Nina swali muhimu sana. Hii interview inaonyeshwa watu gani. Mnataka kina nani waione hili Ndiyo jambo ambalo Sisi Waafrika hatujaelewa. Ninyi mko Afrika mashariki Huduma zenu ni Afrika mashariki. Tumieni lugha inayoeleweka. Kuongea kizungu siyo kukuza Biashara. Je tumeelewana ? Mnataka kuwafikia kina nani ? 🤷🏿♂️
Appreciate the interview. Next time please let the interviewer have a better microphone. That will add much value without costing much.
Poor sound quality setups..made the entire interview worthless...viewers don't hear the interviewer's questions properly..
Nina swali muhimu sana. Hii interview inaonyeshwa watu gani. Mnataka kina nani waione hili Ndiyo jambo ambalo Sisi Waafrika hatujaelewa. Ninyi mko Afrika mashariki Huduma zenu ni Afrika mashariki. Tumieni lugha inayoeleweka. Kuongea kizungu siyo kukuza Biashara. Je tumeelewana ? Mnataka kuwafikia kina nani ? 🤷🏿♂️
Nadhani mtu huyo ana asili ya Uganda na si lazima aongee Kiswahili. Ninaweza kuwa na makosa, lakini ndivyo nilivyoweza kujua.