Ataivo mshkulu mungu umefika atuwa nzuri Sasa kuwamakini katika maisha yako wendakunavitu au mambo yanaweza kukutokea kwa ivovitu ulivyo viomba usijisaau
Masha Allah hii kitu kinahitaji subra ukiwa na haraka na pupa utaka tamaa hata Mimi nimefanya mara mbili lakin hajatokea ila sjakata tamaa zoezi litaendelea insha'Allah
Hvi jmn nyinyi mnamuelewa huyu mbna kam muongo muongo anacho andika kwenye caption kingine anavyo vizngumza vingine kwanza mm simuamni mtu anae toa saut tu alafu umuoni %99 uwaga niwaongo waongo sana..
Asante kwa kuwasilisha, Ni vema zaidi ukajaribu kufuatilia channels zingine ambazo watu wanaonyesha sura na magari ya kifahari na mafanikio makubwa. Hao wanakufaa zaidi.
MNAO ITA MSIKATE TAMAA KWA MSAADA WA RAKIMS NILIITA KWA MARA 20 NDIO NIKAFANIKIWA KUMUONA SAL SAL KWAIYO UNAPO ITA YA KWAZA UJAPATA MAJIBU ENDELEA MWISHO WA SIKU ATAKUJA TU ILA NI VEMA UWE NA MWALIM KARIBU
Ataivo mshkulu mungu umefika atuwa nzuri Sasa kuwamakini katika maisha yako wendakunavitu au mambo yanaweza kukutokea kwa ivovitu ulivyo viomba usijisaau
Hongera sana Shekhe na shukrani zetu zote ziende Kwa Mwalimu wetu Rakims
Hatua ulofikia hongera Allah atakufanyia wepesi
mashalwaa hongera sana
Allah akuzidishie na azidi kukujaalia kwa mafunzo zako nzuri unayo fundisha umetaja jina la barhat mwalimu ila hiyo haujafundisha
Hivi Karibuni.
daah hongera sana mimi nilisha jaribu mpaka sasa bado sijafanikiwa kumpata 😢
sijui ni mda gani nitaweza kumuita
Masha Allah hii kitu kinahitaji subra ukiwa na haraka na pupa utaka tamaa hata Mimi nimefanya mara mbili lakin hajatokea ila sjakata tamaa zoezi litaendelea insha'Allah
Ongela sana shekh
Hongera Sana asee
Nimepata nafas ya ajira ila nimekosa pesa na muda ndiio unaenda eeh mungu nione na mimi inshaaalah mwalm unapatkan wap
Hongera
Allah akufanyie wepes ktk darasa zako na azidi kukupa weledi
Mwili unanisisimka mabroock akhi
Hongera.. lakini si tulishaambiwa tusitoe salamu, maana ataondoka.
❤ mashalwaa hongera sana
❤❤
Hvi jmn nyinyi mnamuelewa huyu mbna kam muongo muongo anacho andika kwenye caption kingine anavyo vizngumza vingine kwanza mm simuamni mtu anae toa saut tu alafu umuoni %99 uwaga niwaongo waongo sana..
Asante kwa kuwasilisha, Ni vema zaidi ukajaribu kufuatilia channels zingine ambazo watu wanaonyesha sura na magari ya kifahari na mafanikio makubwa. Hao wanakufaa zaidi.
@@rakimsspiritualkweli mwalim atafte pengine
Mashart😂
MNAO ITA MSIKATE TAMAA KWA MSAADA WA RAKIMS NILIITA KWA MARA 20 NDIO NIKAFANIKIWA KUMUONA SAL SAL
KWAIYO UNAPO ITA YA KWAZA UJAPATA MAJIBU ENDELEA MWISHO WA SIKU ATAKUJA TU ILA NI VEMA UWE NA MWALIM KARIBU
Kaka Nurudin mwalimu awepo karibu kivip