Daah, Harmonize wewe ni fundi Yani huu wimbo natamani ningelikuwa na mpenzi nimuimbie Ili adeke Kila wakati 🥲❤️❣️🎈💞💖🥰💕☺️🌹💗 UPENDO WAKE NITAUBEBA MILELE
No way, you guys can not take over Nigeria regarding to good music because Tanzanian talents don't sing with English except Diamond platnumz who try a bit
Yaani harmonize is soo talented. He can do a sad song, a club banger, a diss song, a love song, and still kill it. Damn! Nitaubeba would make anyone fall in love.
Siku hizi vipi sikuskii tena sikuskii ukilia sikuskii ukisema my favourite line so far Konde ur on the next level good lyrics ,nice beats ,you deserve a grammy Konde gang for everybody leave a comment ka we ni fan wa Harmonize
Ladies and gentlemen it's your boy Mr. Music aka Harmonize affectionately known as Konde Boy also; is bringing you this lovely music for your listening entertainment as usual. And you know it, he never disappoints! 💘 👍
Sasa Ni Hiviii...Msipompa Tuzo Konde wananchi wenye kupenda na kuelewa maana Halisi ya Mziki Mzuri..Tutamuandalia Tuzo ya Heshima na kumpa...Waandaji wa Matuzo mnachuki na kuongozwa na hisia za watu wengine... Harmonize ni Best Singer kwa Zaidi ya Miaka 3 sasa..Ila endeleeni kupeana hizo Tuzo zenu za mchongo... Wananchi wapenda burudani tunajua Konde is Number One Singer In East and Western Africa.🌎# NITA-UBEBA..🧷🔥🎙️🎶🎵
Broo #Harmonize Muonee chibu huruma, me shabiki yako kindaki ndaki.....ila angalau mwaka huu toa ngoma moja mbovumbovu angalau apate cha kuongea juu yako, unamkomesha aki😥, Hadi mwenyewe namuonea huruma, xx hvi kabako kufanya dramatic movies na Zuchu.....mm kama shabiki yako nimeomba utoa ngoma moja tu ambayo haitatrend ili apate cha kuongea na machawa zake kule.....ila kwa ulivyo balaaa #hamonize...mm nahic hata ukiweka biti ukikohoa tu bac, utatrend tu maana wew ni moto wa kuote mbali...tupo pamoja na wewe #Harmonize,....tupo na wewe bega kwa bega.......wapi like za #Harmonize wadau, like comment kama unamkubali mm #Jeshi
Konde boy jeshiii harmonizer for ever bad never give my best for music ✈️ new song 🔥🔥🔥💯 ila she is going to Tanzania 🌹🇹🇿 me know if you have happy 🎻🎻🎶🎶🎶
This is such a Prophetic Song, depicting the Reckless Love n Grace of God upon our lives in the daily challenges we go through...Baraka tele Konde C.e.o 🙏🤍💕🕊️🌅
Naandika Maoni yangu hapa Juu ya Huyu Mjuvi wa Ngoma za Africa nikiwa na akili zangu timamu na Wala sii kwa nguvu ya Ndumu ama mvinyo ulochachuka. Nasema Harmo you are a Living Maestro. What a master piece!
This song has literally given me goosebumps, I can't stop listening to it, Harmonize you are so talented, may you continue blessing us with good music, to my future hubby, Tutaubeba..❤️💯..
THE BEST SONG FOR 2022 HONESTLY HARMONUZE YOU KILL IT# HANIPI PENZI LA MAGENDO KAMA ZUCHU NA DIAMOND WANAPEYANA KWA MAGENFO WOOOW! HAMO FOR LIFE 💛🧡❤️🙏🙏🙏🙏
Nitaubeba Lyrics; Imagine uko jangwani umepotea Mchana juani unatembea Utokapo ni mbali uendapo ni mbali Mara ngamia mbebaji akatokea Na kukushusha mzigo uliokuelemea Upate afadhali pole na safari And thats why today to me yote tisa ila kumi Umeonesha maana ya upendo Si kwa maneno bali kwa vitendo Umeridhika na nilichonacho Vya watu hutoleagi macho Siku nikiwa sina twalala Oooh baby twalala Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde Na akusimamie we ndo pacha wangu mie Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Niko busy na boo jamani nimeshasema Niko busy na baby na msalaba wake Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha) Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa) La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume Imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka Mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamwangalia Machozi yanakuanguka unatamani funguka And that's why today to me yote tisa ila kumi unanifurahisha kwenye tendo Au unipe penzi la magendo Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde Na akusimamie we ndo pacha wangu mie Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Niko busy na boo jamani nimeshasema Niko busy na baby na msalaba wake Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha) Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa) La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume Iwe kwenye shida na raha ama kwenye shibe na njaa La kwako ndo langu my darling
Hii Kali konde nakubali nikiwa 254 Kenya keep on vibing tunakupenda sana Kenya kuliko huyo Jama anajiita Simba Mara Mondi, Simple boy huna kiki unafanya kazi zako usiwasikilize usiwaogope maana huku Kenya tushawatema zidi kutupa vitu vikali kama hivyo pendwa na watu usijenge chuki maana una Hela Mondi Maringo mbele Akweeeeeeeeeeereeeeeeeeeee Ukooooooooooo
The beats the lyrics..the music flow... konde boy is a genius musician
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
Indeed
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
NJIA HII ITAKUSAIDIA UPATE PESA ZA HARAKA SANA BONYEZA LINK 👇ua-cam.com/video/WB68Aq8QoiU/v-deo.html
♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎧
Kipenzi Cha bosi Kawa kipenzi Cha Dunia .....East Africa we are lucky to have Konde boy....a good time being alive
Nipeni likes za KIKOHOZI cha Harmo jamani, yaani He's talented🔥🔥🔥😁😁😁
Nitaubeba..let us show love to Harmoo ....naomba likes za Wakenya hapa jameni
🇰🇪🇶🇦✨🔥🔥🔥💘
There you go
Nice one
But
Would you like to le me know what's he was talking about? Or even English lyrics.thanks
*It's about time we appreciate God for keeping us in this century to experience good music and good vibes*
Daah, Harmonize wewe ni fundi Yani huu wimbo natamani ningelikuwa na mpenzi nimuimbie Ili adeke Kila wakati 🥲❤️❣️🎈💞💖🥰💕☺️🌹💗 UPENDO WAKE NITAUBEBA MILELE
This guy turned me from being his hater to his No1 fan.....boy can write music mahn ...much love 🇰🇪
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
Wallai ..iwe kwenye shida na raha🔥🔥💘🥺
The best comment for me😍
@@pilimwanza8117 hits soooo deep 💘🤗
Great Comment💣
Tanzanian talents will take over African music so soon. Much respect to Jeshiii
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
No way, you guys can not take over Nigeria regarding to good music because Tanzanian talents don't sing with English except Diamond platnumz who try a bit
It is true
Gguoo ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
NJIA HII ITAKUSAIDIA UPATE PESA ZA HARAKA SANA BONYEZA LINK 👇ua-cam.com/video/WB68Aq8QoiU/v-deo.html
Kazi safi, most talented artist Afrika mashariki na kati.
Big up .
harmonize ni jitu likubwa hivi dunia wanakuwa wachache sana na wakitoweka kuwapata ni baada ya 100yrs makonde ni ww king of 🎼🎵🎶
Harmonize never disappoint Kenyan's let's show our konde boy love
Ygj ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
ua-cam.com/video/xl_8ehh8M0o/v-deo.html
Yaani harmonize is soo talented. He can do a sad song, a club banger, a diss song, a love song, and still kill it. Damn! Nitaubeba would make anyone fall in love.
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
Skupingi ukwer unajionyesha but me tm wcb
Nikweli anajua Ila izi nyimbo tuashasikiaga uko zamani ivyo yye anafanya kama kutukumbusha tu .na kiukweli azina soko nyimbo kama izi
Tgyu ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
Siku hizi vipi sikuskii tena sikuskii ukilia sikuskii ukisema my favourite line so far Konde ur on the next level good lyrics ,nice beats ,you deserve a grammy Konde gang for everybody leave a comment ka we ni fan wa Harmonize
Respect
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
💯💯💯💯💯💯💯😭
Line ya mr blue hiyo
byser
The Beats The Lyrics... The Music Flow... Konde Boy Is A Genius Musician
unique and creative .........this is what we face guys.....HARMONIZE brought it to light ....MKUU AMESEMA ...DOOP MELODY HIT 💯💯❤
Ladies and gentlemen it's your boy Mr. Music aka Harmonize affectionately known as Konde Boy also; is bringing you this lovely music for your listening entertainment as usual. And you know it, he never disappoints! 💘 👍
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
ua-cam.com/video/uGZZflPMRWA/v-deo.html
#Teacher
Hormonize🔥🔥🔥
Hormonize🔥🔥🔥
Wanao sema konde boy ni mmoja tuu King wa bongo gonga #LIKE 🙏
The combination between b boy and harmonize is great, that boy produces best beats, Kondegang for everybody 🇰🇪
ua-cam.com/video/xl_8ehh8M0o/v-deo.html
I have noticed that as well. They work together nicely 👌
Sasa Ni Hiviii...Msipompa Tuzo Konde wananchi wenye kupenda na kuelewa maana Halisi ya Mziki Mzuri..Tutamuandalia Tuzo ya Heshima na kumpa...Waandaji wa Matuzo mnachuki na kuongozwa na hisia za watu wengine... Harmonize ni Best Singer kwa Zaidi ya Miaka 3 sasa..Ila endeleeni kupeana hizo Tuzo zenu za mchongo... Wananchi wapenda burudani tunajua Konde is Number One Singer In East and Western Africa.🌎# NITA-UBEBA..🧷🔥🎙️🎶🎵
Very true 💯💯🔥✔️
Bonge la Ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥 salute from 254🇰🇪🇰🇪
Hakuna mwanamziki Est Africa anaejuwa kuandika kama #Harmonize. Ilo liko wazi kbx
My favorite #artist #Bäkhrësä
Definition of a good music 🎶 am listening it from here in Jamaica 🇯🇲 🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
Tiy ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
@Jennky Beatz ok
🌹👍🏼
KONDE MUSIC WORLDWIDE 🔥🔥🔥🔥🔥 estamos aguardando o grande SOM, JESHIIIIIIIIIIIIIII KAMA JESHIIIIIIIIIIIIIII, from Mozambique!!
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
ua-cam.com/video/q8vAF6-6rwQ/v-deo.html jamani njoeni msikilize ngoma Kali nzuri ipo Kama hio ya kaka Harmonize nimeipenda Sana link 👆👆👆
Boom💥
Boom
Boom
Na você é professor da música a nível da Africa não há dúvida quanto isso. Parabéns harmonize pelo lindo trabalho 🇲🇿 adoro 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Assim nasi para nosa família harmonize good you konde boy
Harmonize is a good songwriter,,his lyrics make us fall in love again,,love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
My brother Harmonize, for real I love all your song ..it inspires alot of people
Yani harmo umejua kama niko kwenye wakati mugumu ndo unatowa nyimbo ya kunifariji ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🙏🙏
All Kenyans🇰🇪and Tanzanians 🇹🇿show your love for kondeboy and the rest of konde gang here🐘❤️
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
Konde Geng for Lyfe
Ttú ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
you forgot uganda bro
Hii nyimbo inapendeza sana kwa jamii shukran Harmonize nyimbo ni mzuri sana 😘M/mungu akulinde kwa kila jambo🙏Aamiin
Who is reading comments while watching...this guy is blessed,good song,good singing,mastering perfect
NO.1 FAN✌👍
Broo #Harmonize Muonee chibu huruma, me shabiki yako kindaki ndaki.....ila angalau mwaka huu toa ngoma moja mbovumbovu angalau apate cha kuongea juu yako, unamkomesha aki😥, Hadi mwenyewe namuonea huruma, xx hvi kabako kufanya dramatic movies na Zuchu.....mm kama shabiki yako nimeomba utoa ngoma moja tu ambayo haitatrend ili apate cha kuongea na machawa zake kule.....ila kwa ulivyo balaaa #hamonize...mm nahic hata ukiweka biti ukikohoa tu bac, utatrend tu maana wew ni moto wa kuote mbali...tupo pamoja na wewe #Harmonize,....tupo na wewe bega kwa bega.......wapi like za #Harmonize wadau, like comment kama unamkubali mm #Jeshi
jeshiiii🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BEST TANZANIAN ARTIST, NUMBER ONE NAN ANAKUBALIANA NA MMI WEKA LIKE.
Unaweza ukawa na mpango wa kumuacha mkeo mliohusle tangu chini kisa mchepuko, ila ukisikia hii masterpiece utajua umekosea kwenye maamuzi. Dadeeki.
mbona sikusikiyi tena sikusikiyi ukisema niko bise na boo nisha sema 🔥🙌
Nzuriiiiiiii💓💓 kushushwa mzigo ulioelemewa 💓💓💓
...."And that's what you did to me "💘🥰🤗I love it when he goes low with his voice 🥰🥰🥰🔥✔️
HATE HIM OR LOVE HIM ,HE IS THE BEST RIGHT NOW IN TANZANIA 🔥🔥🔥
I just mziki ya huyu jamaa🔥💥 the best Tz artist
Unaimba harmonize jaman 🙌🙌🙌
Kweli wee ni jeshi mwanzo sikukuelewaga ila now nakukubali sana mwamba 🔥✊🏿
Hermonize ni mmoja tu .!!nasikiliza music mzuri ,konde ganga wild wide
HARMONIZE IS THE BEST, HE IS SO EMOTIONAL WITH SWEET MELODY,........❤️💙🇹🇿 #KondeGang4everybody
ua-cam.com/video/WtiZ0yvAdow/v-deo.html
Tguu ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
NJIA HII ITAKUSAIDIA UPATE PESA ZA HARAKA SANA BONYEZA LINK 👇ua-cam.com/video/WB68Aq8QoiU/v-deo.html
Konde boy jeshiii harmonizer for ever bad never give my best for music ✈️ new song 🔥🔥🔥💯 ila she is going to Tanzania 🌹🇹🇿 me know if you have happy 🎻🎻🎶🎶🎶
Kali sana Kenya Iko 🔥🔥🔥
Utabaki kuwa jeshi, tembo, konde boy, bakharesa, mbunge na harmonize akuna wakukuzidi zaidi ya mungu na ndio amekupa rehema zake inshaallah
Goma langu la week 🔥🔥🔥🎶🎶
Harmonize fans Africa let push him up.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏹🏹
ua-cam.com/video/WtiZ0yvAdow/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
Greatest singerwritter in the World i've Seen😥 full emotions in song😭😭. All Burundians are here show Him a Big Love in giving likes please 🙏🙏
Namchagua Harmonize...si eti anamzidi Diamond hela hapana...lakini kijana nikaa mungu mdogo....mistari anaandika...tena sana..tushakubalii
This is such a Prophetic Song, depicting the Reckless Love n Grace of God upon our lives in the daily challenges we go through...Baraka tele Konde C.e.o 🙏🤍💕🕊️🌅
Wow very nice jeshiiiii umetisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Konde you are the best. Hii umeweza sana
This jam is more than good.Harmo yoh are the best African artists of the season if you agree just like
KEEP UP KONDE............I ALWAYS LIKE EVERYTHING U DO........IM FROM 254 KAZI NZURI TEMBO
I can't stop playing this song ‼️🤯😭😭😭
Together ❤️🔥
How can you stop yourself from repeating this song 👌🇰🇪🇰🇪
Never getting enough 🔥
Harmonize is genius , his songs are good pure music 🎶
Balaa ni zito 🔥🔥 bonyeza picha uone matukio yote ya harmonize
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
Nice song uja wahi niangusha harmonize uko vizuri bro
Dah...Hila kondee umejua na umeweza kucheza na hisia zetu...xo lovely song..
Hta ukaongea nini siezi kukelewa huyu hamo ni moto wakuotea mbali biggg up brudaaaa ❤️❤️❤️🤜💪💯🔥🔥🙏
This boy is another level, he so talented and can write music so Good 🔥🔥🔥❤️❤️❤️
I'm from Zimbabwe 🇿🇼 I don't understand the swahili language,,but KondeBoy is a legend
Hahah shamwari rasta akaipa dai wainzwa swahili wainakirwa
True definition of good music hii ni nouma Jeshi 🔥🔥🇲🇼🇹🇿🇿🇦
Shahiri bala mwanaume hatari😮
Wimbo mtamu 👅 huu jamani daaaaaaaaah 😍😍😍😍😍
This song deserves a Grammy award 👏
HELL NAAAAH😂😂
I agree with you 🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
NJIA HII ITAKUSAIDIA UPATE PESA ZA HARAKA SANA BONYEZA LINK 👇ua-cam.com/video/WB68Aq8QoiU/v-deo.html
Essa música é muito incrível 🇲🇿 muita força harmonize 🇹🇿 você é meu grande fã
Umeua mzee
Goosebumps 🧚
It's a banger..love from 🇰🇪🇰🇪 254
Check this Out bro! Show some love
ua-cam.com/video/xl_8ehh8M0o/v-deo.html
Nakukubali Mzee wakulilia mapenzi from Germany
Naandika Maoni yangu hapa Juu ya Huyu Mjuvi wa Ngoma za Africa nikiwa na akili zangu timamu na Wala sii kwa nguvu ya Ndumu ama mvinyo ulochachuka. Nasema Harmo you are a Living Maestro. What a master piece!
The only bad thing about this song is that it ends.
Mike Melo loves this🔥🔥
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
ua-cam.com/video/PquX5IzPgwI/v-deo.html
This is a definition of a good writer
His songs moves...this dude knows what art is
🙏🙏mungu akulinde na roho za usida big up sana braz unawez 🇧🇮🇧🇮👊
" na msalaba wake..." Wooow that part
Oya wazee huyu msenge anafoka mamamaeeeeh jeshi ni noumer aiseeeh unajua Hadi unaboa Yan🔥🔥🔥
My artist usually converts real life into music, everything we do in our life are expressed musically 👊👊 top G
Kenya 🇰🇪 in the house kondegang for everybody 🤝🔥🔥
ua-cam.com/video/WtiZ0yvAdow/v-deo.html
This man is just unstoppable 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
🔥🔥🔥
This song has literally given me goosebumps, I can't stop listening to it, Harmonize you are so talented, may you continue blessing us with good music, to my future hubby, Tutaubeba..❤️💯..
THE BEST SONG FOR 2022 HONESTLY HARMONUZE YOU KILL IT# HANIPI PENZI LA MAGENDO KAMA ZUCHU NA DIAMOND WANAPEYANA KWA MAGENFO WOOOW! HAMO FOR LIFE 💛🧡❤️🙏🙏🙏🙏
That why i proud to be Makonde.🇲🇿🇲🇿 Konde boy melhor de sempre!
OMG this song has given me so much emotions. I am literally weeping . Great Job Harmonize 👏 I love your work. Keep it up
💘🤗the lyrics hitting Soo deep 💘
Let's show love to mzee wa never give up 💪💪 you have my full support konde boy.....am Soo proud of you. Keep on going. # never give up 💪 🇰🇪🇰🇪
Kweli we ni jeshi na unawakilisha bongo flavour vilivyo.. Mungu akujalie katka harakati zako 🐘🐘🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Am learning one thing about harmonize he is great of all time ......all the way from 🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱
Harmonaize mach love from burundi%%ngoma tamu.
Msalaba wake part for me...that kasound hit different 🔥🔥🎼
Nitaubeba Lyrics;
Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
And thats why today to me yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina twalala
Oooh baby twalala
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume
Imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia
Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamwangalia
Machozi yanakuanguka unatamani funguka
And that's why today to me yote tisa ila kumi unanifurahisha kwenye tendo
Au unipe penzi la magendo
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume
Iwe kwenye shida na raha ama kwenye shibe na njaa
La kwako ndo langu my darling
Wow,,, thank you fr this
Cam u please translate to English
issa vibe all day!!
Konde boy 🙌
with this much love ...i surely believe humanity can heal again....lots of love.
Hii Kali konde nakubali nikiwa 254 Kenya keep on vibing tunakupenda sana Kenya kuliko huyo Jama anajiita Simba Mara Mondi, Simple boy huna kiki unafanya kazi zako usiwasikilize usiwaogope maana huku Kenya tushawatema zidi kutupa vitu vikali kama hivyo pendwa na watu usijenge chuki maana una Hela Mondi Maringo mbele Akweeeeeeeeeeereeeeeeeeeee Ukooooooooooo
What I like about Harmo is that he doesn't disappoint me when it comes to new hits...
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
I always love your beautiful 🥰 music 💓💓 sooo soothing.....go go harmonize ..we love you in Kenya 😍
This guy ndo maana diamond aliwa anampenda he knows how to right music .dams.great jam
This song 😫🥺❤️ Harmonize naanzaje kukuchukia wewe 🥺 Jamani tembo anaimba nyie😫
💘🥺🇶🇦🇰🇪
So calm and gives goosebumps frfr..💙💯
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
My favorite artist 👊
Yu ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
NJIA HII ITAKUSAIDIA UPATE PESA ZA HARAKA SANA BONYEZA LINK 👇ua-cam.com/video/WB68Aq8QoiU/v-deo.html
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
Dope tune
Dope tune
kenyans 🇰🇪 let's show love ❤️ our man never disappoint
ua-cam.com/video/uAYvBhEhhug/v-deo.html
ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html
Woow great melody,Konde gang for everybody!!!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Give us a video pls
Daah! Wako Mzee Unimala Yan Kila luhimu Uidanao Nanga Paunyata *Nitaubeba* The Most Emotionality Song
Courage mon grand frère très cool musique 🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘🐘💯💯💯 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 toujours au top kond musique