RC Aagiza Wanachama 14 Wa CHADEMA Kutafutwa, Kwa Tuhuma Za Kumshambulia Mtendaji
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego Ameviamuru vyombo vya Dola Mkoani Humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Pamoja na Diwani wa Kata ya Ntuntu Omary Nkonki (CHADEMA) kwa Tuhuma za Kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A Ramadhan Idd Nyengo.
Akizungumza na Wanahabari Ofisi kwake Mapema Leo RC Dendego Amesema Tukio hilo limetokea siku ya Jumapili Majira ya Jioni na kwamba watu hao walikuwa wakimlazimisha Mtendaji huyo kutoa nyaraka za Serikali.