Mwendo....maisha ya binadamu ni safari....na kila safari ina mwendo wake....ndani ya safari kuna makorongo,mabonde milima,tambarare na miteremko mikali sana....maisha ni mwendo.... Tujitahidi tumalize safari yetu salama....Mwendo by Samweli Ngao...new hit song in town
Barkiwa sana
Ongera sana baba 🎉🎉🎉
Good song, I like it be blessed
good song I like it be blessed
Msaada wetu watoka kwa Mungu....nimetembea....kazi nzuri sana kaka...Mungu aibarikie kazi yako
Mwendo nimetembea Bonge la Ngoma Kamanda
Utiwe ngv Samweli
Mwendo....maisha ya binadamu ni safari....na kila safari ina mwendo wake....ndani ya safari kuna makorongo,mabonde milima,tambarare na miteremko mikali sana....maisha ni mwendo....
Tujitahidi tumalize safari yetu salama....Mwendo by Samweli Ngao...new hit song in town
nice song nimetembea hakika
Ubarikiwe Sana Mungu akutunze kwaajili ya utukufu wa jina lake
Amina sana mdogo wangu
Tisha sana
Balikiwa Mtumishi
Mungu ameniunda🙌🙏
Papa chitoko
Hongera mtumishi wa mungu
Ameen Kazi nzuri Mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana
Nakukubali sana samwel Mungu akuinuwe🎉🎉🎉🎉
Wakwanza nimetembea good song
Nimetembee nimeon Ongea kaka 🎉🎉
Ongera Sana papa ujawai niangusha
Makini sanaaa
Good saana yaani
ongera kaka kazi nzuri
Barikiwa sanaaaa sam
🎉🎉🎉🎉❤❤❤barikiwa sana mtu wa mungu
Mwendo mwendo nimetembea
Wimbo unabariki sanaa ujumbe mzuri barikiwa sanaa
Hongera Sana mtumushi
Safiii ❤nimeupenda
Nimebarikiwa sana
🎉🎉🎉🎉😢🎉
CHITOKO
Big up papaa chitoko
Barikiwa sana Askofu mkuu
❤❤❤
🎉🎉
Balikiwa sana papa chitoko
Thanks for Message 🎉
Good song, I like it be blessed
Hongera sana mtumishi