

    Sasa mimi nipige kura nipoteze muda wangu Bure wakati najuwa kabisa CCM hawakubali kushindwa na walishasema hawatowi nchi kwa vikaratasi vya kura sipigipo kura mpaka naingia kaburini CCM ni mende tu

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 2 дні тому

    Mzee Bante nakuheshimu sana,ila nakushangaa bado unaishabikia ccm, na hii huenda unalinda biashara zako hii sio sawa.

  • @Hkilave
    @Hkilave 3 дні тому

    Ni kweli kbs

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 3 дні тому +5

    Tunataka katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi uchaguzi mkuu ujao.Au Umoja wa Mataifa kusimamia uchaguzi mkuu ujao wa 2025.

  • @andrewmwabenga-qn8ew
    @andrewmwabenga-qn8ew 6 годин тому

    Mm mwenyewe sikupiga kura, na 7babu zangu binafsi ninazo.

  • @marymaleko5377
    @marymaleko5377 3 дні тому +4

    Hawapigi kura kwa sababu haki haipo.

  • @Seifkassimmkumba
    @Seifkassimmkumba 2 дні тому

    Kwamala ya kwanza nimejilizisha kuwa ccm ndo watakao ivuluga ihii nchi.tafuteni sehem nyengine yakwenda kutoa malalamiko

  • @harrisonndooto3927
    @harrisonndooto3927 3 дні тому

    Ni kweli watu hawajajiandisha kwa uwingi ni wachache sana , na huu ni baada ya watanzania wengi kujuwa kura zao hazitatendewa haki.kama wengi washakata tamaa!

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad День тому

    Mungu typo acha tulie wengine wanafurahia tunalia mungu apokee kilio chetu

  • @SamwelMwakibuja-e5u
    @SamwelMwakibuja-e5u 2 дні тому

    Tamisemi waongo

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t День тому

    Hata mm sijaenda wala familia yangu hatujaenda kabisaa na jilani zangu pia hawakupiga.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 3 дні тому +1

    Huyo mzee ni msema kweli.asilimia 65 hawakupiga kura.

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 3 дні тому +1

    Mm mwenyew xpigi mana tunapoteza muda tu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 16 годин тому

    Kweli mimi sina chama akiuwawa mtanzsnia bila kujali chama vhake naumia sana sana naumizwa na dhulma kuzulumu uhai inanikela kwa lweli

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 3 дні тому

    Ni kweli vijana wamekata tamaa kabisa na suala la uchaguzi wanaona mtu wanaemchagua atangazwi hivyo hawaoni sababu ya kupoteza muda.

  • @MarwaKipilipili
    @MarwaKipilipili 3 дні тому

    Tumechoka ngoja watawala wajipigie wenyewe hatuna mda wa kuuwawa tuliowanyonge wengine wanakula bata ziara kila siku!

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 День тому

    Wakurugenzi wanapambana wagombea wa ccm washinde ili wao wasitolewe kwenye nafasi zao hii nchi imeharibika sanaa

  • @omaryBakari-s1u
    @omaryBakari-s1u 3 дні тому

    Tena awoo ccm yoyote asikae mbele yngu wezzi wakubwa haooo wanakalia viti ambavyo ci vyakwao zulma tupuuu nitakoma kupiga kura kama nilivyokoma ziwa la mama

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 дні тому +3

    Bante una miaka 70 mbona nakuona kama wa miaka 46/50

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 2 дні тому

    Yani sisiemu inalazimisha kuvuja utulivu hu tulionao kwa mda mlefu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 дні тому

    Hiyo haki haipo,maana kila kipindi cha uchaguzi,kuna vipigo,wizi,mauwaji,Wala hakuna hatua kupinga na kuzuia vitendo hivo

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Ndio mana vijana wengi wamekua matapeli wezi majambazi kwasababu awana mfumo mzuri ndani ya nchi yao

  • @LawrenceGingo-u2h
    @LawrenceGingo-u2h 3 дні тому

    Jamani kaliakoo kaliakoo kwenin isingewaangukia wasiojulikana

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 2 дні тому

    Imefika wakati kuwa hakuna sababu ya kujiandikisha na kupiga kura. Kama ni kuihalalisha kuunda serekali waache wanachama wa ccm wajiandikishe na kupiga kura kama kweli Hilo zoezi litawezekana.

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 3 дні тому

    ipo siku mungu Atatenda

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 День тому

    Huyu ni mzalendo wa kweli.

  • @wilfredmuruve3323
    @wilfredmuruve3323 3 дні тому +1

    Msemakweli... HAKI HUINUA TAIFA

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 День тому

    LAKINI SASAHIVI NI TANZANIA NI KAMA NCHI ISIYO NA ..........

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 3 дні тому

    Hatuwez kutoka tulipo bila kubadili mfumo wausimamiz wakura karatas zakwao majengo yakwao wasimamiz wakwao magari yanayo peleka kura kupeleka kwenye majumuisho yakwao watangaza matokeo wakwao mnategemea wanaweza kutangaza upande mwingne umeshinda?? Hivi nivihoja aloo

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 3 дні тому +1

    Kumbe bante una akili kubwa sana

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini 3 дні тому

    Tupige kura za nn wakati walioko madarakani wamejihakikishia USHINDI kabla ya kupiga kura, na iwe iwavyo CCM lazima ishinde

  • @MarwaKipilipili
    @MarwaKipilipili 3 дні тому

    Hata mimi sijapiga kwasababu wagombea niliokuwa naona kama wananifaa walienguliwa.

  • @teresiagama3578
    @teresiagama3578 3 дні тому

    Naomba umoja wa mataifa (un) isimamie uchaguzi wa mwakani 2025

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 дні тому

    Halafu unaenda kuandikisha ndani mawakala wako nje . Mimi Huwa kuhalisia boksi la kura linakaa sehemu wazi je zinapotumbukiza wanaona mawakala halafu wagombea ndio ni wale wale wa zamani. Mimi wizi sjazoes.

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya 2 дні тому

    Siasa mbaya huleta maendeleo duni kwa wananchi na kuua ubunifu

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 2 дні тому

    Kifuatacho hapo ni mbovu zaidi.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 2 дні тому

    Mwlm. Nyerere, mwanzilishi wa CCM aliweka misingi ya haki iliyoweka nchi ktk amani!
    >Kinyume cha misingi ni kukaribisha amani kutoweka! CCM hii kwa kukumbatia ukiukwaji wa haki kinachoshuhudiwa ni kuipeleka nchi mahali pabaya!
    >Kufeli kwa zoezi la upigaji kura na vifo kutokana na zoezi la Uchaguzi ni kielelezo cha hatari kubwa inayolikabili taifa!

  • @SokeSongela
    @SokeSongela 3 дні тому

    NIKWELI WATU WENGI HAWAKU JIANDIKISHA

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini 3 дні тому

    Tupige kura za nini, ukishinda hadi Kitongoji unapigwa

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 3 дні тому

    Mdongo yamejiandikisha yenyewe

  • @yohanamwaja8444
    @yohanamwaja8444 3 дні тому

    Nikweli unachongea

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 3 дні тому

    Huyu anasema chadema kawaida Yao kufuruga anani ana akili kweli

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 дні тому

    Mimi nilienda kupiga niliopofika eneo la tukio Kuna mwenzangu amenitangulia akapiga kura ya kwanza akasema imeharibika aliekuwa anaandikisha akaichukua imeshakunjwa akaweka pembemi badala ya kuichana Sasa nilichofanya niligeuka sikupiga kur nyingi ni za wizi wa macho

  • @EzekiaMwamlima-h2z
    @EzekiaMwamlima-h2z 3 дні тому

    Apo kiukweri hali ya uchaguzu huuu sio njem asant mchambuzi haki haki imepotea

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 3 дні тому

    Usimuombe Acha wafanye wanavyofanya Mungu atawajibu.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 дні тому

    Yote hayo ni tamaa ya madaraka ya CCM wamejimilikisha nchi hii kiasi wanataka hata kumiliki haki za watanzania ya kuwachagulia viongozi wanaowataka wao siyo watu wanaowataka wananchi

  • @yeremiamwaikambo
    @yeremiamwaikambo 3 дні тому

    kwakeli tumechoka maana ukipiga kula akuna kinachobadilika

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 3 дні тому +1

    NYERERE NDIE ALIYEACHA HII SHIDA
    ALIJUA KATIBA NI MBAYA BADALA YA KUIREKEBISHA AKAKIRI NI MBAYA LAKINI AKAIACHA HIVYO HIVYO!!!
    WATUU WAMEKANDAMIZWA WANAONEWA WANAFANYIWA UBABE

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 дні тому

      Angalau tumia fikra kidogo, hivi unajua Hayati Nyerere aling'atuka mwaka gani kuachia Urais? Ni miaka 39 sasa. Je, wamepita marais wangapi ambao walikuwa na uwezo wa kutupatia katiba mpya? Je, mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 ulizimwa na Nyerere? Je, vurugu, hujuma, utekaji na mauaji yalirithiwa kutoka kwa Nyerere? Nasikitika kwamba unaongea usichokifahamu!

  • @MauBonde
    @MauBonde День тому

    Polisi wa bongo wanajua kulinda maandamano na wizi wa kura kuua watu (watu wasiojulikana),ikija polisi kulinda raia na mali zao utaambiwa ulipie ulinzi shirikishi yajayo yanafurahisha.

  • @MarwaKipilipili
    @MarwaKipilipili 3 дні тому

    Kuna kituo walienda 20 tu.

  • @driss4957
    @driss4957 2 дні тому

    Cccm hawataki hayo maneno sababu wamepoteza ushawishi, hawachaguliki,Wanapola tu kutumia vyombo vya dola.Mapolisi Usalama wa Taifa.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 День тому

    BORA HATA WEWE HILO UMELIONA KAKA YANGU.

  • @MajebeleMajebele
    @MajebeleMajebele 3 дні тому

    Wizi wa ccm unatufanya tuache kupiga kura police ndiyo wapiga kura na walimu wao na mabunduki yao

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 дні тому

    Mchengelwa ailtangazia Dunia wamesndikishwa watu milioni 34 wazili kuwa muongo ni aibu ya taifs

  • @ExaudLupenza-qu1xu
    @ExaudLupenza-qu1xu 3 дні тому

    Hata mimi nafurahii kutopiga kula kwahaya yaliyofanyika nilibaki shamba

  • @AyubuHemedi-x5r
    @AyubuHemedi-x5r 3 дні тому

    Mmm!!!!

  • @selinalawala2270
    @selinalawala2270 3 дні тому

    Pasipo haki watu hukata tamaa

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Uyo raisi yeye ndio anayataka hayo ata aite vikongwe vimshauri apige navyo picha akuna mabadiliko

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 дні тому

    Muheshimiwa Raisi anategemea machief nchi hii

  • @husseinalimjema2611
    @husseinalimjema2611 3 дні тому

    Huyo mzee kachanganyikiwa Kenya ukabila atoe maoni kabla ya jambo uchaguzi umefanikiwa anasema mambo yakichadema

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 3 дні тому +1

    Kura za tamiseni ni zile walizo chonga za wezi sio watu ni propaganda tu

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 3 дні тому

    Ccm ifute vyama vingi maana wanaaribu taifa

  • @kidukomoshi9657
    @kidukomoshi9657 3 дні тому

    Ujambazi ujambazi na ushetani

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 дні тому

    HATA MIE SIKUJIANDIKISHA WALA SIKUPIGA KURA TANZANIA HAKUNA DEMOKRASIA KWA HIYO NIKIPOTEZA MUDA TU KWANI WATAWALA WAMEPOKA MAMLA YA WANANCHI KUWEKA VIONGOZI MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 3 дні тому

    Kama ameshindwa kuwaelewa na kuwasikiliza viongozi wa dini atakuelewa wewe,? Huyo anawaelewa akina Mwiguru,makonda na mchengelwa.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Chaguzi kama izi tumezoea kuona nchini uganda

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 3 дні тому

    Acha uongo

  • @sadotkyabuguta3700
    @sadotkyabuguta3700 2 дні тому

    Mzee wenzio hawaogopi hayo wewe unayo yaogopa.

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 3 дні тому

    Hatuwezi kupiga kura kura zinaibiwa .zinaibiwa mimi nafamilia yangu sikupiga kura.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Wanatumia makada kuwa wasimamizi na mapolisi kufanya fujo

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 2 дні тому

    Vijana kusema vijana wamewaachia serikali ni sawa kwa sababu rais na mkwe wake na chama chao wameamua wapate 100%. Aibu kwa taifa. Wameachiwa 70% na wapinzani ushindi huo hautoshi? Kilosa wamemkimbiza mtendaji wa kijiji na kata baada ya kupindua matokeo. Mtendaji wa kijiji kabandika mshindi mpinzani mtendaji wa ksta kabandua akatakakuweka ccm. Hovyo kabisa

  • @simitaban4913
    @simitaban4913 День тому

    Mzee wetu ww ni mzee wa busara, hauna unafiki wala njaa za kujipendekeza, unaongea ni ukweli this time watu weng hawakujiandikisha wala kupiga kura

  • @ShabaniAthumani-q3r
    @ShabaniAthumani-q3r 3 дні тому

    Kuna siku nguo ya kijani haitavalika

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 дні тому

    Kikwete ulikua huru

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 3 дні тому

    Ccm tumeichoka

  • @ABBASIKANDULU-kl8zc
    @ABBASIKANDULU-kl8zc 3 дні тому

    Mbonaa kama baba yake DIAMOND...?🤔🤔🤔

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 3 дні тому

    Hayo maandiko siyo ya MUNGU. MUNGU na wazee wapi na wapi

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 3 дні тому

    Mimi sijapiga tume aipo

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 3 дні тому

    Huyo Mzee hana .pango wowote kama ni Democratic ipeleke Kenya Tanzania inataka Maendeleo na kama Maendeleo wabayaona kura ya nini wewe una maneno ya kuchochea tu kama maskofu wa sasa wameingia kwenye Siasa hawafanyitena Dini

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 3 дні тому

    Machozi yetu hayatapita bure