SIRI YA MOYO FULL MOVIE
Вставка
- Опубліковано 9 сер 2021
- #AmazonPrimeVideo #officialtraler #shershaahonprime #Wasafimedia #diamondplatnumz ##iyo #bongoflavour #bongomovie #newsong2021 #newfilm2021 #newtanzaniafilm #mkojani #napendamadem #kutombana #kufilana #kubakana #kigodoro #baikoko #ontrending #manara #simbanayanga #miladayo #globaltv #harmonize #official video #amapiano #americangot'stalent #netflix #sonyfilm #wmbfilm2021 #comingtoamerica #Musicworldwid #mkojani #alikiba #videocover#indianyoutuber #youtuber #youtube #youtubeindia #youtubers #india #carryminati #indianblogger #indianyoutubers #bbkivines #bhuvanbam #instagram #harshbeniwal #amitbhadana #instagood #technicalguruji #youtubechannel #indian #memes #indianvlogger #ashishchanchlani #mumbikernikhil #mostlysane #vlogger #fashion #fashionblogger #ashishchanchalani #indianfashionblogger #bollywood #photography #memes #dehati #amitbhadana #bbkivines #bbkivines #bhuvanbam #bollywood #lovestory #madhu #boxing #youtube #youtubechannel #subscribe #subscribetomychannel #subscriber #comedy #funny #funnyvideos #bojipuri
sijawai sijawai kusifiaga movie za bongo ila hapa mmeupiga mwingi sanaaaaa...
Thanks
😭😭😭😭iih movie mmenifanya nilie san hongeren sana movie inafundisho ndani yake like zangu jmn
yani vijana wetu,filamu hii ime nitowa chozi ya isia kali.
ila nawa pongeza sana,Mwenyezi Mungu,awa wezeshe zaidi.
Naipenda hii filamu,maisha ya kijijini rahaaaa
movie nzur
Imenigusa sana moyo wangu na ndivyo ilitokea kwa maisha yangu na mpaka sasa naishi nae ninaempenda. True love never die.
jamaa ni boya sana kama alivyosema rafiki yake amachezea shilingi alafu anaitafuta kwa shimo la choo
Nikisoma jina naona #mkojani ABDALANZUNDA basi hapo najua kazi iko bul bul 👌👌
Leteni mzgo wa mwendelezo Mkojani
Huyu kiza akili zake ziko kizani kwel kwel aendelee kula alichokiota
Nimeipendaaa snaa hiii str kwkwl najiona kma mm vilee aiseee chozi limenitokaa history imesimama mahali pakee
Hakika hii kali kuliko. Vijana wangu, mmeutendea haki moyo wangu, kwa filamu hii, hapana kwa kweli. Safi sana vijana wangu.
Hakikahiimovnzurixanakiukwel imenitachxana hongerazakoankar ankar imeishahiyo
Bonge LA moviee huyu kiza anajua sasa mbona hatumuoni kwenye movies zingne we mkojani. Afu kiza anatia huruma mpole analia nampenda jaman
Duh huyo jamaa boya sana
Mkojani daruweshi😀😀😀😀😀😀👋👋👋🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤾♀️🤾♀️🤾♀️🤾♀️
Safi san mambo kusaidiana
Umetisha san kaka @kiza@tunu 👫💖🙏
Tamu sna lakini
Dah!! Asee kumbe mkonjani upo vizur hivi kwenye creative moves.
Aisee hii movie ime nifundisha sana
Iko juu zaidi
Huyu makapu ana balaa huyu duh nimecheka aisee
Dah paka machoz yamentoka
mama,wa,kambo
nimeamin mtu akikupenda hata afanye nn bado atarudi kuwa
wako
Ezra
Mko vzuri bgp
Yani munajua kupitiliza mr kiza na tunu nyinyi munajua san mung akusaidien na kazi yenu
Kazi nzuri sana vijana nawaonea mbali sana
Bwana ATM nakuona
mama kambo
Kizaaa joh pesaaaaa
Hongereniliocheza huo mchezo
Nmependa sana nimejifunza kitu ak😭😭😭
Asanteni sana kazi nzuri tumeiprnda
Filamu nzuri sana hila tatizo sauti mnatupimia hili hiweje.
Nimeipenda sana tupeni part 2 tuone maisha ya kiza na tunu yatakuaje
Mashallah mung awarahisishie
Amin
Daaar hiii muvi atar san una jikuta una toa machozi bila kupenda
Hii movie imenigusa sana 🔥🔥
Hili li makapu buana
Safi sana
Imenigusa san movie 💪🤛
bongo muvi za ngumi
Nimzur sana
Kweli mapezi fumbokubwa sanaaaaaaa
Mnalialia tu kama wa hindi kulia kidogo tu kazi nzuli
Nice
Nzuri mno so inafundisha
Kazi nzuri mkojani
kazi nzurii
Nzuri lakn hatujaoneshwa hatima ya Tausi na huyo sharo wake alomtia mimba😀😀😂😂
Kaz nzur sana vijana
Kazi kubwa sana
duuu ikiboko
Kiza boya kweli eti linalia
mkojani kazi njema
Ni nzuri
Kazi kubwa
Mkojani bhana 😂😂😂
Hizo fujo na hiyo gari yake ni shida 😅
Sina mbavu
hi movie mikali
Good
Wanawake ban, tabu tupu
Ipo powa
Safi
Muv nzuri
Mm I'll look /7
Mkojani
Iko sawa nimeipenda
Good job
ukopoa sanaaaaaaa
Utam utam jamaniiii
Nasubiri sehem ijayo
Pg Kaz broo
Mkojani ww fundi
🔥🔥🔥
Tuone mwisho utavyokuwa
Vichekesho
Kazi nzur
Tunu natama hata katika maisha ya kawaida uwe hivo uko vzr
Kzi nzur
Big job
😍😍😍😍😍😍
Nimependa movie
Hatari🔥🔥🔥🔥🔥
Kqzi iko bulbul
Daah nimeipenda San jmn aina part 2 tuone maisha ya tunu na kiza
Utamu utamu
Sizonizakichina
Mashaallah movie nzuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo ni bulbul
iko sawa
Jaman chonde chonde toeni part 2 . Maana hatujamaliza utamuuuuu♥️
Ukweli ii muvi imewashinda ata wasanii masuper staa
Bonge la movie nimeipenda
Nzul hio🙄🙄🙄🙄
Iko vizuri sana part 2 IPO?, na kilichopangwa na mungu binadamu hakipangui,kiza ukimpenda mwanamke funguka MPE hisia zako mapema,
Asanteni jamani
Mbn profile ya mokjan mnatembelea nyota na majina ya wakubwa
Tunu ungetulia tu
Konk
Meahack mtweve
.
Good
Safi
Mamb
Good