Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Napenda sana huu wimbo
hii nyimbo yupo jamaa mmoja wa kwetu kusini muda sana
Anaitwa Elly
Elly kisauti
Long time aisee hii ngoma 2005.
Who is listening this song right now..?? 2020 like and comments
💥💥💥
Naomba mzigo wa Bob junnior ft Suma lee & Enika jina la wimbo nimelisahu mkuu 🤣😂😀🙂😃🤙☝️
Nitaweka
Unaitwa UNGENENA
@@BongoZaKitambo55 haki mwenyewe naitafuta Sana iyo Ngoma daah G2 Producer ROY
Huu wimbo unanikumbusha shule,nilikuwa nasimea St.Thomas Aquinas
Upload MY BOO ORIGINAL yenye haina Jafferai please
Computer imepata tatizo ndio maana nina muda kidogo sijaupload nyimbo za zamani ila soon narud hewani nitaiweka, KARIBU SANA.
😂😂😂 yenye haina Jaffarai ni ilikuja baadae ambayo kaimba q chillah peke yake. Lakini ORIGINAL ni ya jaffarai kwenye Album ya niko Bize
Napenda sana huu wimbo
hii nyimbo yupo jamaa mmoja wa kwetu kusini muda sana
Anaitwa Elly
Elly kisauti
Long time aisee hii ngoma 2005.
Who is listening this song right now..?? 2020 like and comments
💥💥💥
Naomba mzigo wa Bob junnior ft Suma lee & Enika jina la wimbo nimelisahu mkuu 🤣😂😀🙂😃🤙☝️
Nitaweka
Unaitwa UNGENENA
@@BongoZaKitambo55 haki mwenyewe naitafuta Sana iyo Ngoma daah
G2 Producer ROY
Huu wimbo unanikumbusha shule,nilikuwa nasimea St.Thomas Aquinas
Upload MY BOO ORIGINAL yenye haina Jafferai please
Computer imepata tatizo ndio maana nina muda kidogo sijaupload nyimbo za zamani ila soon narud hewani nitaiweka, KARIBU SANA.
😂😂😂 yenye haina Jaffarai ni ilikuja baadae ambayo kaimba q chillah peke yake.
Lakini ORIGINAL ni ya jaffarai kwenye Album ya niko Bize