Eh Mungu naomba hii media iache kumuzalilisha Zuchu. Hawafurahii mafanikio yake wanatafutaga ginsi ya kumuumiza kila anapo kua na furaha. Mara nyingi akiwa na furaha wanazusha namna ya kumuzoofisha ki akili.
ESMA n'est pas un Exemple de Femme à suivre 05 mariages encore un DIVORCE et ta mère est Contente de Ça hein ?... Et vous êtes les premières à martyriser les enfants des autres lorsque vous êtes incapable de garder un homme une année après le Mariage , Eeeeeeh
Tanzania elimu bure kutibiwa bure kwa wazee watoto nchi ya miaka mitano kushuka chini tamuko lasmi na kuwapa onyo udanganyifu mwingi kwa wahujumu uchumi kira kona
Sinchi yake jemeni chawa vp kwa sbb mie naona vyama vingi na ccm wote wanatafuta kula tu ya familia zao ikifika wakati wa kupiga kura mnawabembeleza ss wanyonge lkn mkisha kuwa kwenye uongozi mnajitizama wenyewe tu😢😢
Full kunoga aweeee ♥️♥️♥️♥️♥️so much Zuchuuuuuu💛💛💛💛💚💚💚💛💛
Tu es ma Star préférée ZUU depuis BRAZZAVILLE/CONGO à cause de toi , j'apprends le KISWAHILI, Bisous mwah 💯💯💯💯
💋💋💋💋💋💋
🇨🇬
Zuchuuuuu Forever Queen ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Esma ana watoto wakike ,MUNGU atuweke jeuri itaisha,namshangaa sana
Zuchu apewe maua yake 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
Eh Mungu naomba hii media iache kumuzalilisha Zuchu.
Hawafurahii mafanikio yake wanatafutaga ginsi ya kumuumiza kila anapo kua na furaha.
Mara nyingi akiwa na furaha wanazusha namna ya kumuzoofisha ki akili.
Wambie wasikile na wajuwe zuchu ndio kipenzi chetu ❤❤zuchu
Kumbe ulichunguza ata ww...mm pia naona Ivo sai ana Raha subir tu watazusha maneno ilimradi wamuumize zuchu.. nampenda Sana zuchu mm❤❤
Ma DIVA, love u Queen ❤️💯👍🏽🇨🇬
Shabiako kutoka Congo anakupenda sana ata tupo kwenye vita sitakosa kusapoti Zuchu Wangu ♥️♥️♥️
Mungu akulinde
Poleni Sana, Mungu awalinde mvuke hilo
❤❤❤❤❤
Mungu awavushe katika kipindi hiki kigumu
Mungu awe nanyi ndugu zetu 🙏 🇹🇿
Zuchu hooye ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Zuchu wetu jamaniii 😂😂😂umependeza sana mke wa simba 😂😂😂😂😂
Zuchu ni mnoma... Balaa❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Poleni wana kongo msibahatishe maisha chagueni watu sahihi wa kukuongozeni
Zuchu ❤
Continue to BE BLESS
Queen zuu 🥰
Zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakpenda ka zuchu ❤❤
Hatarii Sana
Zuchu❤❤❤
Zuchu ❤🎉
Zuchu kama zuchu tunae na tunatamba nae.❤❤❤❤❤❤❤
Zuchuuuu ❤❤❤
Ushauri wa zuchu kiboko watu wajiue
Umetisha zuchùuu..mke mtarajiwa wa naseeb Abdul
Zuchu kafanya kava ya komba vizuri sana🔥🔥
Hapo hakuna aibu Kwan ukiwa msani mkubwa haulusiwi kupenda mambo ya siasa acheni ujinga ichokinawauma mwenzen anaingiza pesa uwo wivu sasa
Sanaaa naitawauma sanaaa
❤❤❤❤❤
Ccm wanatupa free show walahiiii
Zuchu hongere sana💐💐🥀🥀
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉my cute zuu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jmn mam zuch hacuk kuimba ir zuch umetish sanaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
Mtoto anajua kiukweli
Kilamtu abebe madhaifu yake usichukue yamwenzio unapata dhambi bure
🎉🎉
balaa
Wivutu zuchu tuna mpenda sanaaa
Huyu dem ako juu Sana..... Mtu kama Esma haoni aibu kumpiga vita giant kama hili? Nonsense!!!!
ZUCHU PLEASE KNOW YOU THAT YOU ARE SUCH A G.I.A.N.T
ESMA n'est pas un Exemple de Femme à suivre 05 mariages encore un DIVORCE et ta mère est Contente de Ça hein ?...
Et vous êtes les premières à martyriser les enfants des autres lorsque vous êtes incapable de garder un homme une année après le Mariage , Eeeeeeh
😂😂😂why esma
Zuuuuuu come rain 🌧️ come sunshine
Sas kwanini munatukana
Inayowauma humu mchimbe shimo mjifukieeee
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥😍🤩
🎉🎉🎉❤❤❤
Tanzania elimu bure kutibiwa bure kwa wazee watoto nchi ya miaka mitano kushuka chini tamuko lasmi na kuwapa onyo udanganyifu mwingi kwa wahujumu uchumi kira kona
🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥👏👏👏♥️♥️♥️♥️♥️😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bora yazuchu😊
Mitano tena, Mond unajua
Ni jambo la aibu msanii kuwa chawa w chama cha kisiasa. Kama kioo cha jamii ni vema kua neutral.
Sinchi yake jemeni chawa vp kwa sbb mie naona vyama vingi na ccm wote wanatafuta kula tu ya familia zao ikifika wakati wa kupiga kura mnawabembeleza ss wanyonge lkn mkisha kuwa kwenye uongozi mnajitizama wenyewe tu😢😢
Ww fanya kazi kaka acha watu na vyama vyao tafuta pesa ulishe familia yako 😂😂😂😂
Sooo asifanye kazi ndio asiitwe chawaa jamaniii unachekesha 😅
Hahaaa wivu unakusumbua ccm damu damu❤❤❤❤🎉🎉🎉
Cyo kwel,Maan msanii ni sawa wew ana haki ya kuwa na mapenz na Chama akipendacho
?❤
Natamani niwe mutanzania ita wezekana kweli
Niseme tu ukweli kwanyimbo zuchu hajaimba sauti hako veliveli imepauka sana
Yaone na manguo yenu kama mazombi
Nyote mnajichubua mafisiemu
Pumbavu zenu machawa nyie
Majinga nyie hama lolote pumbavu
Kunywa sumu tu mana wabweka maskini
🤣🤣🤣🤣🤣umekulaaa?
❤❤❤
❤❤❤❤