AMINA. Wakristo katika huo muhula tunaingia mambo yatabadilika. Tunahitaji Neno La Mungu. Ni Neno La Mtumishi wa Mungu Litatunasua mahali tuko. Neno moja tu la Mtumishi wa Mungu maisha yabadilike. Mahali tumezunguka hapo hapo tunahitaji Neno La Mungu. Chochote ambacho kilikuwa kimerogwa leo kimerogolwa. Tunahitaji Neno la kubadilisha hiyo maji. Kuanzia saa hii hiyo maji iwe sawa. Hiyo maji isiyo ya kunawirisha Watumishi wa Mungu wanaiondoa leo. Tutafaulu katika Jina La Yesu. Hapo hapo mahali ulipo maisha yabadilike. Hiyo ni kumaanisha kuwa haukuwa unapata sasa unaanza kupata. Leo tunapokea muujiza wa papo hapo. Kile tutapokea leo kimebarikiwa na kile tutafanya kuanzia saa hizi kimetakaswa.
AMINA. Wakristo Mungu Atatuinua tena. Mungu Atafanya mambo makuu na muujiza wa ajabu ndani ya maisha yetu. Mtu ni wa kuchoka na ni wa kufika mahali anafika ukingoni. Lakini kuna mmoja huwa Hachoki na Hafiki ukingoni, hata ukijaribu kumzuia Atapasua na Huyu Ni Mungu. Wakati unafikiria umefika mwisho na hauwezi ukaendelea tena kuna Mwanzo mpya. Mungu Akitushika Atatushika mpaka mwisho na Atafanya makuu hatujawahi fikiria. Huyu Akiingilia kati mambo yanabadilika "automatically." Wewe unajidharau jipende na ujinenee mambo mazuri. Ni vizuri sana kunena maneno mazuri katika kila shughuli ile uko nayo. Tujinenee maneno mazuri ya busara, tubarikishe siku yetu na hiyo siku bila shaka itatii. Leo maisha italainika na itakuwa sawasawa.
AMINA. Watu wakazoea hali ya watu na wanyama kuavya mimba wakikunywa maji ya hiyo kisima. Wakristo hata nasi hayo mazoea tumeishi nayo siku ya leo tunaiweka kando na Mungu Anaenda kuongea. Na Akiongea maisha yanachukua mwelekeo mwingine. Ile shida ambayo huwa inatufunga, inatufuata na imetusukuma hata tukienda mbele hatuwezi fanikiwa leo Mungu Anainenea. Tumezunguka lakini kuna "short cut" ya Mungu leo ambayo itakuja kimuujiza ndani ya maisha yetu. Leo Maneno ya Mungu imenenwa na Mtumishi wa Mungu inanenea hiyo hali tunayoipitia. Siri ni kuwa hatukunenewa maneno ya Mungu na Mtumishi wa Mungu katika hiyo kisima. Kama hukunenewa baraka leo Watumishi wa Mungu wanabarikisha maji yako na maisha yako.

Hallelujah 🙏 mungu barikivhao watimishi katika jina la yesu

Mchanga yangu ipone kwa jina la Yesu.
Mubarikiwe watumishi wa mungu
Amen
Watching live from soko ya bus station
Am blessed
Amen 🙏🏼
Amen🔥🔥🔥🔥💯
AMINA. Watu wakazoea hali ya watu na wanyama kuavya mimba wakikunywa maji ya hiyo kisima. Wakristo hata nasi hayo mazoea tumeishi nayo siku ya leo tunaiweka kando na Mungu Anaenda kuongea. Na Akiongea maisha yanachukua mwelekeo mwingine. Ile shida ambayo huwa inatufunga, inatufuata na imetusukuma hata tukienda mbele hatuwezi fanikiwa leo Mungu Anainenea. Tumezunguka lakini kuna "short cut" ya Mungu leo ambayo itakuja kimuujiza ndani ya maisha yetu. Leo Maneno ya Mungu imenenwa na Mtumishi wa Mungu inanenea hiyo hali tunayoipitia. Siri ni kuwa hatukunenewa maneno ya Mungu na Mtumishi wa Mungu katika hiyo kisima. Kama hukunenewa baraka leo Watumishi wa Mungu wanabarikisha maji yako na maisha yako.
Very strong message
Very strong message. Please weka hio neno vizuri. Is it really 1 Kings 2:19 sir?
It's 2nd kings 2:19