Baaraka LLAHU fiiqu. Yaa Rabbi rejesha umoja wetu ulio haribiwa nausiwape nguvu wenye nia mbaya nadini hii na uwazibue wale wanaotumiliwa bila wenyewe kujua kuichafua dini hii
Ndugu mungu akuongodhe kwenye ndia ya mtume salalahu alayhi wasalaam ((mtume salalahu alayhi wasalaam akiondoka ametuatia kitabu nasunnah)) majabu nikuwa hamuko kwenye kitabu wala sunnah bali mwafuata hwa dhanafsi yenu ((mungu atuoneshe ndia ya yahaki tuiyandame nabatili tuiyepuke)) ammin ammin
Sasa ww una muita cheikh ni jahili kwa misingi ipi ya kiilimu?wy iyo kitabu na suna aliyo ikufunza ni nani?ni mtume mwenyewe ama si wanazuoni waliyo kufunza?
Haya maeno ya sheikh ni maneno ya sawa Na mtu ukimuona anaanza kutukana ujue anachuki tu na hana hoja . Kwasabb mtu asiekua na hoja mara nyingi utamuona anatukana na kutoa maneno ya kukebehi na maneno mabovu . Ustadh uko vizur saana . Na sidhan kama kuna mtu ktk mawahabi anaweza kuyajibu maneno haya .
Uwahabi Ndio Dhehebu Alokuwa Nalo Mtume.Mwenye kuukataa uwahabi Yuwaukubali Ushirikina wa Kuabudu makaburi ya Mawalii na Waja wema,Unajimu,Al badiri na Uzushi
أبو فیصل Kwanza uwe na adabu ktk maneno yako . Mtume hajafuata uahabi wala maswahaba wala waliokuja baada yao . Wala mtume hajalingania ktk daawa ya kiwahabi . Maneno yako yanafahamika kuwa Kila asiofuata uwahabi ni mshirikina na mtume wala maswahaba hawajafuata wala kulingania (UWAHABI) Unadhan utakuwa umewapa hukmu gan mtume na maswahaba ??
@@saidihaji3739 kwan uwahab itikadi yao ipi inayotofautiana na itikad ya mtume Na maswahaba.Au kitendo gan ulichoona kwa mawahabi? Na kuhusu shirki hilo lipo waz kuwa Nyie masufi mnaabudu makaburi ya masharifu,mawalii,masheikh yote haya mnaenda kuyatembelea Kwa ajili ya kupata baraka na kutabaruku na kuchinja Kwa ajili yake na Ziara zao zinakaririka pia mmeyajengea na wengne mmewazika mahala mnaposali. Haya yooote tukiwakataz mnatuita mawahabi.
@@أبوفيصل-د3ش wacha ujinga wewe nyinyi muna shirki kubwa kwenye kundi leno munashirik kwenye itikad muna mpamungu maumbile munaabudia sanamu muliloliweka juu ya arshi
KWELI AHLU SUNNAT WALJAMAA WANAJITAMBUWA,MNAOWAITA WAHAAB,SISI TUNAFUATA QUR"AN NA HADITH SAHIHI ZA رسول الله صلى الله عليه وسلم،NA HIYO QUR"AN NA HADITH TUNAFUATA UFAHAMU WA MASWAHABA,NA WEMA WALIOWAFUATIA MASWAHABA (TAABIIN) NYIE MAKHURAFI HAMJITAMBUI,HASAA MNAJIITA MASHARIF WA LAMU,AQIDA YENU YA MASHIA WA IRANI! MPO MBALI NA AQIDA YA AHLUSUNNAH NA MPO KARIBU MNO NA AQIDA YA MAKAFIRI WA KISHIA!!HATA MWALETEWA PESA KUWA NI KHUMSI!KUMBE NI CHAMBO CHA KUWAVUTA KWENYE USHIA!! HATA HABARI YA NAJID IMEREMBWA NA MASHIA ZAIDI!! ALLAH AWAONGEZE KWENYE HAKKI!!
MTOTO MDOGO ANAROHO MBAYA TENA KATIKA DINNI KWANI NANI ALOWEKA MAFHIHEBU YA UWAHABI NYINYI KWA CHUKI ZENU NDIO MMENASIBISHA WATU KATIKA MADHIHEB HAO NA ASILI HAMNA MADHIHEB HAO NA HALI YAKUWA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDULWAHAB ANAFATA MADHIHEBU YA SALAF NAWAFUASI WAKE WAKO HIVO
Munaotuita mwawahabi wafuata guran na sunnah Kwa ufahamu WA wema waliotangulia sio kuzua mambo kisha ukiuliza dalili wajibiwa kwani kuna ubaya gani Hilo sio jibu sahihi
HAKUNA MADHEHEBU MANNE KWA UISILAMU! MADHEHEBU NI QUR'AN,HADITH KWA UFAHAMU WA MASWAHABA!! TUPE DALILI HAYO MADHEBU MANNE NANI ALIYAWEKA!! HAWA MAIMAMU WAMJITADI TU,KUNA WALIYOPATIA NA WANAMAPUNGUFU YAO,, ZAMANA ZAO KUNA MAIMAMU HAKUWA PEKE YAO TU,WAPO CHIUNGU WA MAIMAMU NA WENYE ELMU KUBWA MNO ,MFANO IMAMU SUFIYANI ATHHAUR,IMAMU NA WENGINE ZAIDI.,,SUFIYANI UYAYINA,IBN BATWAH NK INA MAANA HAO SI MAIMAMU? DINI HAIKUFUNGWA KWA MAIMAMU WANNE TU! WEWE MZITIO WA FIKRA,AKILI YAKO IMEDUMAZWA NA KUFUNYWA!!
Hapo ulipo anda darasa umesema maneno haya (( فإن أصدق الحديث كتاب الله وخير الهدي هدي محمد صلى الله عليه وسلم وشر الأمور محادثاتها وكل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة ))mbona hayo maneno huyafanyi kazi tupe hadithi moya imamu Shafi asema nifuateni imi musifuate kitabu na sunnah. imamu Shafi hakubali hitima mbona mwasoma hitima kwa madhehebu yanani bila yashaka mwa fa nya kwa hawa zanafsiyenu mungu atuongoze ammin ammin
Munaodai mwafuata imam shafi ni waongo Kwa sababu imam shafi kuna mambo aliyakataa na nyinyi mwayafanya Kwa mfano ni mwafuata maiti Kwa takbir na shafi alikataza,imam shafi alijataza kusomewa maiti guran na nyinyi mwasomea nakunamengi imam shafi alikataza na nyinyi mwafanya
Ahmed Daruwesh umetoa hukmu tatu kumpa sheikh . Umemuita safihi . Umemuita rafidh Umemuita qurmuti Tunaomba dalili zilizokufanya mpaka ukatoa hukmu hizo ? Tutajie na vitabu ambavyo utanukuu.
Mohamed ibn Abdulwahhab, ibn Taymiyya, ibn utheymin, ibn Alban ndio calling Muslims to the gate of hell fire under the gush of tawheed Allah's cursed upon them.
@@abdulkareemseif667 Abdulkareem seif Ni nani anaefuata sauti ? jee unahukum watu kwa mambo yalio ktk nyoyo zao ? Utakua na jawabu gan ukiulizwa na Allah kwanini ulitoa hukm ya kuwa watu hawafuati hakki bali wanafuata sauti ? UKIAMBIWA UWATAJE WATU HAO NI NANI NA NANI UTAWATAJA
kila mtu anataka umaarfu na wee ushaupata sasa kakae ukasome ili usiporoje saaannnaaaa kiukweli hao maimamu wenyewe walijua huenda wakakosea na ndio wakafika kusema kauli zetu zikienda kinyume na maneno ya mtume basi zipigeni na chini. sasa kakae ukasome usipotoshe watu na kutia chuki ktk nyoyo za watu
Abuu Mudhakkir Nakupongeza kumhukum mtu kwa kujua kilicho ktk moyo wake . Ambacho hata mtume hajapewa mamlaka hayo ya kuwahukum watu kwa yalio ktk mioyo wao. قال النبي ﷺ :( أمرنا أن نحکم بالظاهر والله یتولی السراٸر ) Nakupongeza kujua jambo ambalo halihukum yoyote ila ni Allah . قال الله تعالی :( یعلم خاٸنة الأعین وما تخفي الصدور ) Inaonekana umesoma mpaka mtume umemshinda kwasabb umeweza kuhukum . Ambayo mtume hakupewa ruhsa hio . Nakupongeza kujua kuwa kila mtu anatafuta umaarufu na pia sheikh . Na unaposema kila mtu hata mtume ni mtu . Maswahaba ni watu Nao pia kwa maneno yako walikuwa wanatafuta umaarufu . NDUGU YANGU KABLA HUJAZUNGUMZA MANENO YAPIME KWANZA MANENO YAO .
Ukianzia dakika ya 27 aisee allah ameharibu sana km ulivyosema et watu wanapenda ubabaishaji nawe pia ni mbabaishaji tena ndugu ww nimpotoshaji Yaani 30 unaongeatuu bila kubainisha nn unataka kuambia watu Maneno mengi bila ushahidi hio inaonyesha kwamba jambo unalo taka kuliongelea hulijui vilivyo ndo maana unazunguka Ww waambie watu uahabi ni nn na madhehebu mana yake ni nn napia makundi ni nn katika uislaam. Utaeleweka vzur mnoo Lkn nusu saa unazunguka tuuu bila kutoa makosa walionayo bali unakashifu bila tahadhar ya kumuogopa allah Kwakweli tupendane kwaa ajili ya allah
Yaan Porojo tupu Mutwambie Hayo maneno Aliosema mtume yapo Kitabu Gani???Watu Wanaopenda Kucheza Ngoma(Mziki,Dufu). Hamnaga Elimu ila Mnakuwaga na Porojo tuuu
Kijana hemu kaa chini uisome dini usiropokwe ropokwe elimu ya dini bado hujaijua kaa chini usome yaani ata hujui unachokiongea wewe ,nani alisema kufuata madh-hebu manne ni bidaa hemu kaa chini usome acha kuzusha na kuwazushia masheikh wa kisunna uongoo ,wewe ni muongoo Kwa unachokiongea
Imepokelewa kutoka kwa abdullah bin mas' if asema "،قال رسول الله عليه وسلم سبب المسلم فسوق و قتله كفر" "amesema mtume wa Allah(s.a.w) kutukanana kwa waislamu ni ufasik na kupigana ni kufr."
@@abdullahnassor9504 Alie kwenye Haki ni Mwenye Kufuata Kitabu na na Sunna kwa Kukopi Ufahamu Wa Wema Waliotangulia Kuanzia kisha Akajihepusha na Bid'aa Katika Kunmuabudu Allah S'w
Sheikh uko sahihi kabisa jazaakallaahu khayr
Maashallah ustadh Muhsin ..Mungu akubariki umeeleweka na umefikisha.
Malim maanshaallah allah akupe elimu umenifurahisha
Mashaalllah Allah akulipe khery uzidi kutuzindua na fitna za mawahab
masha Allah chuma Mola akupe zaidi tufaidike na ww#
Duh wallah huyu ust anajua Sana! ( amejaaliwa elim) tafadhali naomba mpeni huyu ust namba zangu nimpe zawadi!!
Ulipata no?
Mashaalah Shekhe Uyasemayo Niyakweli Na Niyahaki.
Mungu afungulie kila la kheri .
Naam Sheikh nimekuelwa uko sahihi,, maashaAllah
Baaraka LLAHU fiiqu. Yaa Rabbi rejesha umoja wetu ulio haribiwa nausiwape nguvu wenye nia mbaya nadini hii na uwazibue wale wanaotumiliwa bila wenyewe kujua kuichafua dini hii
Ndugu mungu akuongodhe kwenye ndia ya mtume salalahu alayhi wasalaam ((mtume salalahu alayhi wasalaam akiondoka ametuatia kitabu nasunnah)) majabu nikuwa hamuko kwenye kitabu wala sunnah bali mwafuata hwa dhanafsi yenu ((mungu atuoneshe ndia ya yahaki tuiyandame nabatili tuiyepuke)) ammin ammin
Sasa ww una muita cheikh ni jahili kwa misingi ipi ya kiilimu?wy iyo kitabu na suna aliyo ikufunza ni nani?ni mtume mwenyewe ama si wanazuoni waliyo kufunza?
Haya maeno ya sheikh ni maneno ya sawa
Na mtu ukimuona anaanza kutukana ujue anachuki tu na hana hoja .
Kwasabb mtu asiekua na hoja mara nyingi utamuona anatukana na kutoa maneno ya kukebehi na maneno mabovu .
Ustadh uko vizur saana . Na sidhan kama kuna mtu ktk mawahabi anaweza kuyajibu maneno haya .
Maashaallah
mawahabi ni kunguru
Allah atuongoze naa atufishe kwenye uislaam
Amiin yaa Allah
atufishe ktk iman ya uislm uliosahih .
Uwahabi nikurejea enzi za ujahili!!!
mmhmhmh
tumche allah jamaniiii
Allah akbar
Unawadanganya watu mche Allah
Wewe nijaahil maswahaba walikuwa namadhehebugani maimamu wote wakuregesha kwenye kitabu nasunnah
@@saidyusuf4691kwani madhehebu ninini
+255718223352 mpatieni ust zamba zangu nimpe zawad
Wewe ni jahiri jahrani murakab
Kwaiyo Hadith aliyo tabir kuhusu mnaipinga✍️
Ww she
Uwahabi Ndio Dhehebu Alokuwa Nalo Mtume.Mwenye kuukataa uwahabi Yuwaukubali Ushirikina wa Kuabudu makaburi ya Mawalii na Waja wema,Unajimu,Al badiri na Uzushi
أبو فیصل
Kwanza uwe na adabu ktk maneno yako .
Mtume hajafuata uahabi wala maswahaba wala waliokuja baada yao . Wala mtume hajalingania ktk daawa ya kiwahabi .
Maneno yako yanafahamika kuwa
Kila asiofuata uwahabi ni mshirikina na mtume wala maswahaba hawajafuata wala kulingania (UWAHABI)
Unadhan utakuwa umewapa hukmu gan mtume na maswahaba ??
@@saidihaji3739 kwan uwahab itikadi yao ipi inayotofautiana na itikad ya mtume Na maswahaba.Au kitendo gan ulichoona kwa mawahabi?
Na kuhusu shirki hilo lipo waz kuwa Nyie masufi mnaabudu makaburi ya masharifu,mawalii,masheikh yote haya mnaenda kuyatembelea Kwa ajili ya kupata baraka na kutabaruku na kuchinja Kwa ajili yake na Ziara zao zinakaririka pia mmeyajengea na wengne mmewazika mahala mnaposali. Haya yooote tukiwakataz mnatuita mawahabi.
@@saidihaji3739 kwan wahaab maana yake nini?
@@Ramadhan12623sasa na hilo ni sual au
@@أبوفيصل-د3ش wacha ujinga wewe nyinyi muna shirki kubwa kwenye kundi leno munashirik kwenye itikad muna mpamungu maumbile munaabudia sanamu muliloliweka juu ya arshi
KWELI AHLU SUNNAT WALJAMAA WANAJITAMBUWA,MNAOWAITA WAHAAB,SISI TUNAFUATA QUR"AN NA HADITH SAHIHI ZA رسول الله صلى الله عليه وسلم،NA HIYO QUR"AN NA HADITH TUNAFUATA UFAHAMU WA MASWAHABA,NA WEMA WALIOWAFUATIA MASWAHABA (TAABIIN)
NYIE MAKHURAFI HAMJITAMBUI,HASAA MNAJIITA MASHARIF WA LAMU,AQIDA YENU YA MASHIA WA IRANI!
MPO MBALI NA AQIDA YA AHLUSUNNAH NA MPO KARIBU MNO NA AQIDA YA MAKAFIRI WA KISHIA!!HATA MWALETEWA PESA KUWA NI KHUMSI!KUMBE NI CHAMBO CHA KUWAVUTA KWENYE USHIA!!
HATA HABARI YA NAJID IMEREMBWA NA MASHIA ZAIDI!!
ALLAH AWAONGEZE KWENYE HAKKI!!
Ndio dini
MTOTO MDOGO ANAROHO MBAYA TENA KATIKA DINNI
KWANI NANI ALOWEKA MAFHIHEBU YA UWAHABI NYINYI KWA CHUKI ZENU NDIO MMENASIBISHA WATU KATIKA MADHIHEB HAO NA ASILI HAMNA MADHIHEB HAO NA HALI YAKUWA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDULWAHAB ANAFATA MADHIHEBU YA SALAF NAWAFUASI WAKE WAKO HIVO
Munaotuita mwawahabi wafuata guran na sunnah Kwa ufahamu WA wema waliotangulia sio kuzua mambo kisha ukiuliza dalili wajibiwa kwani kuna ubaya gani Hilo sio jibu sahihi
Kitabu sunna
HAKUNA MADHEHEBU MANNE KWA UISILAMU!
MADHEHEBU NI QUR'AN,HADITH KWA UFAHAMU WA MASWAHABA!!
TUPE DALILI HAYO MADHEBU MANNE NANI ALIYAWEKA!!
HAWA MAIMAMU WAMJITADI TU,KUNA WALIYOPATIA NA WANAMAPUNGUFU YAO,,
ZAMANA ZAO KUNA MAIMAMU HAKUWA PEKE YAO TU,WAPO CHIUNGU WA MAIMAMU NA WENYE ELMU KUBWA MNO ,MFANO IMAMU SUFIYANI ATHHAUR,IMAMU NA WENGINE ZAIDI.,,SUFIYANI UYAYINA,IBN BATWAH NK
INA MAANA HAO SI MAIMAMU?
DINI HAIKUFUNGWA KWA MAIMAMU WANNE TU!
WEWE MZITIO WA FIKRA,AKILI YAKO IMEDUMAZWA NA KUFUNYWA!!
Hapo ulipo anda darasa umesema maneno haya (( فإن أصدق الحديث كتاب الله وخير الهدي هدي محمد صلى الله عليه وسلم وشر الأمور محادثاتها وكل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة ))mbona hayo maneno huyafanyi kazi tupe hadithi moya imamu Shafi asema nifuateni imi musifuate kitabu na sunnah. imamu Shafi hakubali hitima mbona mwasoma hitima kwa madhehebu yanani bila yashaka mwa fa nya kwa hawa zanafsiyenu mungu atuongoze ammin ammin
Munaodai mwafuata imam shafi ni waongo Kwa sababu imam shafi kuna mambo aliyakataa na nyinyi mwayafanya Kwa mfano ni mwafuata maiti Kwa takbir na shafi alikataza,imam shafi alijataza kusomewa maiti guran na nyinyi mwasomea nakunamengi imam shafi alikataza na nyinyi mwafanya
soma kwanza
Huyu hajui kitu ni safihi rafidhi, qurmuti
Ahmed Daruwesh
umetoa hukmu tatu kumpa sheikh .
Umemuita safihi .
Umemuita rafidh
Umemuita qurmuti
Tunaomba dalili zilizokufanya mpaka ukatoa hukmu hizo ?
Tutajie na vitabu ambavyo utanukuu.
Mtu aweza soma ktk haqqi na akapinda kwa matamanio yake wapo waloishi wakati wa mtume صلى الله عليه وسلم na wakaacha uislamu wao
انت من الرويبضة ارحم نفسک اخی واتق اللہ وانالمٶاخذون بما نتکلم
Mohamed ibn Abdulwahhab, ibn Taymiyya, ibn utheymin, ibn Alban ndio calling Muslims to the gate of hell fire under the gush of tawheed Allah's cursed upon them.
Utaeleweka na mfano wa watu wale waliokuuliza swali la swaumu muogope Allah acha kutetea uzushi
Watu wapenda sauti sio haki
@@abdulkareemseif667
Abdulkareem seif
Ni nani anaefuata sauti ? jee unahukum watu kwa mambo yalio ktk nyoyo zao ?
Utakua na jawabu gan ukiulizwa na Allah kwanini ulitoa hukm ya kuwa watu hawafuati hakki bali wanafuata sauti ?
UKIAMBIWA UWATAJE WATU HAO NI NANI NA NANI UTAWATAJA
kila mtu anataka umaarfu na wee ushaupata sasa kakae ukasome ili usiporoje saaannnaaaa kiukweli hao maimamu wenyewe walijua huenda wakakosea na ndio wakafika kusema kauli zetu zikienda kinyume na maneno ya mtume basi zipigeni na chini. sasa kakae ukasome usipotoshe watu na kutia chuki ktk nyoyo za watu
Abuu Mudhakkir
Nakupongeza kumhukum mtu kwa kujua kilicho ktk moyo wake . Ambacho hata mtume hajapewa mamlaka hayo ya kuwahukum watu kwa yalio ktk mioyo wao.
قال النبي ﷺ :( أمرنا أن نحکم بالظاهر والله یتولی السراٸر )
Nakupongeza kujua jambo ambalo halihukum yoyote ila ni Allah .
قال الله تعالی :( یعلم خاٸنة الأعین وما تخفي الصدور )
Inaonekana umesoma mpaka mtume umemshinda kwasabb umeweza kuhukum . Ambayo mtume hakupewa ruhsa hio .
Nakupongeza kujua kuwa kila mtu anatafuta umaarufu na pia sheikh .
Na unaposema kila mtu hata mtume ni mtu . Maswahaba ni watu
Nao pia kwa maneno yako walikuwa wanatafuta umaarufu .
NDUGU YANGU KABLA HUJAZUNGUMZA MANENO YAPIME KWANZA MANENO YAO .
We ni jahil kama majuhali wengine kaa chini usome uache matamanio
Sasa huyu Ndio kaongea utumbo gani hpa
Ukianzia dakika ya 27 aisee allah ameharibu sana km ulivyosema et watu wanapenda ubabaishaji nawe pia ni mbabaishaji tena ndugu ww nimpotoshaji
Yaani 30 unaongeatuu bila kubainisha nn unataka kuambia watu
Maneno mengi bila ushahidi hio inaonyesha kwamba jambo unalo taka kuliongelea hulijui vilivyo ndo maana unazunguka
Ww waambie watu uahabi ni nn na madhehebu mana yake ni nn napia makundi ni nn katika uislaam. Utaeleweka vzur mnoo
Lkn nusu saa unazunguka tuuu bila kutoa makosa walionayo bali unakashifu bila tahadhar ya kumuogopa allah
Kwakweli tupendane kwaa ajili ya allah
Yaan Porojo tupu Mutwambie Hayo maneno Aliosema mtume yapo Kitabu Gani???Watu Wanaopenda Kucheza Ngoma(Mziki,Dufu). Hamnaga Elimu ila Mnakuwaga na Porojo tuuu
wewe unachuki na maqufi tu akhiy hunahoja
@darajanida Tena napaswa niwachukie sana ho ni watu Motoni.Hawapo ktk Utaratbnu na Din ya mtume.
yaani wewe mjinga hasaaaaa wanitia kichef chef unawaelezea hao mnao waita mawahabi hata huwajui fujo tuuuu acha ujinga huooooo kakae ukasome kwanzaaaaaa
Kijana hemu kaa chini uisome dini usiropokwe ropokwe elimu ya dini bado hujaijua kaa chini usome yaani ata hujui unachokiongea wewe ,nani alisema kufuata madh-hebu manne ni bidaa hemu kaa chini usome acha kuzusha na kuwazushia masheikh wa kisunna uongoo ,wewe ni muongoo Kwa unachokiongea
Madrasa yako iko wapi nije nisome ?
Pumbavu wa ilmu wewe ume mjua mtume vipi wewe
Imepokelewa kutoka kwa abdullah bin mas' if asema "،قال رسول الله عليه وسلم سبب المسلم فسوق و قتله كفر" "amesema mtume wa Allah(s.a.w) kutukanana kwa waislamu ni ufasik na kupigana ni kufr."
Uwahab ni ukafiri & fitna kubwa sana
Ujinga ume kujaa kaa usome huyu shekhe wamuona msomi kasoma wapi
duuuh
allah yupo anashuhudia uyasemayo
hivii uwahabi ni ukafiri kwa ushahidi ganiii
Ujinga umekuzidi wajiamulia tu kwa upumbavu wako ebu tafuta icho kitabu cha abdulwahab uone kasema nini ndio uropoke
Kaone kajamaa kamepewa Ujasir wa Kusema Bila ya Elimu.Na Ukimtaka kumjua Mjinga Hataji Vitabu (Marejeo) Yeye atazungumIa Visa tu.
@@abuudaudi2352 na nyinyi mnavyotuita cc masufi kuwa no makhurafi alaf mnatuambia tunaabud makabur Allah anawaona pia na nyie
Maneno yako hayana hoja
Afadhali Shekhe Google kuliko wewe nijahil kabisaa wapotedha Watu mtume asema nimewatiyeni kitabu na sunnah wewe hujuwi kitu nenda kasome
Hahahahahahaaa
Sindano Za Kisalafi Zimeshakuchoma Unaanza Kupiga Makelele.
ndio! maaana hizo sindano ni za sumu na sio za chanjo
@@abdullahnassor9504
Sumu Kwa Watu Wa Bidaa na Ni Chanjo kwa Wapenda Kweli Kutoka Kwa Mola Wao
@@ramamtetu2327 hiv kwl ww unamjua alie ktk haki
@@abdullahnassor9504
Alie kwenye Haki ni Mwenye Kufuata Kitabu na na Sunna kwa Kukopi Ufahamu Wa Wema Waliotangulia
Kuanzia kisha Akajihepusha na Bid'aa Katika Kunmuabudu Allah S'w
@@ramamtetu2327nani wanaofuwata kitabu na suna mawahab au mhu
hivi huju jamaa anaongea anachokijua au !!! ? maana ni aibu
Wallahi aibu
Wewe chunga hishma yako kwa huyu ustadh nyinyi mawahabi sio waislamu
jibuni hoja wachen kulalamika
Shekh wacheza na akiri za watu hiyo wahabi humjui na uko mbalii na dawa yake hrza akili za wajingaaa
Yani mtu alipigania bidaa leo aonekana mbaya duuu
Maashaallah