Msaambaa na Na wanawake wa muhimbili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @godfreykarata6249
    @godfreykarata6249 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂 nakubali mara milioni zote

  • @MsagatiMohammed
    @MsagatiMohammed 30 хвилин тому

    ❤❤

  • @Youngestreggaegirl
    @Youngestreggaegirl 4 місяці тому

    Tuzaiva mvyee

  • @AsmaHamiss
    @AsmaHamiss 5 місяців тому

    Aaaaaa kaka naaakukubali

  • @issabakari1916
    @issabakari1916 Рік тому

    Hahahaha osie iwe hahahaha

  • @MariyamSimba-ub7lz
    @MariyamSimba-ub7lz Місяць тому

    😂😂

  • @kazimuhanila6010
    @kazimuhanila6010 Рік тому

    Duu wachekesha

  • @MarySimoni-tz3fm
    @MarySimoni-tz3fm 9 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Рік тому

    Sasa huyu mbona analeta kejeli kwenye mambo serious ambayo yamefanywa na serikali ni km anabeza anaona km serikali imewaleta wasichana kwa ajili ya kuwafanyia uhuni. Hebu wachukuliwe hatua wanawadhalilisha wasichana ambao wanajiheshimu na wamekuja kwa ajili ya kazi sio kutafuta wanaume😢

    • @fadhilomarydai9237
      @fadhilomarydai9237  Рік тому

      Hebu kairipoti hii video huko bassata kama watanikamata😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Рік тому

      @@fadhilomarydai9237 wenyewe wataiona ina haja gani mimi kurepoti?! Manake unaonekana huna kazi nenda kaisaidie polisi kidogo. Wewe unafikiri watu wote ni wahuni km ulivyo wewe😏

    • @Khalid-yr8zx
      @Khalid-yr8zx Рік тому

      Akili huna kaongea kitu gani kibaya? kaka Fanya kazi hizi changamoto zamalaria kama hawa potezea asikukatishe tamaa kua mbunifu angali watu wanataka nini boresha kazi faida utakuja kupata badae

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Рік тому

      @@Khalid-yr8zx wewe ndo akili huna unafikiri watu wore ni wahuni km watanzania wengi tunaowaona wakienda nxhi za nje kujiuza unafikir na wao wamekuja kufuata wanaume?! Kwa taarifa yako sudan kuna wanaume wengi tu wazuri hawa wamekuja kufanya kazi wacheni uhuni wenu!

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Рік тому

      @@Khalid-yr8zx kama mbunifu kamfatilie Ester Oscar🤣🤣