Mara yangu ya kwanza Kunena Kwa Lugha nlikua Ecg mahubiri ya chief yalinifungua maisha yangu ya maombi yalibadilika kabisa,, Toka kanisa tuliokuwa tukiombewa Ubatizo wa Roho mtakatifu daily bila mafanikio Kunena Kwa Lugha nlijua Kuna Kuja kwa miujiza ila kwa mafundisho ya chief nlipata ufunuo kiurahisi Sana, mambo ya ufalme wa Mungu ni rahisi sana hata mtoto mdogo kuelewa. Ngumu Sana kumchukia chief hata akukere vipi kwa maneno makali😂😂 wana ecg wanaelewa.
Usiku wa kuamkia leo Nimeota mlangoni kwangu kuna mama mchawi anazunguka mlangoni huku nguo ya mtoto wangu nilizozianika kwenye kamba nje. Amezichukua . Japo sijamuona sura naonyeshwa tu miguuu. Ya huyo mama na kavaa nguo nyeusi.. naombeni tafsir ya hiyo ndoto
Amen nimefunguliwa San chifu Asante sana Mungu akutunze kwaajili ya Taifa la Tanzania ❤❤
Amen pastor with your preach God bless you to continue and I need your prayers
Ameen
Nabarikiwa kwa kiwango cha juu sana kupitia Mahubir yako Chief
Mungu azidi kukutumia Zaidi na Zaidi
Ameeen 🔥🔥🔥
Amen Baba
Hallelujah, the apostle of false doctrine
Aminaaaa sanaaaa 🙏🙏🙏
Asante mwalimu.
#Apostle_mtalemwa_bushiri umenifundisha Vema sana natamani sana kujazwa roho mtakatifu natamani sana...
Amen apostle
Amen
Amina
Amen 🙏 Amen glory be to God
Mara yangu ya kwanza Kunena Kwa Lugha nlikua Ecg mahubiri ya chief yalinifungua maisha yangu ya maombi yalibadilika kabisa,,
Toka kanisa tuliokuwa tukiombewa Ubatizo wa Roho mtakatifu daily bila mafanikio
Kunena Kwa Lugha nlijua Kuna Kuja kwa miujiza ila kwa mafundisho ya chief nlipata ufunuo kiurahisi Sana, mambo ya ufalme wa Mungu ni rahisi sana hata mtoto mdogo kuelewa.
Ngumu Sana kumchukia chief hata akukere vipi kwa maneno makali😂😂 wana ecg wanaelewa.
Usiku wa kuamkia leo
Nimeota mlangoni kwangu kuna mama mchawi anazunguka mlangoni huku nguo ya mtoto wangu nilizozianika kwenye kamba nje. Amezichukua
. Japo sijamuona sura naonyeshwa tu miguuu. Ya huyo mama na kavaa nguo nyeusi.. naombeni tafsir ya hiyo ndoto
Amen
Amina