Tin white yani nashindagwa kuzitazama movie zako yani nakupendaga hata nikikutana nawe kiukweli nitakutongozaaaaaaaa nakupenda from 254 wrch from lraq kwa Saddam
Unamjua nn jamani hii IPO katika kuchekesha so usipo isoma utapata tabuu sana bab mwenye Nyumba sio mzembe ila nikati ya kichekesho kwa mm nilivyo on a kama na ww umeona kama nilivyo on a mm tujuane
Pata ushauri wa bure kabisa kuhusu maswala ya ardhi mfollow @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce 1. Ushauri namna ya kuweza kupata hati miliki ya shamba/kiwanja chako. 2. Ushauri njia sahihi ya kupitia kipindi unaponunua shamba/kiwanja. 3. Kujua gharama za upimaji shamba/kiwanja. 3. Utaratibu wa kupitia upate kibali cha ujenzi. 4. Namna ya kubadili umiliki wa hati kwa mmiliki mpya wa shamba/kiwanja. 5. Kurudishia mipaka ya shamba/kiwanja chako. 6. Kujua uhalali wa umiliki wa kiwanja/shamba unalotaka kununua. Contact; WhattsApp 0713778937 Piga 0754619189 Piga 0785779111 mbeyajames@gmail.com
Kamaunamkubali mau fundii gonna like chini hapo
Tin white yani nashindagwa kuzitazama movie zako yani nakupendaga hata nikikutana nawe kiukweli nitakutongozaaaaaaaa nakupenda from 254 wrch from lraq kwa Saddam
Baada ya mzee majuto ringo na tin white na comedian mnaopeperusha bendera asee
Haaaaaaaaa mzuri Sana yani tuma zote movie uku wewe Ringo yani ndo utagombowa mzee wetu majuto
Good combination tin and Ringo salute kwenu wazee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah mmejua kunifurahisha tinwhite 🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Ringo brother tumia saut yako na usijishebedue Sana bhn unatuangusha mabaharia😂😂
Braza naumwa ..
.......nimesikia hio
Dahhh somo iloo mwanafuz atafahamuu😅😅😅😅😅❤❤❤❤
Ringo unazingua, msauti mbayaa
😂😂😂
Big up bro 👊 lingo
**Mau, Ringo ,Tin white ,nawakubali sana kaka zangu**
Young killer Msodoki hata me nawakubali sana hawa watu. Big up 💪 sana
pa1 sana msodoki
Nawakubali ote
``Usiniamsh mpaka chakul kiive "
😂🤣🤣Tin white firee
Nice
😂😂😂😂Ringo et roho mtakatifu 😂😂😂😂 asee ilibd nisonye kiharmorapa 😂😂😂😂
Hizo nyenzo 😂😂😂
😂😂 tini bana Ety Yule uliye muonesha Akisheni
mashaailag movie tamu mpakaaha ongereni washiriki naikubari tanza nia yangu
Daah!MBNA Meno njema 34😁😁😁😁🤣😂
RINGO VOTU VYENGINE HAPINDEZI SOMETIMES SIJISKII KUANGALIA MOVIE ZAO KWA SABABU YA RINGO
Cool ma bro
😂😂😂😂 kwa msosi wewe kama demu tin wew unazingua😂😂
tiwn we kweli ni noma zaidi yao ila kiukweli uko vizuri blaaa
Kijana una nyumba? Bado sijafkiria😂😂😂.una gari? Sina malengo hayo🤣🤣🤣.ATM card ntaeka kitu gani hahahaha
Ma
her zain
@@hawashaban2432 Sema mrembo
😂😂😂😂😂
ringooo hiloo saut lina alibu muviiii bhnaaa badilika
Good 💯
Good🎓🎓🎓🎓
Daaa ringo mwanangu we n noma
tini nakukubali sana sio pw
Mwanangu Tini nmekukubali baba
movie tamu sana ring na tin mko .poa
jack noma kama upo pamoja na jack like
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tini,,mau...ringo... Nyi balaaa walai
Ringo 👏👏👏👏👏👏👏
Hahahaha naangalia movie huku napitia comment raha sana Ringo, tin mnanitoaga stress
Nzuri
Lingo n fund aisee unajua san
Iingo kwann huongeagi sauti yko unaboa bna
Nice move
movie nzuri sana tunaomba part two
angalia filamu mpya ya kamanda mstaafu hapa tin white na ringo: ua-cam.com/video/zxR1CF75KS0/v-deo.html
lingo unazingua Sana
Nice movies
wakali BOAZI
wakali BOAZI
wakali BOAZI
On which part of the internet I have landed my finger on
Dingi anaumwa....kavimba😁😁😁😁😁😁😁😁
Halima Omar
Lingo sometime unaboaaaaaa!!
angalia filamu mpya ya kamanda mstaafu hapa tin white na ringo: ua-cam.com/video/zxR1CF75KS0/v-deo.html
Ringo u poa kabisa
Movie kali hii
Hahahahq!!😂😂 Duu!! Amaa kwel rich mavoko huna kaka kabx 😂😂😂Duu!
Naomba kuuliza Kwan tini na lichimavoko ni ndug, au
Vp kaka lichi mafoko
@@wardamohamed5653 nambie bloo
@@wardamohamed5653 Ndio ni ndugu wa damu kabisa Baba mmoja mama Mmoja
dah ringo maisha yake😂😂
Daaaah tupe na part 2 sasa n nzur xaaana
Wiston Jackson ni kwel bhana watupe part 2imenoga
😂😂😂😂😂Ringo katamani fis
Good
Nice ma bro
hahahaaaa ringo ni shidaaaaa
Eti amani ya bwanaa iwe nawe daah hawa noma
Ringo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unamjua nn jamani hii IPO katika kuchekesha so usipo isoma utapata tabuu sana bab mwenye Nyumba sio mzembe ila nikati ya kichekesho kwa mm nilivyo on a kama na ww umeona kama nilivyo on a mm tujuane
Dah wwe noma
Mmmh Ben umepga busu live manz kalegea hatar
safisana
Nkakubali rigo
Ringo badili sauti ina bouwa kinyama dizain kama movie nzury Ila sauti yako inaumiza Kichwa
Mme uwaaa
Ringo anaboaa msengee
ik pow
tin unajuwa sana
Nani katona Kandambili za gest!!
Hoooop
🎉🎉🎉🎉
Ringooo Wee mkali Nmecheka Sana eti tumbo Lang haujakaa kimpangilio
Mwanangu ongeza juhudi ww mkali ringo napenda cana move zako
part 2
kubali
uyo dada ata ajui kuigiza yaan yupoyupo tu me cjapenda
Huyo mdada hujui sana sijui mgeni kuigiza
Iko poa
Jamani nisiwe mwongo move ni zuri nimecheka mno
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kali sana
Part 2 please
Movi ni nzuli
Eti sister funika paja 😂😂😂😂
Kigora
🎉
Apo kwenye udenda 2 ndo pamenifurahisha
😃😃😃😃
Kopa,kizamani
tini anajua
kali
ringoo yuko vizur ila inapendeza akiigiza saut ya kawaida
Kwel
Tin white Unajua xn
kagame apa mko vizuli sana
😀😁😁😁🤣😂et nafuga rasta
Umeuwa Ringo udenda unakutoka mkaka
Part 2 pls isichelewe
Mzuri ling?
*gud*
Ringo gwana ety najuta naenda kwa mama
😂😂😂😂Tajilabwanaaa
iko pw
nzuri 😘😘😂
Movie kali ila ndala za guest
Ringo kazingua sauti...
Gude
hahahaaaa hii movie jamani inafanya mbavu zinauma
mkali km mbwa hahahahahahaaaaaa
Mbavu zangu😂😂😂😂😂
mambo
Vp
noumaaa
Maswali mazuri, ila majibu yake sasa duuuu
Tatizo ringo linakuwa chizi mbaka rinaboa
Ww mau fundi ninoma
Pata ushauri wa bure kabisa kuhusu maswala ya ardhi mfollow
@Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce @Surveyor_aloyce
@Surveyor_aloyce
@Surveyor_aloyce
@Surveyor_aloyce
@Surveyor_aloyce
1. Ushauri namna ya kuweza kupata hati miliki ya shamba/kiwanja chako.
2. Ushauri njia sahihi ya kupitia kipindi unaponunua shamba/kiwanja.
3. Kujua gharama za upimaji shamba/kiwanja.
3. Utaratibu wa kupitia upate kibali cha ujenzi.
4. Namna ya kubadili umiliki wa hati kwa mmiliki mpya wa shamba/kiwanja.
5. Kurudishia mipaka ya shamba/kiwanja chako.
6. Kujua uhalali wa umiliki wa kiwanja/shamba unalotaka kununua.
Contact;
WhattsApp 0713778937
Piga 0754619189
Piga 0785779111
mbeyajames@gmail.com
Safi sana
noma sanaa tin,ringo na mau
Tini akili huna utauw watu